[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.36,0:00:05.68,Default,,0000,0000,0000,,Nilituma maombi kwa karibu nafasi 100. Dialogue: 0,0:00:05.68,0:00:14.92,Default,,0000,0000,0000,,Nilipata majibu ya kuhudhuria mahojiano zaidi ya 40 lakini bila mafanikio. Dialogue: 0,0:00:14.92,0:00:18.04,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ni majuto kila wakati. Dialogue: 0,0:00:18.04,0:00:24.20,Default,,0000,0000,0000,,USHUHUDA \NTV YA MOYO WA MUNGU (GOD’S HEART TV) Dialogue: 0,0:00:25.20,0:00:39.12,Default,,0000,0000,0000,,Je, unakabiliwa na vikwazo katika kazi yako, biashara, fedha, kupanda cheo? Dialogue: 0,0:00:39.12,0:00:45.92,Default,,0000,0000,0000,,Leo ni siku yako ya kuinuliwa\Nkwa kiwango kipya! Dialogue: 0,0:00:45.92,0:00:53.80,Default,,0000,0000,0000,,Kila ngome ya kipepo ya\Nkizuizi katika familia yako, Dialogue: 0,0:00:53.80,0:01:02.44,Default,,0000,0000,0000,,ngome hiyo ya vilio,\Nkurudi nyuma katika familia yako - Dialogue: 0,0:01:02.44,0:01:08.68,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi, ivunjwe! Dialogue: 0,0:01:08.68,0:01:12.36,Default,,0000,0000,0000,,Jikomboe kutoka kwenye\Nngome hiyo ya kizuizi. Dialogue: 0,0:01:12.36,0:01:16.12,Default,,0000,0000,0000,,Jikomboe kutoka kwenye ngome hiyo\Nya vikwazo hivi sasa. Dialogue: 0,0:01:17.40,0:01:23.84,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni Joseph, ninaishi Sudan lakini\Nasili yangu ni kutoka Zimbabwe. Dialogue: 0,0:01:23.84,0:01:30.92,Default,,0000,0000,0000,,Mnamo 2021, nilipoteza kazi yangu kwa sababu ya COVID. Dialogue: 0,0:01:30.92,0:01:34.60,Default,,0000,0000,0000,,Ikabidi nirudi Zimbabwe. Dialogue: 0,0:01:34.60,0:01:43.60,Default,,0000,0000,0000,,Nilikaa hapo na baada ya miezi miwili hadi mitatu, hali ya COVID ilipokuwa ikiimarika, Dialogue: 0,0:01:43.60,0:01:52.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilianza kujaribu kutuma ombi tena kwenye kampuni na sikuweza kupata nafasi. Dialogue: 0,0:01:52.00,0:02:02.20,Default,,0000,0000,0000,,Nilipumzika kidogo lakini niliendelea kujaribu kutuma maombi, hata kwa mashirika na makampuni mengine. Dialogue: 0,0:02:02.20,0:02:11.96,Default,,0000,0000,0000,,2021 ilipita. 2022 ilipita.\NNa 2023 pia ilikuja na kwenda. Dialogue: 0,0:02:11.96,0:02:18.92,Default,,0000,0000,0000,,Wakati huo, nilikuwa nikikabiliwa na\Nchangamoto za rasilimali za kifedha. Dialogue: 0,0:02:18.92,0:02:26.08,Default,,0000,0000,0000,,Na ilikuwa ni ada ya mwanangu\Nambaye yuko shule ya bweni - Dialogue: 0,0:02:26.08,0:02:28.68,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza tena kuimudu hilo. Dialogue: 0,0:02:28.68,0:02:30.80,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu yuko katika shule ya binafsi. Dialogue: 0,0:02:30.80,0:02:36.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, niliendelea kujaribu kutafuta suluhisho. Dialogue: 0,0:02:36.00,0:02:42.36,Default,,0000,0000,0000,,Nilikwenda kwa watalaamu wa kiroho.\NNilikwenda kwa waganga wa mitishamba. Dialogue: 0,0:02:42.36,0:02:47.84,Default,,0000,0000,0000,,Na katika mchakato huo, nilianza\Nkupoteza pesa zaidi Dialogue: 0,0:02:47.84,0:02:54.96,Default,,0000,0000,0000,,kwani nilikuwa nikiombwa pesa nyingi ili kupata dawa ya kazi nilizokuwa naomba. Dialogue: 0,0:02:54.96,0:03:00.28,Default,,0000,0000,0000,,Nilituma maombi kwa karibu nafasi 100. Dialogue: 0,0:03:00.28,0:03:05.60,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nafanya hesabu ya\Nkazi nilizoomba. Dialogue: 0,0:03:05.60,0:03:12.80,Default,,0000,0000,0000,,Lakini baadhi, nilituma maombi moja kwa moja kwenye tovuti yao, na sikuweza kuzihesabu. Dialogue: 0,0:03:12.80,0:03:23.36,Default,,0000,0000,0000,,Nilipata majibu ya kuhudhuria mahojiano zaidi ya 40 lakini hakuna nilichoambulia. Dialogue: 0,0:03:23.36,0:03:26.48,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ni majuto kila wakati. Dialogue: 0,0:03:26.48,0:03:29.72,Default,,0000,0000,0000,,'Tutaendelea kukujuza ;\Ntutawasiliana nawe.' Dialogue: 0,0:03:29.72,0:03:35.84,Default,,0000,0000,0000,,Na wengine, unaweza kuona kwamba\N'nimepitia haya; Nimefanikiwa'. Dialogue: 0,0:03:35.84,0:03:39.68,Default,,0000,0000,0000,,Lakini katika dakika ya mwisho, ungesikia tu, Dialogue: 0,0:03:39.68,0:03:46.72,Default,,0000,0000,0000,,'Samahani, tunajuta kukushauri kwamba hujafanikiwa. Tafadhali endelea kujaribu.' Dialogue: 0,0:03:46.72,0:03:54.96,Default,,0000,0000,0000,,Ni mahojiano matano tu kati ya yale 40 ambayo\Nnilifanya yalikaribia kufanikiwa. Dialogue: 0,0:03:54.96,0:04:02.32,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ilikuwa ngumu sana -\Nhiyo ilikuwa sehemu ya 2023 na 2024. Dialogue: 0,0:04:02.32,0:04:08.96,Default,,0000,0000,0000,,Pia kulikuwa na shida na mabishano katika familia yangu na mke wangu. Dialogue: 0,0:04:08.96,0:04:16.20,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu nilikuwa nimeanzisha mradi wa ufugaji wa wanyama na kuku. Dialogue: 0,0:04:16.20,0:04:23.32,Default,,0000,0000,0000,,Na kupitia hilo, nilipoteza pesa kwa sababu watu walikuwa wakisema, Dialogue: 0,0:04:23.32,0:04:30.60,Default,,0000,0000,0000,,'Tuwekee kuku na tutawasiliana kwa namba yako watakapokuwa tayari.' Dialogue: 0,0:04:30.60,0:04:34.88,Default,,0000,0000,0000,,Wakati ulipofika na walikuwa\Ntayari, watu wangesema, Dialogue: 0,0:04:34.88,0:04:40.12,Default,,0000,0000,0000,,'Hapana, tumepata mkandarasi mwingine ambaye ametupatia. Pole.' Dialogue: 0,0:04:40.12,0:04:48.04,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo umekwama na bidhaa na unaziuza kwa hasara. Kwa hivyo hiyo ilinimaliza. Dialogue: 0,0:04:48.04,0:04:57.20,Default,,0000,0000,0000,,Na wakati huohuo, nilipokuwa nikienda kwa wataalamu wa kiroho, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Dialogue: 0,0:04:57.20,0:05:01.32,Default,,0000,0000,0000,,Kulikuwa na ugomvi wa mara kwa mara nyumbani. Dialogue: 0,0:05:01.32,0:05:06.64,Default,,0000,0000,0000,,Hata jamaa hawakuzungumza nami. Dialogue: 0,0:05:06.64,0:05:08.48,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa tu hali ngumu. Dialogue: 0,0:05:08.48,0:05:14.08,Default,,0000,0000,0000,,Na nilipoona akaunti yangu ya benki\Nikishuka na kushuka na Dialogue: 0,0:05:14.08,0:05:20.88,Default,,0000,0000,0000,,kutokuwa na pesa za ada ya shule kwa mwaka huu kwa mwanangu, ilizidi kuwa mbaya. Dialogue: 0,0:05:20.88,0:05:29.20,Default,,0000,0000,0000,,Kisha mke wangu akanitia moyo kuwasilisha ombi la maombi kwa TV ya Moyo wa Mungu. Dialogue: 0,0:05:29.20,0:05:35.96,Default,,0000,0000,0000,,Nilisita kidogo, lakini baada ya kuona kwamba hali haikuwa sawa, Dialogue: 0,0:05:35.96,0:05:42.36,Default,,0000,0000,0000,,Niliwasilisha ombi la maombi -\Nhiyo ilikuwa katikati ya Aprili 2024. Dialogue: 0,0:05:42.36,0:05:50.40,Default,,0000,0000,0000,,Nilijibiwa na mnamo Mei 4,\Nnilialikwa kwenye Maombi ya Pamoja. Dialogue: 0,0:05:50.40,0:05:59.92,Default,,0000,0000,0000,,Mnamo Mei 13, nilipata mahojiano kutoka kwenye shirika ninalofanya kazi nalo, Dialogue: 0,0:05:59.92,0:06:01.60,Default,,0000,0000,0000,,ambalo nilikuwa nakilifanyia kazi. Dialogue: 0,0:06:01.60,0:06:07.52,Default,,0000,0000,0000,,Nilipitia mahojiano.\NSikufikiri nilikuwa na nimefaulu. Dialogue: 0,0:06:07.52,0:06:12.96,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu maswali yalikuwa magumu sana na sababu zilikuwa - Dialogue: 0,0:06:12.96,0:06:20.24,Default,,0000,0000,0000,,kwa nini nilikaa nje kwa muda mrefu bila kurudi kwenye shirika? Dialogue: 0,0:06:20.24,0:06:23.72,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ilikuwa Mei 13. Dialogue: 0,0:06:23.72,0:06:31.36,Default,,0000,0000,0000,,Mnamo Juni 14, nilipata jibu kwamba\Nnilikuwa nimefaulu mahojiano. Dialogue: 0,0:06:31.36,0:06:38.52,Default,,0000,0000,0000,,Nilitia saini mkataba na ndiyo\Nmaana sasa niko Sudan pia. Dialogue: 0,0:06:38.52,0:06:46.68,Default,,0000,0000,0000,,Na ninamshukuru Mungu kwa yote aliyofanya kupitia TV ya Moyo wa Mungu na maombi ya Ndugu Chris. Dialogue: 0,0:06:46.68,0:06:58.24,Default,,0000,0000,0000,,Sasa ninaweza kulipia karo ya shule ya mwanangu kwa 2024 na 2025. Dialogue: 0,0:06:58.24,0:07:03.20,Default,,0000,0000,0000,,Tangu kusali na Kaka Chris, uhusiano na mke wako ukoje? Dialogue: 0,0:07:03.20,0:07:15.64,Default,,0000,0000,0000,,Ni mnzuri sana. Hata nikiwa hapa, kila usiku, tunasali pamoja kupitia WhatsApp au video. Dialogue: 0,0:07:15.64,0:07:20.04,Default,,0000,0000,0000,,Pia tunasali pamoja kama familia\Nwakati mwanangu pia yupo. Dialogue: 0,0:07:20.04,0:07:24.92,Default,,0000,0000,0000,,Na vipi kuhusu hali ya\Nwataalamu wa kiroho, mganga wa mitishamba? Dialogue: 0,0:07:24.92,0:07:27.84,Default,,0000,0000,0000,,Je, bado una mwelekeo wa kuwatembelea? Dialogue: 0,0:07:27.84,0:07:33.44,Default,,0000,0000,0000,,Hapana, sitaki tena. Nilipoteza sana. Dialogue: 0,0:07:33.44,0:07:37.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikutaja kuwa hata nilipoteza\Ngari kupitia mchakato huo, Dialogue: 0,0:07:37.00,0:07:40.92,Default,,0000,0000,0000,,kwa hivyo sina mwelekeo wa kufikiria juu ya hilo tena, Dialogue: 0,0:07:40.92,0:07:49.16,Default,,0000,0000,0000,,zaidi ya kusoma Biblia yangu na kuomba - na hicho ndichu tu ninachokifikiria. Dialogue: 0,0:07:49.16,0:07:53.32,Default,,0000,0000,0000,,Je, kuna ushauri wowote ambao ungependa kuwapa watazamaji wanaotazama sasa hivi? Dialogue: 0,0:07:53.32,0:07:58.56,Default,,0000,0000,0000,,Sisi sote tunakabiliwa na hali ngumu katika maisha yetu, Dialogue: 0,0:07:58.56,0:08:05.36,Default,,0000,0000,0000,,na wakati mwingine tunafikiri ni mwisho wa dunia, na hakuna mtu atakayetusikiliza. Dialogue: 0,0:08:05.36,0:08:09.76,Default,,0000,0000,0000,,Na hasa unapopoteza kipato, inakuwa ngumu sana. Dialogue: 0,0:08:09.76,0:08:13.20,Default,,0000,0000,0000,,Unakuwa kama mzigo kwa watu. Dialogue: 0,0:08:13.20,0:08:19.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ningependa kuwaambia wengine ambao wanakabiliwa na hali kama hiyo Dialogue: 0,0:08:19.00,0:08:21.80,Default,,0000,0000,0000,,na hawajapata suluhisho - Dialogue: 0,0:08:21.80,0:08:28.12,Default,,0000,0000,0000,,angalau kwa Mungu, kuna suluhisho,\Ningawa inaweza kuchukua muda. Dialogue: 0,0:08:28.12,0:08:34.60,Default,,0000,0000,0000,,Wakati tunapomkimbilia Mungu, atatukumbuka kwa hakika katika saa yetu ya uhitaji.