Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru .
Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru
Pokea uhuru,pokea uhuru leo!
Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU.
Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako
Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu
Anajua hali yako .
Anajua Kesi yako (Ombi )
Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi.
Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia )
Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu
Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu.
Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka
Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika
hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu.
usijiangalie kama mwathiriwa.
Hiyo tu itachochea uongo.
Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako
Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako.
Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia.
Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia
Hali yeyote uliyomo sana , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa.
Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi
Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe .
Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi
Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe
Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo
hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe
kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo
Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote!
Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa
achilia msamaha !
Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo
Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi?
Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO
Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU-
ondolewa sasa hivi!
Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO
Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi.
Wekwa huru kwa JINA LA YESU
Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu
Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama
hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo
katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini
sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu -
na amuru huyo roho mchafu toka inje!
Toka , kwa Jina KUU KA YESU !
Iamuru , sasa
Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi !
wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ?
Nakuamuru sasa toka .
wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ?
nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO
TOKA !
Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini
na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani wako , kutoka kwa familia yako
toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako
Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa!
Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu !
wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu
Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu.
nakuamuru toka sasa!
ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa.
Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru.
Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru.
pokea uhuru, pokea uhuru leo!
wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha,
Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi.
tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU
unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi
naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi,
lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU.
Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika !
Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu,
kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii
Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU.
Vunja hiyo tabia mbaya.
ivunje !
Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako
Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU
Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU
Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako
natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu
toka!
shafishwa inje !
shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili
Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza
kutoka sasa hivi
Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?.
ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?..
mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo.
kama uko na picha ya mtu inua juu.
Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO.