0:00:00.000,0:00:06.033 Mungu hakutusanifu kwa ajili ya kubeba uzito wa suala la jana 0:00:06.033,0:00:08.666 juu ya mambo ya leo. 0:00:08.666,0:00:13.666 Kubeba shida za jana kukuacha 0:00:13.666,0:00:15.966 bila nyenzo za kukabiliana na shida za leo.