[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:07.50,Default,,0000,0000,0000,,Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho. Dialogue: 0,0:00:07.50,0:00:19.20,Default,,0000,0000,0000,,Inakupa kidogo sana kuliko unavyotamani na inachukua zaidi ya vile unavyofikiria. Dialogue: 0,0:00:19.20,0:00:29.70,Default,,0000,0000,0000,,Dhambi ni kama moto wa nyikani ambao hauwezi kuzuilika mara moja unapowashwa. Dialogue: 0,0:00:29.70,0:00:37.20,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna jitihada za kibinadamu za kuizuia zitafanikiwa bila toba. Dialogue: 0,0:00:37.20,0:00:49.60,Default,,0000,0000,0000,,Dhambi itakupeleka mbali zaidi kuliko ulivyo jiandaa kupotea, Dialogue: 0,0:00:49.60,0:00:56.70,Default,,0000,0000,0000,,itakushikilia kwa muda mrefu kuliko vile unavyotaka kukaa, Dialogue: 0,0:00:56.70,0:01:01.80,Default,,0000,0000,0000,,na itakugharimu zaidi ya ulivyo tayari kulipa.