[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.28,0:00:01.96,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ni nani demu? Ongea! Dialogue: 0,0:00:02.70,0:00:04.38,Default,,0000,0000,0000,,Nena kwa jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:00:04.46,0:00:05.96,Default,,0000,0000,0000,,Moto wa Roho Mtakatifu! Dialogue: 0,0:00:06.14,0:00:07.57,Default,,0000,0000,0000,,Moto juu ya mwili wako wote! Dialogue: 0,0:00:07.66,0:00:09.71,Default,,0000,0000,0000,,Tunataka kumwangamiza! Dialogue: 0,0:00:10.39,0:00:13.36,Default,,0000,0000,0000,,Lakini yeye ni mkaidi sana! Dialogue: 0,0:00:15.44,0:00:20.100,Default,,0000,0000,0000,,"Juu Sana! Aliye Juu Sana!" Kila siku, "Aliye Juu Zaidi!" Dialogue: 0,0:00:21.25,0:00:23.74,Default,,0000,0000,0000,,Tunataka kuwaangamiza wote! Dialogue: 0,0:00:23.84,0:00:26.73,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni Anita, ninatoka Australlia. Dialogue: 0,0:00:26.92,0:00:33.07,Default,,0000,0000,0000,,Mtu wa Mungu aliponigusa, nilianza tu kutembea huku na kule. Sikujua kwa nini nilikuwa nikitembea huku na kule. Dialogue: 0,0:00:33.20,0:00:37.82,Default,,0000,0000,0000,,Nilihisi kukimbia. Nilikuwa na wasiwasi kwa miguu yangu. Dialogue: 0,0:00:39.00,0:00:41.21,Default,,0000,0000,0000,,Nena, pepo! Umemfanya nini? Dialogue: 0,0:00:41.88,0:00:43.25,Default,,0000,0000,0000,,Unamuangamizaje? Dialogue: 0,0:00:43.67,0:00:51.54,Default,,0000,0000,0000,,Kazi yake. Yeye ni mwanamke mkubwa. Kubwa! Dialogue: 0,0:00:51.54,0:00:57.35,Default,,0000,0000,0000,,Kwa upande wa kile ninachofanya katika kazi yangu, ninaongoza programu kubwa ndani ya sekta ya serikali. Dialogue: 0,0:00:57.42,0:01:01.01,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ndivyo mimi hufanya wakati mabadiliko yanahitaji kutekelezwa. Dialogue: 0,0:01:01.01,0:01:06.94,Default,,0000,0000,0000,,Hapo ndipo ninapoingia na kufanya hivyo, wakati mwingine katika serikali ya jimbo au serikali ya shirikisho. Hivyo ndivyo ninavyofanya. Dialogue: 0,0:01:07.23,0:01:10.46,Default,,0000,0000,0000,,Umefanya nini kwa familia yake, kwa kazi yake, kwa afya yake? Dialogue: 0,0:01:10.66,0:01:12.01,Default,,0000,0000,0000,,Nena kwa jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:01:12.34,0:01:17.05,Default,,0000,0000,0000,,Kazi yake, hatutaki aendelee! Tunaendelea kumkatisha tamaa! Dialogue: 0,0:01:17.34,0:01:23.87,Default,,0000,0000,0000,,Nadhani (pepo) alikuwa akimaanisha baadhi ya wanafamilia yangu ambao wamevamiwa. Dialogue: 0,0:01:23.87,0:01:26.40,Default,,0000,0000,0000,,Katika kazi zao na afya zao pia. Dialogue: 0,0:01:26.68,0:01:30.86,Default,,0000,0000,0000,,Mambo yamekuwa hayaendi vizuri, kama mtu angetarajia. Dialogue: 0,0:01:30.86,0:01:33.31,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ndio, naweza kudhibitisha hilo. Ndiyo. Dialogue: 0,0:01:33.31,0:01:36.36,Default,,0000,0000,0000,,Kuchanganyikiwa sana, kurudi nyuma sana. Dialogue: 0,0:01:37.21,0:01:40.31,Default,,0000,0000,0000,,Wakati mwingine sijui kurudi nyuma kunatoka wapi. Dialogue: 0,0:01:40.31,0:01:44.20,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ngumu sana katika suala la mahali pa kazi na wapi nilipaswa kwenda. Dialogue: 0,0:01:44.20,0:01:46.17,Default,,0000,0000,0000,,lakini yeye ni mkubwa sana Dialogue: 0,0:01:46.17,0:01:50.06,Default,,0000,0000,0000,,Anafanya mambo makubwa. Dialogue: 0,0:01:50.06,0:01:55.43,Default,,0000,0000,0000,,Anakotoka, anafanya mambo makubwa kwa urahisi kama hivyo, Dialogue: 0,0:01:55.43,0:01:58.88,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu yeye humwita Aliye Juu Dialogue: 0,0:01:59.32,0:02:02.94,Default,,0000,0000,0000,,"Juu sana!" Dialogue: 0,0:02:02.94,0:02:05.47,Default,,0000,0000,0000,,Ninatumia muda mwingi katika maombi. Dialogue: 0,0:02:05.47,0:02:08.18,Default,,0000,0000,0000,,Katika nyumba yangu mwenyewe, nina chumba cha maombi Dialogue: 0,0:02:08.18,0:02:14.24,Default,,0000,0000,0000,,Mimi hutumia wakati mwingi kumwabudu Mungu, nikiita jina Lake, Mungu Aliye Juu Zaidi. Dialogue: 0,0:02:14.24,0:02:17.26,Default,,0000,0000,0000,,Ninatumia muda mwingi katika maombi na kumwabudu Mungu. Dialogue: 0,0:02:18.64,0:02:20.96,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakati wa wewe kuondoka kwenye mwili huu! Dialogue: 0,0:02:21.28,0:02:23.13,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:02:23.13,0:02:25.89,Default,,0000,0000,0000,,Moto juu ya mwili wako wote! Dialogue: 0,0:02:25.89,0:02:28.01,Default,,0000,0000,0000,,Toka kwa jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:02:28.01,0:02:30.46,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu Kristo! Dialogue: 0,0:02:30.46,0:02:32.81,Default,,0000,0000,0000,,Ninatangaza kuwa huru kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:02:33.48,0:02:41.50,Default,,0000,0000,0000,,Nitaendelea kumtumikia na kumwabudu siku zote za maisha yangu, nitamtumikia kwa mali yangu. Dialogue: 0,0:02:41.50,0:02:43.50,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ndiyo ahadi yangu kwa Mungu. Amina! Dialogue: 0,0:02:43.50,0:02:44.56,Default,,0000,0000,0000,,Asante! Dialogue: 0,0:02:44.56,0:03:00.54,Default,,0000,0000,0000,,[♪ Music ♪]