WEBVTT 00:00:00.360 --> 00:00:05.680 Nilituma maombi kwa karibu nafasi 100. 00:00:05.680 --> 00:00:14.920 Nilipata majibu ya kuhudhuria mahojiano zaidi ya 40 lakini bila mafanikio. 00:00:14.920 --> 00:00:18.040 Ilikuwa ni majuto kila wakati. 00:00:18.040 --> 00:00:24.200 USHUHUDA TV YA MOYO WA MUNGU (GOD’S HEART TV) 00:00:25.200 --> 00:00:39.120 Je, unakabiliwa na vikwazo katika kazi yako, biashara, fedha, kupanda cheo? 00:00:39.120 --> 00:00:45.920 Leo ni siku yako ya kuinuliwa kwa kiwango kipya! 00:00:45.920 --> 00:00:53.800 Kila ngome ya kipepo ya kizuizi katika familia yako, 00:00:53.800 --> 00:01:02.440 ngome hiyo ya vilio, kurudi nyuma katika familia yako - 00:01:02.440 --> 00:01:08.680 sasa hivi, ivunjwe! 00:01:08.680 --> 00:01:12.360 Jikomboe kutoka kwenye ngome hiyo ya kizuizi. 00:01:12.360 --> 00:01:16.120 Jikomboe kutoka kwenye ngome hiyo ya vikwazo hivi sasa. 00:01:17.400 --> 00:01:23.840 Mimi ni Joseph, ninaishi Sudan lakini asili yangu ni kutoka Zimbabwe. 00:01:23.840 --> 00:01:30.920 Mnamo 2021, nilipoteza kazi yangu kwa sababu ya COVID. 00:01:30.920 --> 00:01:34.600 Ikabidi nirudi Zimbabwe. 00:01:34.600 --> 00:01:43.600 Nilikaa hapo na baada ya miezi miwili hadi mitatu, hali ya COVID ilipokuwa ikiimarika, 00:01:43.600 --> 00:01:52.000 Nilianza kujaribu kutuma ombi tena kwenye kampuni na sikuweza kupata nafasi. 00:01:52.000 --> 00:02:02.200 Nilipumzika kidogo lakini niliendelea kujaribu kutuma maombi, hata kwa mashirika na makampuni mengine. 00:02:02.200 --> 00:02:11.960 2021 ilipita. 2022 ilipita. Na 2023 pia ilikuja na kwenda. 00:02:11.960 --> 00:02:18.920 Wakati huo, nilikuwa nikikabiliwa na changamoto za rasilimali za kifedha. 00:02:18.920 --> 00:02:26.080 Na ilikuwa ni ada ya mwanangu ambaye yuko shule ya bweni - 00:02:26.080 --> 00:02:28.680 Sikuweza tena kuimudu hilo. 00:02:28.680 --> 00:02:30.800 Kwa sababu yuko katika shule ya binafsi. 00:02:30.800 --> 00:02:36.000 Kwa hivyo, niliendelea kujaribu kutafuta suluhisho. 00:02:36.000 --> 00:02:42.360 Nilikwenda kwa watalaamu wa kiroho. Nilikwenda kwa waganga wa mitishamba. 00:02:42.360 --> 00:02:47.840 Na katika mchakato huo, nilianza kupoteza pesa zaidi 00:02:47.840 --> 00:02:54.960 kwani nilikuwa nikiombwa pesa nyingi ili kupata dawa ya kazi nilizokuwa naomba. 00:02:54.960 --> 00:03:00.280 Nilituma maombi kwa karibu nafasi 100. 00:03:00.280 --> 00:03:05.600 Nilikuwa nafanya hesabu ya kazi nilizoomba. 00:03:05.600 --> 00:03:12.800 Lakini baadhi, nilituma maombi moja kwa moja kwenye tovuti yao, na sikuweza kuzihesabu. 00:03:12.800 --> 00:03:23.360 Nilipata majibu ya kuhudhuria mahojiano zaidi ya 40 lakini hakuna nilichoambulia. 00:03:23.360 --> 00:03:26.480 Ilikuwa ni majuto kila wakati. 00:03:26.480 --> 00:03:29.720 'Tutaendelea kukujuza ; tutawasiliana nawe.' 00:03:29.720 --> 00:03:35.840 Na wengine, unaweza kuona kwamba 'nimepitia haya; Nimefanikiwa'. 00:03:35.840 --> 00:03:39.680 Lakini katika dakika ya mwisho, ungesikia tu, 00:03:39.680 --> 00:03:46.720 'Samahani, tunajuta kukushauri kwamba hujafanikiwa. Tafadhali endelea kujaribu.' 00:03:46.720 --> 00:03:54.960 Ni mahojiano matano tu kati ya yale 40 ambayo nilifanya yalikaribia kufanikiwa. 00:03:54.960 --> 00:04:02.320 Lakini ilikuwa ngumu sana - hiyo ilikuwa sehemu ya 2023 na 2024. 00:04:02.320 --> 00:04:08.960 Pia kulikuwa na shida na mabishano katika familia yangu na mke wangu. 00:04:08.960 --> 00:04:16.200 Kwa sababu nilikuwa nimeanzisha mradi wa ufugaji wa wanyama na kuku. 00:04:16.200 --> 00:04:23.320 Na kupitia hilo, nilipoteza pesa kwa sababu watu walikuwa wakisema, 00:04:23.320 --> 00:04:30.600 'Tuwekee kuku na tutawasiliana kwa namba yako watakapokuwa tayari.' 00:04:30.600 --> 00:04:34.880 Wakati ulipofika na walikuwa tayari, watu wangesema, 00:04:34.880 --> 00:04:40.120 'Hapana, tumepata mkandarasi mwingine ambaye ametupatia. Pole.' 00:04:40.120 --> 00:04:48.040 Kwa hiyo umekwama na bidhaa na unaziuza kwa hasara. Kwa hivyo hiyo ilinimaliza. 00:04:48.040 --> 00:04:57.200 Na wakati huohuo, nilipokuwa nikienda kwa wataalamu wa kiroho, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. 00:04:57.200 --> 00:05:01.320 Kulikuwa na ugomvi wa mara kwa mara nyumbani. 00:05:01.320 --> 00:05:06.640 Hata jamaa hawakuzungumza nami. 00:05:06.640 --> 00:05:08.480 Ilikuwa tu hali ngumu. 00:05:08.480 --> 00:05:14.080 Na nilipoona akaunti yangu ya benki ikishuka na kushuka na 00:05:14.080 --> 00:05:20.880 kutokuwa na pesa za ada ya shule kwa mwaka huu kwa mwanangu, ilizidi kuwa mbaya. 00:05:20.880 --> 00:05:29.200 Kisha mke wangu akanitia moyo kuwasilisha ombi la maombi kwa TV ya Moyo wa Mungu. 00:05:29.200 --> 00:05:35.960 Nilisita kidogo, lakini baada ya kuona kwamba hali haikuwa sawa, 00:05:35.960 --> 00:05:42.360 Niliwasilisha ombi la maombi - hiyo ilikuwa katikati ya Aprili 2024. 00:05:42.360 --> 00:05:50.400 Nilijibiwa na mnamo Mei 4, nilialikwa kwenye Maombi ya Pamoja. 00:05:50.400 --> 00:05:59.920 Mnamo Mei 13, nilipata mahojiano kutoka kwenye shirika ninalofanya kazi nalo, 00:05:59.920 --> 00:06:01.600 ambalo nilikuwa nakilifanyia kazi. 00:06:01.600 --> 00:06:07.520 Nilipitia mahojiano. Sikufikiri nilikuwa na nimefaulu. 00:06:07.520 --> 00:06:12.960 Kwa sababu maswali yalikuwa magumu sana na sababu zilikuwa - 00:06:12.960 --> 00:06:20.240 kwa nini nilikaa nje kwa muda mrefu bila kurudi kwenye shirika? 00:06:20.240 --> 00:06:23.720 Hiyo ilikuwa Mei 13. 00:06:23.720 --> 00:06:31.360 Mnamo Juni 14, nilipata jibu kwamba nilikuwa nimefaulu mahojiano. 00:06:31.360 --> 00:06:38.520 Nilitia saini mkataba na ndiyo maana sasa niko Sudan pia. 00:06:38.520 --> 00:06:46.680 Na ninamshukuru Mungu kwa yote aliyofanya kupitia TV ya Moyo wa Mungu na maombi ya Ndugu Chris. 00:06:46.680 --> 00:06:58.240 Sasa ninaweza kulipia karo ya shule ya mwanangu kwa 2024 na 2025. 00:06:58.240 --> 00:07:03.200 Tangu kusali na Kaka Chris, uhusiano na mke wako ukoje? 00:07:03.200 --> 00:07:15.640 Ni mnzuri sana. Hata nikiwa hapa, kila usiku, tunasali pamoja kupitia WhatsApp au video. 00:07:15.640 --> 00:07:20.040 Pia tunasali pamoja kama familia wakati mwanangu pia yupo. 00:07:20.040 --> 00:07:24.920 Na vipi kuhusu hali ya wataalamu wa kiroho, mganga wa mitishamba? 00:07:24.920 --> 00:07:27.840 Je, bado una mwelekeo wa kuwatembelea? 00:07:27.840 --> 00:07:33.440 Hapana, sitaki tena. Nilipoteza sana. 00:07:33.440 --> 00:07:37.000 Sikutaja kuwa hata nilipoteza gari kupitia mchakato huo, 00:07:37.000 --> 00:07:40.920 kwa hivyo sina mwelekeo wa kufikiria juu ya hilo tena, 00:07:40.920 --> 00:07:49.160 zaidi ya kusoma Biblia yangu na kuomba - na hicho ndichu tu ninachokifikiria. 00:07:49.160 --> 00:07:53.320 Je, kuna ushauri wowote ambao ungependa kuwapa watazamaji wanaotazama sasa hivi? 00:07:53.320 --> 00:07:58.560 Sisi sote tunakabiliwa na hali ngumu katika maisha yetu, 00:07:58.560 --> 00:08:05.360 na wakati mwingine tunafikiri ni mwisho wa dunia, na hakuna mtu atakayetusikiliza. 00:08:05.360 --> 00:08:09.760 Na hasa unapopoteza kipato, inakuwa ngumu sana. 00:08:09.760 --> 00:08:13.200 Unakuwa kama mzigo kwa watu. 00:08:13.200 --> 00:08:19.000 Kwa hivyo ningependa kuwaambia wengine ambao wanakabiliwa na hali kama hiyo 00:08:19.000 --> 00:08:21.800 na hawajapata suluhisho - 00:08:21.800 --> 00:08:28.120 angalau kwa Mungu, kuna suluhisho, ingawa inaweza kuchukua muda. 00:08:28.120 --> 00:08:34.600 Wakati tunapomkimbilia Mungu, atatukumbuka kwa hakika katika saa yetu ya uhitaji.