0:00:00.000,0:00:07.333 Ninayo furaha kubwa kuwashirikisha wote kwamba TV ya Moyo wa Mungu itafanya 0:00:07.333,0:00:15.166 tukio letu la kwanza kabisa la huduma ya hadhara hapa Uingereza 0:00:15.166,0:00:29.033 Jumamosi Machi 15, 2025, katika jiji la Birmingham. 0:00:29.033,0:00:38.266 Jina ambalo Mungu aliweka moyoni mwangu kwa tukio la huduma hili ni hili - 0:00:44.166,0:00:55.000 Kama Wakristo, hatupaswi kujishusha kwenye kiwango cha ulimwengu huu tunamoishi. 0:00:55.000,0:00:59.200 Lazima uinuke juu ya kelele. 0:00:59.200,0:01:01.966 Inuka juu ya chuki. 0:01:01.966,0:01:05.566 Inuka juu ya kukata tamaa. 0:01:05.566,0:01:08.766 Inuka juu ya uvumi. 0:01:08.766,0:01:15.766 Inuka juu ya ulimwengu wa mihemko, ulimwengu wa hisia. Inuka juu! 0:01:15.766,0:01:22.733 Wacha mioyo iamke! Wakolosai 3:1-2. 0:01:22.733,0:01:29.800 Ikiwa Mungu ameweka moyoni mwako kuhudhuria ibada hii Birmingham - 0:01:29.800,0:01:34.666 itafanyika katika Ukumbi Mpya wa Bingley huko Birmingham, 0:01:34.666,0:01:37.933 Jumamosi, Machi 15, 2025 - 0:01:37.933,0:01:44.800 sasa hivi, unaweza kwenda kwenye tovuti yetu - www.godsheart.tv/uk 0:01:44.800,0:01:48.766 Na ninataka kusisitiza jambo muhimu sana. 0:01:48.766,0:01:55.400 Tukio hili - kuhudhuria ni bila malipo. 0:01:55.400,0:01:59.833 Kumbuka maneno ya Yesu Kristo katika Mathayo 10:8, 0:01:59.833,0:02:06.033 "Mmepokea bure; toeni bure." 0:02:06.033,0:02:14.233 Baraka za kiroho haziwezi kubadilishwa kwa vitu vya kimwili.