0:00:00.000,0:00:00.570 0:00:00.570,0:00:03.110 Tuseme tuna namba 5 na tumeulizwa, 0:00:03.110,0:00:07.870 ni namba gani tukijumlisha na namba 5 tunapata 0? 0:00:07.870,0:00:10.620 Unaweza ukawa umeshafahamu, ila nitachora. 0:00:10.620,0:00:13.900 Tunamstari wa namba hapa. 0:00:13.900,0:00:16.300 Na 0 imekaa hapo. 0:00:16.300,0:00:19.740 Na tayari tupo hapa kwenye 5. 0:00:19.740,0:00:23.995 Hivyo kutoka kwenye 5 mpaka 0, inatakiwa twende nafasi 5 kushoto. 0:00:23.995,0:00:27.710 0:00:27.710,0:00:29.550 Na kama tunaenda nafasi 5 kushoto, 0:00:29.550,0:00:32.400 Inamaanisha tunajumlisha hasi 5. 0:00:32.400,0:00:34.780 Tukiongeza hasi 5 hapa, 0:00:34.780,0:00:38.250 hii itaturudisha kwenye 0. 0:00:38.250,0:00:40.750 hii itaturudisha hapa kwenye 0. 0:00:40.750,0:00:42.680 Pengine ulikuwa umeshajua. 0:00:42.680,0:00:45.900 Nafikiri hii hapa inaingia akilini. 0:00:45.900,0:00:49.170 Ila tunaweza kuita kinyume cha 0:00:49.170,0:00:50.070 kujumlisha. 0:00:50.070,0:00:52.060 Na zakujumlisha-- ninaiandika. 0:00:52.060,0:00:53.768 nafikiri inachanganya 0:00:53.768,0:00:55.940 kutoa jina gumu kwenye jambo rahisi-- 0:00:55.940,0:00:58.600 kinyume cha kujumlisha. 0:00:58.600,0:01:00.650 Na ni wazo kwamba kama una namba 0:01:00.650,0:01:03.920 na ujumlishe kinyume cha hiyo namba, ambayo 0:01:03.920,0:01:06.320 watu wengi wanaita hasi ya namba -- 0:01:06.320,0:01:08.530 ukijumlisha hasi ya namba kwenye namba yako 0:01:08.530,0:01:10.920 utapata 0 kwa sababu 0:01:10.920,0:01:13.860 zinalingana, unaweza kuona hivyo. 0:01:13.860,0:01:16.190 Zote zina ukubwa wa 5, ila hii inaongeza tano 0:01:16.190,0:01:20.060 kulia na kisha unapunguza tano kwa kwenda kushoto. 0:01:20.060,0:01:24.860 Ni sawa, na kama ukianza kwenye- ngoja nichore mstari mwingine wa namba 0:01:24.860,0:01:29.310 hapa-- kama ukianza kwenye hasi 3. 0:01:29.310,0:01:31.570 Kama ukianza hapa kwenye hasi 3, 0:01:31.570,0:01:34.040 utakuwa umeshasogea nafasi tatu kwenda kushoto, 0:01:34.040,0:01:39.030 mmoja kasema, ninatakiwa kuongeza ngapi kwenye hasi 3 0:01:39.030,0:01:39.920 ili nirudi kwenye 0? 0:01:39.920,0:01:42.660 Itatakiwa nisogee nafasi tatu kwenda kulia. 0:01:42.660,0:01:45.160 Na nafasi tatu kwenda kulia ni upande chanya. 0:01:45.160,0:01:47.540 Hivyo natakiwa kuongeza chanya 3. 0:01:47.540,0:01:51.270 Hivyo kama nimejumlisha chanya 3 kwenye hasi 3 ninapata 0. 0:01:51.270,0:02:00.030 Kwa ujumla, kama nina namba yeyote-- kama nina 1,725,314 0:02:00.030,0:02:03.170 na nikajiuliza natakiwa nijumlishe ngapi ili nirudi kwenye 0? 0:02:03.170,0:02:07.010 Nitatakiwa kwenda uelekeo kinyume. 0:02:07.010,0:02:09.180 Nitakwenda kwenye uelekeo wa kushoto. 0:02:09.180,0:02:11.000 Hivyo natakiwa kutoa kiasi kilekile. 0:02:11.000,0:02:13.880 Au ninaweza kusema ninajumlisha namba kinyume, 0:02:13.880,0:02:16.270 au ninajumlisha kinyume cha hiyo namba. 0:02:16.270,0:02:18.690 Hivyo hii itakuwa ni sawa na kujumlisha 0:02:18.690,0:02:26.230 hasi 1,725,314 na hapa nitapata 0. 0:02:26.230,0:02:29.850 Ni sawa na nikisema, ni namba gani natakiwa nijumlishe na hasi 7 0:02:29.850,0:02:30.410 nipate 0? 0:02:30.410,0:02:33.430 Kama tayari niko kwenye hasi 7, natakiwa niende mara saba kulia 0:02:33.430,0:02:35.510 hivyo ninaongeza chanya 7. 0:02:35.510,0:02:39.080 Na hii itakuwa sawa na 0. 0:02:39.080,0:02:41.460 Na hii inatokana na uelewa wa jumla 0:02:41.460,0:02:44.970 5 jumlisha hasi 5, 0:02:44.970,0:02:47.410 au 5 jumlisha kinyume cha 5, 0:02:47.410,0:02:51.314 unaweza kusema ni namna nyingine ya kusema 5 toa 5. 0:02:51.314,0:02:52.730 Na kama una 5 ya kitu, 0:02:52.730,0:02:55.540 na ukaondoa tano, umejifunza miaka mingi iliyopita 0:02:55.540,0:02:58.524 kwamba hiyo itakuwa ni sawa na 0. 0:02:58.524,0:02:59.024