[Mwalimu] Je, kila kipande ni sawa sawa na 1/4 ya eneo la pai? Kwa hiyo tuna pai . na lina vipande moja, mbili, tatu, na nne. Kwa hiyo tuna vipande vinne. Kwa hiyo, kipande chake kimoja ni sawa sawa na 1/4? Tuongelee maana ya kuwa na sehemu kama 1/4. Moja kwenye sehemu ni kiasi, inawakilisha namba ya vipande. Kwa hiyo hapa, tuna kipande kimoja. kipande kimoja cha pai. Na nne, kwenye sehemu ni namba asilia/idadi kamili. Vipande vyenye ukubwa sawa. Kwa hiyo, katika hili nne ni idadi ya vipande. Kwa hiyo, swali ni, katika kila kipande, moja ya nne ni idadi sawa ya vipande ? Tutazame pai. Naona ipo sawa hivi vipande vya mwishoni haviko sawa, ni vidogo kuliko vipande viwili vya katikati. Kama utakuwa unapenda matunda ya pai, hauto furahia kupata vipande vya mwishoni. Sababu ni vidogo. Haviko kwenye vipande vya ukubwa sawa. Kwa hiyo ndio ,kila kipande ni moja kati ya vipande vinne. Lakini si moja ya nne ya vipande sawa. Kwa hiyo si 1/4. Kwa hiyo, jibu letu ni hapana. Hapana, hapana, hapana. Kila kipande si 1/4 au mgawanyo sawa wa pai.