WEBVTT 00:00:01.491 --> 00:00:03.737 [Mwalimu] Je, kila kipande ni sawa sawa na 00:00:03.737 --> 00:00:06.904 1/4 ya eneo la pai? 00:00:08.187 --> 00:00:09.375 Kwa hiyo tuna pai . 00:00:09.375 --> 00:00:13.378 na lina vipande moja, mbili, tatu, na nne. 00:00:13.378 --> 00:00:14.896 Kwa hiyo tuna vipande vinne. 00:00:14.896 --> 00:00:19.424 Kwa hiyo, kipande chake kimoja ni sawa sawa na 1/4? 00:00:19.424 --> 00:00:20.937 Tuongelee maana 00:00:20.937 --> 00:00:24.289 ya kuwa na sehemu kama 1/4. 00:00:24.289 --> 00:00:26.946 Moja kwenye sehemu ni kiasi, 00:00:26.946 --> 00:00:28.538 inawakilisha namba ya vipande. 00:00:28.538 --> 00:00:30.627 Kwa hiyo hapa, tuna kipande kimoja. 00:00:30.627 --> 00:00:32.752 kipande kimoja cha pai. 00:00:32.752 --> 00:00:35.344 Na nne, kwenye sehemu 00:00:35.344 --> 00:00:38.749 ni namba asilia/idadi kamili. 00:00:38.749 --> 00:00:39.582 Vipande vyenye 00:00:41.641 --> 00:00:42.474 ukubwa 00:00:43.686 --> 00:00:44.519 sawa. 00:00:45.697 --> 00:00:48.400 Kwa hiyo, katika hili nne ni idadi ya vipande. 00:00:48.400 --> 00:00:50.816 Kwa hiyo, swali ni, 00:00:50.816 --> 00:00:54.945 katika kila kipande, moja ya nne ni idadi sawa ya vipande ? 00:00:54.945 --> 00:00:56.699 Tutazame pai. 00:00:56.699 --> 00:00:58.539 Naona ipo sawa 00:00:58.539 --> 00:01:00.420 hivi vipande vya mwishoni 00:01:00.420 --> 00:01:03.452 haviko sawa, ni vidogo 00:01:03.452 --> 00:01:05.333 kuliko vipande viwili vya katikati. 00:01:05.333 --> 00:01:07.302 Kama utakuwa unapenda matunda ya pai, 00:01:07.302 --> 00:01:09.918 hauto furahia kupata vipande vya mwishoni. 00:01:09.918 --> 00:01:11.636 Sababu ni vidogo. 00:01:11.636 --> 00:01:14.960 Haviko kwenye vipande vya ukubwa sawa. 00:01:14.960 --> 00:01:19.359 Kwa hiyo ndio ,kila kipande ni moja kati ya vipande vinne. 00:01:19.359 --> 00:01:23.807 Lakini si moja ya nne ya vipande sawa. 00:01:23.807 --> 00:01:26.429 Kwa hiyo si 1/4. 00:01:26.429 --> 00:01:28.922 Kwa hiyo, jibu letu ni hapana. 00:01:28.922 --> 00:01:30.595 Hapana, hapana, hapana. 00:01:30.595 --> 00:01:32.665 Kila kipande si 1/4 00:01:32.665 --> 00:01:35.082 au mgawanyo sawa wa pai.