[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:06.77,Default,,0000,0000,0000,,Kila ndoa liko na kutokuelewana, lakini \Nsio kutoelewana yote inaweza jenga ndoa Dialogue: 0,0:00:06.77,0:00:12.27,Default,,0000,0000,0000,,Kutokuelewana ni jambo la kawaida hata \Nkatika ndoa iliyo na mungu Dialogue: 0,0:00:12.27,0:00:15.83,Default,,0000,0000,0000,,lakini kutoelewana inafaa kuleta \Nkuelewana zaidi Dialogue: 0,0:00:15.83,0:00:20.60,Default,,0000,0000,0000,,Kutokuelewana yafaa ilete kuelewana \Nkukubwa zaidi Dialogue: 0,0:00:20.60,0:00:27.70,Default,,0000,0000,0000,,tunapotelewa na funzo\Nlinatokana na kutokuelewana Dialogue: 0,0:00:27.70,0:00:34.50,Default,,0000,0000,0000,,badala ya iwe funzo, tunaishia\Nkurudia makosa yanayoleta kutokuelewana Dialogue: 0,0:00:34.50,0:00:44.17,Default,,0000,0000,0000,,na hio ndio sababu inayofanya mapenzi\Ninaingiza baridi, tunaishi kwa mambo ya kale Dialogue: 0,0:00:44.17,0:00:48.23,Default,,0000,0000,0000,,unamkumbusha bwana yako makosa\Nyaliyopita Dialogue: 0,0:00:48.23,0:00:52.90,Default,,0000,0000,0000,,unamkumbusha bibi yako makosa\Nyaliyopita wakati kunapokuwa na mzozo Dialogue: 0,0:00:52.90,0:00:55.60,Default,,0000,0000,0000,,unakuwa ukirudia ile makosa Dialogue: 0,0:00:55.60,0:00:59.67,Default,,0000,0000,0000,,badala ya kuyafanya yale makosa yawe funzo\Nbadala ya kukomaa kupitia ile kutoelewana. Dialogue: 0,0:00:59.67,0:01:01.83,Default,,0000,0000,0000,,kutokuelewana lazima kutajileta Dialogue: 0,0:01:01.83,0:01:03.63,Default,,0000,0000,0000,,kutokuelewana lazima kutajileta Dialogue: 0,0:01:03.63,0:01:05.37,Default,,0000,0000,0000,,mizozo lazima itakuja. Dialogue: 0,0:01:05.37,0:01:10.00,Default,,0000,0000,0000,,lakini sisi ni Wakristo wanaoelewa kwamba\Nya kale yamepita Dialogue: 0,0:01:10.00,0:01:14.40,Default,,0000,0000,0000,,tunafaa kujifunza kupitia ile kutoku-\Nelewana. Dialogue: 0,0:01:14.40,0:01:18.97,Default,,0000,0000,0000,,Kuna tofauti kati ya uzoefu wa maisha na\Nmafunzo ya maisha.