1 00:00:00,279 --> 00:00:01,960 Wewe ni nani demu? Ongea! 2 00:00:02,704 --> 00:00:04,376 Nena kwa jina kuu la Yesu! 3 00:00:04,463 --> 00:00:05,960 Moto wa Roho Mtakatifu! 4 00:00:06,136 --> 00:00:07,574 Moto juu ya mwili wako wote! 5 00:00:07,661 --> 00:00:09,714 Tunataka kumwangamiza! 6 00:00:10,391 --> 00:00:13,361 Lakini yeye ni mkaidi sana! 7 00:00:15,441 --> 00:00:20,998 "Juu Sana! Aliye Juu Sana!" Kila siku, "Aliye Juu Zaidi!" 8 00:00:21,246 --> 00:00:23,736 Tunataka kuwaangamiza wote! 9 00:00:23,837 --> 00:00:26,727 Mimi ni Anita, ninatoka Australlia. 10 00:00:26,916 --> 00:00:33,072 Mtu wa Mungu aliponigusa, nilianza tu kutembea huku na kule. Sikujua kwa nini nilikuwa nikitembea huku na kule. 11 00:00:33,202 --> 00:00:37,816 Nilihisi kukimbia. Nilikuwa na wasiwasi kwa miguu yangu. 12 00:00:39,004 --> 00:00:41,212 Nena, pepo! Umemfanya nini? 13 00:00:41,877 --> 00:00:43,247 Unamuangamizaje? 14 00:00:43,672 --> 00:00:51,542 Kazi yake. Yeye ni mwanamke mkubwa. Kubwa! 15 00:00:51,542 --> 00:00:57,350 Kwa upande wa kile ninachofanya katika kazi yangu, ninaongoza programu kubwa ndani ya sekta ya serikali. 16 00:00:57,423 --> 00:01:01,013 Hivyo ndivyo mimi hufanya wakati mabadiliko yanahitaji kutekelezwa. 17 00:01:01,013 --> 00:01:06,942 Hapo ndipo ninapoingia na kufanya hivyo, wakati mwingine katika serikali ya jimbo au serikali ya shirikisho. Hivyo ndivyo ninavyofanya. 18 00:01:07,232 --> 00:01:10,463 Umefanya nini kwa familia yake, kwa kazi yake, kwa afya yake? 19 00:01:10,658 --> 00:01:12,011 Nena kwa jina kuu la Yesu! 20 00:01:12,336 --> 00:01:17,046 Kazi yake, hatutaki aendelee! Tunaendelea kumkatisha tamaa! 21 00:01:17,336 --> 00:01:23,866 Nadhani (pepo) alikuwa akimaanisha baadhi ya wanafamilia yangu ambao wamevamiwa. 22 00:01:23,866 --> 00:01:26,398 Katika kazi zao na afya zao pia. 23 00:01:26,680 --> 00:01:30,856 Mambo yamekuwa hayaendi vizuri, kama mtu angetarajia. 24 00:01:30,856 --> 00:01:33,306 Kwa hivyo ndio, naweza kudhibitisha hilo. Ndiyo. 25 00:01:33,306 --> 00:01:36,358 Kuchanganyikiwa sana, kurudi nyuma sana. 26 00:01:37,213 --> 00:01:40,311 Wakati mwingine sijui kurudi nyuma kunatoka wapi. 27 00:01:40,311 --> 00:01:44,197 Ilikuwa ngumu sana katika suala la mahali pa kazi na wapi nilipaswa kwenda. 28 00:01:44,197 --> 00:01:46,171 lakini yeye ni mkubwa sana 29 00:01:46,171 --> 00:01:50,055 Anafanya mambo makubwa. 30 00:01:50,055 --> 00:01:55,430 Anakotoka, anafanya mambo makubwa kwa urahisi kama hivyo, 31 00:01:55,430 --> 00:01:58,875 kwa sababu yeye humwita Aliye Juu 32 00:01:59,322 --> 00:02:02,944 "Juu sana!" 33 00:02:02,944 --> 00:02:05,471 Ninatumia muda mwingi katika maombi. 34 00:02:05,471 --> 00:02:08,176 Katika nyumba yangu mwenyewe, nina chumba cha maombi 35 00:02:08,176 --> 00:02:14,241 Mimi hutumia wakati mwingi kumwabudu Mungu, nikiita jina Lake, Mungu Aliye Juu Zaidi. 36 00:02:14,241 --> 00:02:17,265 Ninatumia muda mwingi katika maombi na kumwabudu Mungu. 37 00:02:18,642 --> 00:02:20,962 Ni wakati wa wewe kuondoka kwenye mwili huu! 38 00:02:21,276 --> 00:02:23,133 Katika jina kuu la Yesu! 39 00:02:23,133 --> 00:02:25,887 Moto juu ya mwili wako wote! 40 00:02:25,887 --> 00:02:28,012 Toka kwa jina kuu la Yesu! 41 00:02:28,012 --> 00:02:30,464 Katika jina kuu la Yesu Kristo! 42 00:02:30,464 --> 00:02:32,809 Ninatangaza kuwa huru kwa jina la Yesu! 43 00:02:33,485 --> 00:02:41,495 Nitaendelea kumtumikia na kumwabudu siku zote za maisha yangu, nitamtumikia kwa mali yangu. 44 00:02:41,495 --> 00:02:43,501 Hiyo ndiyo ahadi yangu kwa Mungu. Amina! 45 00:02:43,501 --> 00:02:44,555 Asante! 46 00:02:44,555 --> 00:03:00,544 [♪ Music ♪]