[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.49,0:00:03.74,Default,,0000,0000,0000,,[Mwalimu] Je, kila kipande ni sawa sawa na Dialogue: 0,0:00:03.74,0:00:06.90,Default,,0000,0000,0000,,1/4 ya eneo la pai? Dialogue: 0,0:00:08.19,0:00:09.38,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tuna pai . Dialogue: 0,0:00:09.38,0:00:13.38,Default,,0000,0000,0000,,na lina vipande moja, mbili, tatu, na nne. Dialogue: 0,0:00:13.38,0:00:14.90,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tuna vipande vinne. Dialogue: 0,0:00:14.90,0:00:19.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, kipande chake kimoja ni sawa sawa na 1/4? Dialogue: 0,0:00:19.42,0:00:20.94,Default,,0000,0000,0000,,Tuongelee maana Dialogue: 0,0:00:20.94,0:00:24.29,Default,,0000,0000,0000,,ya kuwa na sehemu kama 1/4. Dialogue: 0,0:00:24.29,0:00:26.95,Default,,0000,0000,0000,,Moja kwenye sehemu ni kiasi, Dialogue: 0,0:00:26.95,0:00:28.54,Default,,0000,0000,0000,,inawakilisha namba ya vipande. Dialogue: 0,0:00:28.54,0:00:30.63,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hapa, tuna kipande kimoja. Dialogue: 0,0:00:30.63,0:00:32.75,Default,,0000,0000,0000,,kipande kimoja cha pai. Dialogue: 0,0:00:32.75,0:00:35.34,Default,,0000,0000,0000,,Na nne, kwenye sehemu Dialogue: 0,0:00:35.34,0:00:38.75,Default,,0000,0000,0000,,ni namba asilia/idadi kamili. Dialogue: 0,0:00:38.75,0:00:39.58,Default,,0000,0000,0000,,Vipande vyenye Dialogue: 0,0:00:41.64,0:00:42.47,Default,,0000,0000,0000,,ukubwa Dialogue: 0,0:00:43.69,0:00:44.52,Default,,0000,0000,0000,,sawa. Dialogue: 0,0:00:45.70,0:00:48.40,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, katika hili nne ni idadi ya vipande. Dialogue: 0,0:00:48.40,0:00:50.82,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, swali ni, Dialogue: 0,0:00:50.82,0:00:54.94,Default,,0000,0000,0000,,katika kila kipande, moja ya nne ni idadi sawa ya vipande ? Dialogue: 0,0:00:54.94,0:00:56.70,Default,,0000,0000,0000,,Tutazame pai. Dialogue: 0,0:00:56.70,0:00:58.54,Default,,0000,0000,0000,,Naona ipo sawa Dialogue: 0,0:00:58.54,0:01:00.42,Default,,0000,0000,0000,,hivi vipande vya mwishoni Dialogue: 0,0:01:00.42,0:01:03.45,Default,,0000,0000,0000,,haviko sawa, ni vidogo Dialogue: 0,0:01:03.45,0:01:05.33,Default,,0000,0000,0000,,kuliko vipande viwili vya katikati. Dialogue: 0,0:01:05.33,0:01:07.30,Default,,0000,0000,0000,,Kama utakuwa unapenda matunda ya pai, Dialogue: 0,0:01:07.30,0:01:09.92,Default,,0000,0000,0000,,hauto furahia kupata vipande vya mwishoni. Dialogue: 0,0:01:09.92,0:01:11.64,Default,,0000,0000,0000,,Sababu ni vidogo. Dialogue: 0,0:01:11.64,0:01:14.96,Default,,0000,0000,0000,,Haviko kwenye vipande vya ukubwa sawa. Dialogue: 0,0:01:14.96,0:01:19.36,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo ndio ,kila kipande ni moja kati ya vipande vinne. Dialogue: 0,0:01:19.36,0:01:23.81,Default,,0000,0000,0000,,Lakini si moja ya nne ya vipande sawa. Dialogue: 0,0:01:23.81,0:01:26.43,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo si 1/4. Dialogue: 0,0:01:26.43,0:01:28.92,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo, jibu letu ni hapana. Dialogue: 0,0:01:28.92,0:01:30.60,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, hapana, hapana. Dialogue: 0,0:01:30.60,0:01:32.66,Default,,0000,0000,0000,,Kila kipande si 1/4 Dialogue: 0,0:01:32.66,0:01:35.08,Default,,0000,0000,0000,,au mgawanyo sawa wa pai.