WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:07.500 Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho. 00:00:07.500 --> 00:00:19.200 Inakupa kidogo sana kuliko unavyotamani na inachukua zaidi ya vile unavyofikiria. 00:00:19.200 --> 00:00:29.700 Dhambi ni kama moto wa nyikani ambao hauwezi kuzuilika mara moja unapowashwa. 00:00:29.700 --> 00:00:37.200 Hakuna jitihada za kibinadamu za kuizuia zitafanikiwa bila toba. 00:00:37.200 --> 00:00:49.600 Dhambi itakupeleka mbali zaidi kuliko ulivyo jiandaa kupotea, 00:00:49.600 --> 00:00:56.700 itakushikilia kwa muda mrefu kuliko vile unavyotaka kukaa, 00:00:56.700 --> 00:01:01.800 na itakugharimu zaidi ya ulivyo tayari kulipa.