1 00:00:00,000 --> 00:00:00,570 2 00:00:00,570 --> 00:00:03,110 Tuseme tuna namba 5 na tumeulizwa, 3 00:00:03,110 --> 00:00:07,870 ni namba gani tukijumlisha na namba 5 tunapata 0? 4 00:00:07,870 --> 00:00:10,620 Unaweza ukawa umeshafahamu, ila nitachora. 5 00:00:10,620 --> 00:00:13,900 Tunamstari wa namba hapa. 6 00:00:13,900 --> 00:00:16,300 Na 0 imekaa hapo. 7 00:00:16,300 --> 00:00:19,740 Na tayari tupo hapa kwenye 5. 8 00:00:19,740 --> 00:00:23,995 Hivyo kutoka kwenye 5 mpaka 0, inatakiwa twende nafasi 5 kushoto. 9 00:00:23,995 --> 00:00:27,710 10 00:00:27,710 --> 00:00:29,550 Na kama tunaenda nafasi 5 kushoto, 11 00:00:29,550 --> 00:00:32,400 Inamaanisha tunajumlisha hasi 5. 12 00:00:32,400 --> 00:00:34,780 Tukiongeza hasi 5 hapa, 13 00:00:34,780 --> 00:00:38,250 hii itaturudisha kwenye 0. 14 00:00:38,250 --> 00:00:40,750 hii itaturudisha hapa kwenye 0. 15 00:00:40,750 --> 00:00:42,680 Pengine ulikuwa umeshajua. 16 00:00:42,680 --> 00:00:45,900 Nafikiri hii hapa inaingia akilini. 17 00:00:45,900 --> 00:00:49,170 Ila tunaweza kuita kinyume cha 18 00:00:49,170 --> 00:00:50,070 kujumlisha. 19 00:00:50,070 --> 00:00:52,060 Na zakujumlisha-- ninaiandika. 20 00:00:52,060 --> 00:00:53,768 nafikiri inachanganya 21 00:00:53,768 --> 00:00:55,940 kutoa jina gumu kwenye jambo rahisi-- 22 00:00:55,940 --> 00:00:58,600 kinyume cha kujumlisha. 23 00:00:58,600 --> 00:01:00,650 Na ni wazo kwamba kama una namba 24 00:01:00,650 --> 00:01:03,920 na ujumlishe kinyume cha hiyo namba, ambayo 25 00:01:03,920 --> 00:01:06,320 watu wengi wanaita hasi ya namba -- 26 00:01:06,320 --> 00:01:08,530 ukijumlisha hasi ya namba kwenye namba yako 27 00:01:08,530 --> 00:01:10,920 utapata 0 kwa sababu 28 00:01:10,920 --> 00:01:13,860 zinalingana, unaweza kuona hivyo. 29 00:01:13,860 --> 00:01:16,190 Zote zina ukubwa wa 5, ila hii inaongeza tano 30 00:01:16,190 --> 00:01:20,060 kulia na kisha unapunguza tano kwa kwenda kushoto. 31 00:01:20,060 --> 00:01:24,860 Ni sawa, na kama ukianza kwenye- ngoja nichore mstari mwingine wa namba 32 00:01:24,860 --> 00:01:29,310 hapa-- kama ukianza kwenye hasi 3. 33 00:01:29,310 --> 00:01:31,570 Kama ukianza hapa kwenye hasi 3, 34 00:01:31,570 --> 00:01:34,040 utakuwa umeshasogea nafasi tatu kwenda kushoto, 35 00:01:34,040 --> 00:01:39,030 mmoja kasema, ninatakiwa kuongeza ngapi kwenye hasi 3 36 00:01:39,030 --> 00:01:39,920 ili nirudi kwenye 0? 37 00:01:39,920 --> 00:01:42,660 Itatakiwa nisogee nafasi tatu kwenda kulia. 38 00:01:42,660 --> 00:01:45,160 Na nafasi tatu kwenda kulia ni upande chanya. 39 00:01:45,160 --> 00:01:47,540 Hivyo natakiwa kuongeza chanya 3. 40 00:01:47,540 --> 00:01:51,270 Hivyo kama nimejumlisha chanya 3 kwenye hasi 3 ninapata 0. 41 00:01:51,270 --> 00:02:00,030 Kwa ujumla, kama nina namba yeyote-- kama nina 1,725,314 42 00:02:00,030 --> 00:02:03,170 na nikajiuliza natakiwa nijumlishe ngapi ili nirudi kwenye 0? 43 00:02:03,170 --> 00:02:07,010 Nitatakiwa kwenda uelekeo kinyume. 44 00:02:07,010 --> 00:02:09,180 Nitakwenda kwenye uelekeo wa kushoto. 45 00:02:09,180 --> 00:02:11,000 Hivyo natakiwa kutoa kiasi kilekile. 46 00:02:11,000 --> 00:02:13,880 Au ninaweza kusema ninajumlisha namba kinyume, 47 00:02:13,880 --> 00:02:16,270 au ninajumlisha kinyume cha hiyo namba. 48 00:02:16,270 --> 00:02:18,690 Hivyo hii itakuwa ni sawa na kujumlisha 49 00:02:18,690 --> 00:02:26,230 hasi 1,725,314 na hapa nitapata 0. 50 00:02:26,230 --> 00:02:29,850 Ni sawa na nikisema, ni namba gani natakiwa nijumlishe na hasi 7 51 00:02:29,850 --> 00:02:30,410 nipate 0? 52 00:02:30,410 --> 00:02:33,430 Kama tayari niko kwenye hasi 7, natakiwa niende mara saba kulia 53 00:02:33,430 --> 00:02:35,510 hivyo ninaongeza chanya 7. 54 00:02:35,510 --> 00:02:39,080 Na hii itakuwa sawa na 0. 55 00:02:39,080 --> 00:02:41,460 Na hii inatokana na uelewa wa jumla 56 00:02:41,460 --> 00:02:44,970 5 jumlisha hasi 5, 57 00:02:44,970 --> 00:02:47,410 au 5 jumlisha kinyume cha 5, 58 00:02:47,410 --> 00:02:51,314 unaweza kusema ni namna nyingine ya kusema 5 toa 5. 59 00:02:51,314 --> 00:02:52,730 Na kama una 5 ya kitu, 60 00:02:52,730 --> 00:02:55,540 na ukaondoa tano, umejifunza miaka mingi iliyopita 61 00:02:55,540 --> 00:02:58,524 kwamba hiyo itakuwa ni sawa na 0. 62 00:02:58,524 --> 00:02:59,024