WEBVTT 00:00:00.279 --> 00:00:01.960 Wewe ni nani demu? Ongea! 00:00:02.704 --> 00:00:04.376 Nena kwa jina kuu la Yesu! 00:00:04.463 --> 00:00:05.960 Moto wa Roho Mtakatifu! 00:00:06.136 --> 00:00:07.574 Moto juu ya mwili wako wote! 00:00:07.661 --> 00:00:09.714 Tunataka kumwangamiza! 00:00:10.391 --> 00:00:13.361 Lakini yeye ni mkaidi sana! 00:00:15.441 --> 00:00:20.998 "Juu Sana! Aliye Juu Sana!" Kila siku, "Aliye Juu Zaidi!" 00:00:21.246 --> 00:00:23.736 Tunataka kuwaangamiza wote! 00:00:23.837 --> 00:00:26.727 Mimi ni Anita, ninatoka Australlia. 00:00:26.916 --> 00:00:33.072 Mtu wa Mungu aliponigusa, nilianza tu kutembea huku na kule. Sikujua kwa nini nilikuwa nikitembea huku na kule. 00:00:33.202 --> 00:00:37.816 Nilihisi kukimbia. Nilikuwa na wasiwasi kwa miguu yangu. 00:00:39.004 --> 00:00:41.212 Nena, pepo! Umemfanya nini? 00:00:41.877 --> 00:00:43.247 Unamuangamizaje? 00:00:43.672 --> 00:00:51.542 Kazi yake. Yeye ni mwanamke mkubwa. Kubwa! 00:00:51.542 --> 00:00:57.350 Kwa upande wa kile ninachofanya katika kazi yangu, ninaongoza programu kubwa ndani ya sekta ya serikali. 00:00:57.423 --> 00:01:01.013 Hivyo ndivyo mimi hufanya wakati mabadiliko yanahitaji kutekelezwa. 00:01:01.013 --> 00:01:06.942 Hapo ndipo ninapoingia na kufanya hivyo, wakati mwingine katika serikali ya jimbo au serikali ya shirikisho. Hivyo ndivyo ninavyofanya. 00:01:07.232 --> 00:01:10.463 Umefanya nini kwa familia yake, kwa kazi yake, kwa afya yake? 00:01:10.658 --> 00:01:12.011 Nena kwa jina kuu la Yesu! 00:01:12.336 --> 00:01:17.046 Kazi yake, hatutaki aendelee! Tunaendelea kumkatisha tamaa! 00:01:17.336 --> 00:01:23.866 Nadhani (pepo) alikuwa akimaanisha baadhi ya wanafamilia yangu ambao wamevamiwa. 00:01:23.866 --> 00:01:26.398 Katika kazi zao na afya zao pia. 00:01:26.680 --> 00:01:30.856 Mambo yamekuwa hayaendi vizuri, kama mtu angetarajia. 00:01:30.856 --> 00:01:33.306 Kwa hivyo ndio, naweza kudhibitisha hilo. Ndiyo. 00:01:33.306 --> 00:01:36.358 Kuchanganyikiwa sana, kurudi nyuma sana. 00:01:37.213 --> 00:01:40.311 Wakati mwingine sijui kurudi nyuma kunatoka wapi. 00:01:40.311 --> 00:01:44.197 Ilikuwa ngumu sana katika suala la mahali pa kazi na wapi nilipaswa kwenda. 00:01:44.197 --> 00:01:46.171 lakini yeye ni mkubwa sana 00:01:46.171 --> 00:01:50.055 Anafanya mambo makubwa. 00:01:50.055 --> 00:01:55.430 Anakotoka, anafanya mambo makubwa kwa urahisi kama hivyo, 00:01:55.430 --> 00:01:58.875 kwa sababu yeye humwita Aliye Juu 00:01:59.322 --> 00:02:02.944 "Juu sana!" 00:02:02.944 --> 00:02:05.471 Ninatumia muda mwingi katika maombi. 00:02:05.471 --> 00:02:08.176 Katika nyumba yangu mwenyewe, nina chumba cha maombi 00:02:08.176 --> 00:02:14.241 Mimi hutumia wakati mwingi kumwabudu Mungu, nikiita jina Lake, Mungu Aliye Juu Zaidi. 00:02:14.241 --> 00:02:17.265 Ninatumia muda mwingi katika maombi na kumwabudu Mungu. 00:02:18.642 --> 00:02:20.962 Ni wakati wa wewe kuondoka kwenye mwili huu! 00:02:21.276 --> 00:02:23.133 Katika jina kuu la Yesu! 00:02:23.133 --> 00:02:25.887 Moto juu ya mwili wako wote! 00:02:25.887 --> 00:02:28.012 Toka kwa jina kuu la Yesu! 00:02:28.012 --> 00:02:30.464 Katika jina kuu la Yesu Kristo! 00:02:30.464 --> 00:02:32.809 Ninatangaza kuwa huru kwa jina la Yesu! 00:02:33.485 --> 00:02:41.495 Nitaendelea kumtumikia na kumwabudu siku zote za maisha yangu, nitamtumikia kwa mali yangu. 00:02:41.495 --> 00:02:43.501 Hiyo ndiyo ahadi yangu kwa Mungu. Amina! 00:02:43.501 --> 00:02:44.555 Asante! 00:02:44.555 --> 00:03:00.544 [♪ Music ♪]