0:00:01.000,0:00:06.400 Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru . 0:00:06.400,0:00:11.440 Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru 0:00:11.440,0:00:16.440 Pokea uhuru,pokea uhuru leo! 0:00:23.080,0:00:34.600 Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU. 0:00:34.600,0:00:43.560 Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako 0:00:43.560,0:00:53.800 Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu 0:00:53.800,0:00:57.280 Anajua hali yako . 0:00:57.280,0:00:59.800 Anajua Kesi yako (Ombi ) 0:00:59.800,0:01:06.760 Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi. 0:01:06.760,0:01:17.960 Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia ) 0:01:17.960,0:01:29.360 Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu 0:01:29.360,0:01:33.280 Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu. 0:01:33.280,0:01:42.320 Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka 0:01:42.320,0:01:50.320 Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika 0:01:50.320,0:01:56.600 hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu. 0:01:56.600,0:02:01.000 usijiangalie kama mwathiriwa. 0:02:01.000,0:02:03.720 Hiyo tu itachochea uongo. 0:02:03.720,0:02:09.680 Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako 0:02:09.680,0:02:17.720 Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako. 0:02:17.720,0:02:23.600 Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia. 0:02:23.600,0:02:30.400 Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia 0:02:30.400,0:02:39.360 Hali yeyote uliyomo sana , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa. 0:02:39.360,0:02:46.520 Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi 0:02:46.520,0:02:53.560 Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe . 0:02:53.560,0:02:58.640 Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi 0:02:58.640,0:03:04.600 Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe 0:03:04.600,0:03:09.400 Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo 0:03:09.400,0:03:15.680 hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe 0:03:15.680,0:03:19.440 kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo 0:03:19.440,0:03:26.520 Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote! 0:03:26.520,0:03:32.120 Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa 0:03:32.120,0:03:39.640 achilia msamaha ! 0:03:39.640,0:03:44.920 Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo 0:04:24.800,0:04:34.880 Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi? 0:04:34.880,0:04:41.440 Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO 0:04:56.960,0:05:08.720 Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU- 0:05:08.720,0:05:14.240 ondolewa sasa hivi! 0:05:14.240,0:05:18.360 Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO 0:05:37.040,0:05:48.960 Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi. 0:05:48.960,0:05:56.320 Wekwa huru kwa JINA LA YESU 0:06:18.560,0:06:30.480 Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu 0:06:30.480,0:06:38.160 Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama 0:06:38.160,0:06:45.920 hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo 0:06:45.920,0:06:51.400 katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini 0:06:51.400,0:07:00.920 sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu - 0:07:00.920,0:07:08.400 na amuru huyo roho mchafu toka inje! 0:07:08.400,0:07:11.680 Toka , kwa Jina KUU KA YESU ! 0:07:11.680,0:07:16.360 Iamuru , sasa 0:08:01.200,0:08:08.560 Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi ! 0:08:08.560,0:08:13.520 wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ? 0:08:13.520,0:08:17.960 Nakuamuru sasa toka . 0:08:17.960,0:08:22.960 wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ? 0:08:22.960,0:08:28.720 nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO 0:08:28.720,0:08:35.000 TOKA ! 0:09:00.440,0:09:05.200 Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini 0:09:05.200,0:09:12.240 na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani wako , kutoka kwa familia yako 0:09:12.240,0:09:18.760 toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako 0:09:18.760,0:09:26.280 Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa! 0:09:26.280,0:09:29.640 Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu ! 0:09:29.640,0:09:33.360 wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu 0:09:33.360,0:09:38.400 Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu. 0:09:38.400,0:09:42.520 nakuamuru toka sasa! 0:10:13.720,0:10:23.760 ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa. 0:10:23.760,0:10:29.680 Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru. 0:10:29.680,0:10:34.720 Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru. 0:10:34.720,0:10:39.600 pokea uhuru, pokea uhuru leo! 0:11:03.920,0:11:10.440 wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha, 0:11:10.440,0:11:14.600 Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi. 0:11:14.600,0:11:20.320 tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU 0:11:20.320,0:11:24.400 unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi 0:11:24.400,0:11:31.360 naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi, 0:11:31.360,0:11:38.080 lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU. 0:11:38.080,0:11:47.040 Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika ! 0:12:19.920,0:12:25.160 Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu, 0:12:25.160,0:12:29.760 kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii 0:12:29.760,0:12:39.360 Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU. 0:12:39.360,0:12:44.120 Vunja hiyo tabia mbaya. 0:12:44.120,0:12:47.960 ivunje ! 0:13:07.240,0:13:12.720 Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako 0:13:12.720,0:13:18.400 Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU 0:13:18.400,0:13:21.920 Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU 0:13:21.920,0:13:29.720 Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako 0:13:29.720,0:13:37.720 natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu 0:13:37.720,0:13:39.640 toka! 0:13:39.640,0:13:44.800 shafishwa inje ! 0:13:44.800,0:13:53.640 shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili 0:13:53.640,0:13:59.920 Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza 0:13:59.920,0:14:02.280 kutoka sasa hivi 0:14:41.960,0:14:46.200 Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?. 0:14:46.200,0:14:50.000 ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?.. 0:14:50.000,0:14:53.280 mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo. 0:14:53.280,0:14:56.160 kama uko na picha ya mtu inua juu. 0:14:56.160,0:15:01.360 Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO. 0:15:01.360,0:15:08.480 Kuna kuvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBO INANGUVU SANA 0:15:08.480,0:15:15.880 kupita kuvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu. 0:15:15.880,0:15:23.000 sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao- 0:15:23.000,0:15:29.560 naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU 0:15:29.560,0:15:32.160 Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako ! 0:15:32.160,0:15:36.760 hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni, 0:15:36.760,0:15:41.080 hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni - 0:15:41.080,0:15:44.560 mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako - 0:15:44.560,0:15:51.240 pokea uponyaji ! 0:16:21.040,0:16:24.560 Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa. 0:16:24.560,0:16:28.600 Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa 0:16:28.600,0:16:34.360 Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso. 0:16:34.360,0:16:37.400 kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu. 0:16:37.400,0:16:45.280 Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako 0:16:45.280,0:16:51.280 amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho. 0:16:51.280,0:16:54.680 Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo 0:16:54.680,0:17:01.360 Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa ! 0:17:01.360,0:17:07.720 Ghairiwa kwa JINA LA YESU! 0:17:47.120,0:17:58.720 Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii 0:17:58.720,0:18:03.240 Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi 0:18:03.240,0:18:06.000 Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO) 0:18:06.000,0:18:10.640 Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako . 0:18:10.640,0:18:16.480 Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako. 0:18:16.480,0:18:21.760 Vunjika sasa. 0:18:21.760,0:18:26.280 Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa. 0:18:26.280,0:18:30.480 Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi 0:18:30.480,0:18:36.160 Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka. 0:18:36.160,0:18:40.600 vunja sasa! 0:19:11.640,0:19:20.960 Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji . 0:19:20.960,0:19:26.560 sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza 0:19:26.560,0:19:32.480 Pokea sasa kwa JINA LA YESU 0:19:53.040,0:20:04.400 Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani 0:20:04.400,0:20:15.000 Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato? 0:20:15.000,0:20:19.680 Ni nini kinachozuia kazi yako ?. 0:20:19.680,0:20:26.240 sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi 0:20:26.240,0:20:31.800 kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO 0:20:31.800,0:20:36.040 Ondolewa sasa. 0:20:36.040,0:20:41.160 Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi - 0:20:41.160,0:20:47.840 vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako 0:20:47.840,0:20:50.000 Vunja kwa jina la YESU KRISTO. 0:21:30.040,0:21:36.520 Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka 0:21:36.520,0:21:41.840 ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu. 0:21:41.840,0:21:46.120 sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako. 0:21:46.120,0:21:51.720 Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje 0:21:51.720,0:21:55.880 na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe. 0:21:55.880,0:21:59.920 Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka - 0:21:59.920,0:22:05.640 sawazishwa sasa hivi ! 0:22:31.440,0:22:36.920 Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa- 0:22:36.920,0:22:41.000 leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO 0:22:41.000,0:22:44.440 Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali . 0:22:44.440,0:22:47.840 umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa 0:22:47.840,0:22:51.600 Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU. 0:22:51.600,0:22:56.160 Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha, 0:22:56.160,0:23:00.760 Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya 0:23:00.760,0:23:06.280 Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU. 0:23:06.280,0:23:12.960 Pokea kIBALI ! 0:23:45.160,0:23:49.280 Mtoke sasa kwa Jina LA YESU 0:23:52.080,0:23:53.480 Asante ROHO MTAKATIFU 0:23:55.360,0:24:00.920 Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu! 0:24:00.920,0:24:08.520 Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi- 0:24:08.520,0:24:12.600 umejixunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu. 0:24:12.600,0:24:21.640 0:24:21.640,0:24:24.400 0:24:24.400,0:24:31.120 0:24:31.120,0:24:35.240 0:24:35.240,0:24:38.560 0:24:38.560,0:24:42.120 0:25:20.160,0:25:23.560 0:25:30.440,0:25:33.000 0:25:35.600,0:25:38.160 0:25:49.320,0:25:50.320 0:25:50.320,0:25:55.120 0:25:55.120,0:25:58.080 0:25:58.080,0:26:06.280 0:26:06.280,0:26:14.920 0:26:14.920,0:26:19.720 0:26:19.720,0:26:27.680 0:26:59.320,0:27:05.520 0:27:05.520,0:27:11.240 0:27:11.240,0:27:17.840 0:27:17.840,0:27:26.920 0:27:53.800,0:28:05.080 0:28:05.080,0:28:16.600 0:28:16.600,0:28:21.080 0:28:21.080,0:28:25.640 0:28:25.640,0:28:30.360 0:28:30.360,0:28:36.440 0:28:36.440,0:28:41.320 0:28:41.320,0:28:49.480 0:28:49.480,0:28:53.720 0:28:53.720,0:28:58.960 0:28:58.960,0:29:03.040 0:29:03.040,0:29:08.280 0:29:48.840,0:29:52.600 0:29:52.600,0:29:56.640 0:29:56.640,0:30:02.000 0:30:02.000,0:30:04.480 0:30:04.480,0:30:10.320 0:30:10.320,0:30:15.720 0:30:42.040,0:30:47.440 0:30:47.440,0:30:54.760 0:30:54.760,0:31:02.800 0:31:02.800,0:31:07.040 0:31:07.040,0:31:11.680 0:31:11.680,0:31:18.320 0:31:18.320,0:31:23.880 0:31:23.880,0:31:30.640 0:31:30.640,0:31:40.560 0:31:40.560,0:31:46.880 0:31:46.880,0:31:51.160 0:31:51.160,0:31:53.800 0:31:53.800,0:31:59.920 0:31:59.920,0:32:03.720 0:32:03.720,0:32:07.600 0:32:07.600,0:32:10.520 0:32:10.520,0:32:14.680 0:32:14.680,0:32:20.800 0:32:20.800,0:32:27.520 0:32:27.520,0:32:41.400 0:32:41.400,0:32:50.160 0:32:50.160,0:32:56.440 0:32:56.440,0:33:01.320 0:33:01.320,0:33:08.720 0:33:08.720,0:33:11.920 0:33:11.920,0:33:19.040 0:33:19.040,0:33:26.320 0:33:26.320,0:33:32.160 0:33:32.160,0:33:34.800 0:33:34.800,0:33:45.520 0:33:45.520,0:33:57.400 0:33:57.400,0:34:06.400 0:34:06.400,0:34:12.160 0:34:12.160,0:34:20.880 0:34:20.880,0:34:27.040 0:34:27.040,0:34:33.440 0:34:33.440,0:34:37.800 0:34:37.800,0:34:43.240 0:34:43.240,0:34:51.400 0:34:51.400,0:34:59.920 0:34:59.920,0:35:09.520