[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.57,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:00.57,0:00:03.11,Default,,0000,0000,0000,,Tuseme tuna namba 5 na tumeulizwa, Dialogue: 0,0:00:03.11,0:00:07.87,Default,,0000,0000,0000,,ni namba gani tukijumlisha na namba 5 tunapata 0? Dialogue: 0,0:00:07.87,0:00:10.62,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza ukawa umeshafahamu, ila nitachora. Dialogue: 0,0:00:10.62,0:00:13.90,Default,,0000,0000,0000,,Tunamstari wa namba hapa. Dialogue: 0,0:00:13.90,0:00:16.30,Default,,0000,0000,0000,,Na 0 imekaa hapo. Dialogue: 0,0:00:16.30,0:00:19.74,Default,,0000,0000,0000,,Na tayari tupo hapa kwenye 5. Dialogue: 0,0:00:19.74,0:00:23.100,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kutoka kwenye 5 mpaka 0, inatakiwa twende nafasi 5 kushoto. Dialogue: 0,0:00:23.100,0:00:27.71,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:27.71,0:00:29.55,Default,,0000,0000,0000,,Na kama tunaenda nafasi 5 kushoto, Dialogue: 0,0:00:29.55,0:00:32.40,Default,,0000,0000,0000,,Inamaanisha tunajumlisha hasi 5. Dialogue: 0,0:00:32.40,0:00:34.78,Default,,0000,0000,0000,,Tukiongeza hasi 5 hapa, Dialogue: 0,0:00:34.78,0:00:38.25,Default,,0000,0000,0000,,hii itaturudisha kwenye 0. Dialogue: 0,0:00:38.25,0:00:40.75,Default,,0000,0000,0000,,hii itaturudisha hapa kwenye 0. Dialogue: 0,0:00:40.75,0:00:42.68,Default,,0000,0000,0000,,Pengine ulikuwa umeshajua. Dialogue: 0,0:00:42.68,0:00:45.90,Default,,0000,0000,0000,,Nafikiri hii hapa inaingia akilini. Dialogue: 0,0:00:45.90,0:00:49.17,Default,,0000,0000,0000,,Ila tunaweza kuita kinyume cha Dialogue: 0,0:00:49.17,0:00:50.07,Default,,0000,0000,0000,,kujumlisha. Dialogue: 0,0:00:50.07,0:00:52.06,Default,,0000,0000,0000,,Na zakujumlisha-- ninaiandika. Dialogue: 0,0:00:52.06,0:00:53.77,Default,,0000,0000,0000,,nafikiri inachanganya Dialogue: 0,0:00:53.77,0:00:55.94,Default,,0000,0000,0000,,kutoa jina gumu kwenye jambo rahisi-- Dialogue: 0,0:00:55.94,0:00:58.60,Default,,0000,0000,0000,,kinyume cha kujumlisha. Dialogue: 0,0:00:58.60,0:01:00.65,Default,,0000,0000,0000,,Na ni wazo kwamba kama una namba Dialogue: 0,0:01:00.65,0:01:03.92,Default,,0000,0000,0000,,na ujumlishe kinyume cha hiyo namba, ambayo Dialogue: 0,0:01:03.92,0:01:06.32,Default,,0000,0000,0000,,watu wengi wanaita hasi ya namba -- Dialogue: 0,0:01:06.32,0:01:08.53,Default,,0000,0000,0000,,ukijumlisha hasi ya namba kwenye namba yako Dialogue: 0,0:01:08.53,0:01:10.92,Default,,0000,0000,0000,,utapata 0 kwa sababu Dialogue: 0,0:01:10.92,0:01:13.86,Default,,0000,0000,0000,,zinalingana, unaweza kuona hivyo. Dialogue: 0,0:01:13.86,0:01:16.19,Default,,0000,0000,0000,,Zote zina ukubwa wa 5, ila hii inaongeza tano Dialogue: 0,0:01:16.19,0:01:20.06,Default,,0000,0000,0000,,kulia na kisha unapunguza tano kwa kwenda kushoto. Dialogue: 0,0:01:20.06,0:01:24.86,Default,,0000,0000,0000,,Ni sawa, na kama ukianza kwenye- ngoja nichore mstari mwingine wa namba Dialogue: 0,0:01:24.86,0:01:29.31,Default,,0000,0000,0000,,hapa-- kama ukianza kwenye hasi 3. Dialogue: 0,0:01:29.31,0:01:31.57,Default,,0000,0000,0000,,Kama ukianza hapa kwenye hasi 3, Dialogue: 0,0:01:31.57,0:01:34.04,Default,,0000,0000,0000,,utakuwa umeshasogea nafasi tatu kwenda kushoto, Dialogue: 0,0:01:34.04,0:01:39.03,Default,,0000,0000,0000,,mmoja kasema, ninatakiwa kuongeza ngapi kwenye hasi 3 Dialogue: 0,0:01:39.03,0:01:39.92,Default,,0000,0000,0000,,ili nirudi kwenye 0? Dialogue: 0,0:01:39.92,0:01:42.66,Default,,0000,0000,0000,,Itatakiwa nisogee nafasi tatu kwenda kulia. Dialogue: 0,0:01:42.66,0:01:45.16,Default,,0000,0000,0000,,Na nafasi tatu kwenda kulia ni upande chanya. Dialogue: 0,0:01:45.16,0:01:47.54,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo natakiwa kuongeza chanya 3. Dialogue: 0,0:01:47.54,0:01:51.27,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo kama nimejumlisha chanya 3 kwenye hasi 3 ninapata 0. Dialogue: 0,0:01:51.27,0:02:00.03,Default,,0000,0000,0000,,Kwa ujumla, kama nina namba yeyote-- kama nina 1,725,314 Dialogue: 0,0:02:00.03,0:02:03.17,Default,,0000,0000,0000,,na nikajiuliza natakiwa nijumlishe ngapi ili nirudi kwenye 0? Dialogue: 0,0:02:03.17,0:02:07.01,Default,,0000,0000,0000,,Nitatakiwa kwenda uelekeo kinyume. Dialogue: 0,0:02:07.01,0:02:09.18,Default,,0000,0000,0000,,Nitakwenda kwenye uelekeo wa kushoto. Dialogue: 0,0:02:09.18,0:02:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo natakiwa kutoa kiasi kilekile. Dialogue: 0,0:02:11.00,0:02:13.88,Default,,0000,0000,0000,,Au ninaweza kusema ninajumlisha namba kinyume, Dialogue: 0,0:02:13.88,0:02:16.27,Default,,0000,0000,0000,,au ninajumlisha kinyume cha hiyo namba. Dialogue: 0,0:02:16.27,0:02:18.69,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo hii itakuwa ni sawa na kujumlisha Dialogue: 0,0:02:18.69,0:02:26.23,Default,,0000,0000,0000,,hasi 1,725,314 na hapa nitapata 0. Dialogue: 0,0:02:26.23,0:02:29.85,Default,,0000,0000,0000,,Ni sawa na nikisema, ni namba gani natakiwa nijumlishe na hasi 7 Dialogue: 0,0:02:29.85,0:02:30.41,Default,,0000,0000,0000,,nipate 0? Dialogue: 0,0:02:30.41,0:02:33.43,Default,,0000,0000,0000,,Kama tayari niko kwenye hasi 7, natakiwa niende mara saba kulia Dialogue: 0,0:02:33.43,0:02:35.51,Default,,0000,0000,0000,,hivyo ninaongeza chanya 7. Dialogue: 0,0:02:35.51,0:02:39.08,Default,,0000,0000,0000,,Na hii itakuwa sawa na 0. Dialogue: 0,0:02:39.08,0:02:41.46,Default,,0000,0000,0000,,Na hii inatokana na uelewa wa jumla Dialogue: 0,0:02:41.46,0:02:44.97,Default,,0000,0000,0000,,5 jumlisha hasi 5, Dialogue: 0,0:02:44.97,0:02:47.41,Default,,0000,0000,0000,,au 5 jumlisha kinyume cha 5, Dialogue: 0,0:02:47.41,0:02:51.31,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kusema ni namna nyingine ya kusema 5 toa 5. Dialogue: 0,0:02:51.31,0:02:52.73,Default,,0000,0000,0000,,Na kama una 5 ya kitu, Dialogue: 0,0:02:52.73,0:02:55.54,Default,,0000,0000,0000,,na ukaondoa tano, umejifunza miaka mingi iliyopita Dialogue: 0,0:02:55.54,0:02:58.52,Default,,0000,0000,0000,,kwamba hiyo itakuwa ni sawa na 0. Dialogue: 0,0:02:58.52,0:02:59.02,Default,,0000,0000,0000,,