1 00:00:01,000 --> 00:00:06,400 Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru . 2 00:00:06,400 --> 00:00:11,440 Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru 3 00:00:11,440 --> 00:00:16,440 Pokea uhuru,pokea uhuru leo! 4 00:00:23,080 --> 00:00:34,600 Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU. 5 00:00:34,600 --> 00:00:43,560 Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako 6 00:00:43,560 --> 00:00:53,800 Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu 7 00:00:53,800 --> 00:00:57,280 Anajua hali yako . 8 00:00:57,280 --> 00:00:59,800 Anajua Kesi yako (Ombi ) 9 00:00:59,800 --> 00:01:06,760 Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi. 10 00:01:06,760 --> 00:01:17,960 Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia ) 11 00:01:17,960 --> 00:01:29,360 Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu 12 00:01:29,360 --> 00:01:33,280 Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu. 13 00:01:33,280 --> 00:01:42,320 Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka 14 00:01:42,320 --> 00:01:50,320 Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika 15 00:01:50,320 --> 00:01:56,600 hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu. 16 00:01:56,600 --> 00:02:01,000 usijiangalie kama mwathiriwa. 17 00:02:01,000 --> 00:02:03,720 Hiyo tu itachochea uongo. 18 00:02:03,720 --> 00:02:09,680 Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako 19 00:02:09,680 --> 00:02:17,720 Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako. 20 00:02:17,720 --> 00:02:23,600 Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia. 21 00:02:23,600 --> 00:02:30,400 Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia 22 00:02:30,400 --> 00:02:39,360 Hali yeyote uliyomo sana , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa. 23 00:02:39,360 --> 00:02:46,520 Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi 24 00:02:46,520 --> 00:02:53,560 Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe . 25 00:02:53,560 --> 00:02:58,640 Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi 26 00:02:58,640 --> 00:03:04,600 Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe 27 00:03:04,600 --> 00:03:09,400 Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo 28 00:03:09,400 --> 00:03:15,680 hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe 29 00:03:15,680 --> 00:03:19,440 kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo 30 00:03:19,440 --> 00:03:26,520 Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote! 31 00:03:26,520 --> 00:03:32,120 Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa 32 00:03:32,120 --> 00:03:39,640 achilia msamaha ! 33 00:03:39,640 --> 00:03:44,920 Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo 34 00:04:24,800 --> 00:04:34,880 Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi? 35 00:04:34,880 --> 00:04:41,440 Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO 36 00:04:56,960 --> 00:05:08,720 Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU- 37 00:05:08,720 --> 00:05:14,240 ondolewa sasa hivi! 38 00:05:14,240 --> 00:05:18,360 Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO 39 00:05:37,040 --> 00:05:48,960 Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi. 40 00:05:48,960 --> 00:05:56,320 Wekwa huru kwa JINA LA YESU 41 00:06:18,560 --> 00:06:30,480 Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu 42 00:06:30,480 --> 00:06:38,160 Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama 43 00:06:38,160 --> 00:06:45,920 hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo 44 00:06:45,920 --> 00:06:51,400 katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini 45 00:06:51,400 --> 00:07:00,920 sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu - 46 00:07:00,920 --> 00:07:08,400 na amuru huyo roho mchafu toka inje! 47 00:07:08,400 --> 00:07:11,680 Toka , kwa Jina KUU KA YESU ! 48 00:07:11,680 --> 00:07:16,360 Iamuru , sasa 49 00:08:01,200 --> 00:08:08,560 Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi ! 50 00:08:08,560 --> 00:08:13,520 wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ? 51 00:08:13,520 --> 00:08:17,960 Nakuamuru sasa toka . 52 00:08:17,960 --> 00:08:22,960 wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ? 53 00:08:22,960 --> 00:08:28,720 nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO 54 00:08:28,720 --> 00:08:35,000 TOKA ! 55 00:09:00,440 --> 00:09:05,200 Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini 56 00:09:05,200 --> 00:09:12,240 na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani wako , kutoka kwa familia yako 57 00:09:12,240 --> 00:09:18,760 toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako 58 00:09:18,760 --> 00:09:26,280 Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa! 59 00:09:26,280 --> 00:09:29,640 Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu ! 60 00:09:29,640 --> 00:09:33,360 wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu 61 00:09:33,360 --> 00:09:38,400 Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu. 62 00:09:38,400 --> 00:09:42,520 nakuamuru toka sasa! 63 00:10:13,720 --> 00:10:23,760 ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa. 64 00:10:23,760 --> 00:10:29,680 Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru. 65 00:10:29,680 --> 00:10:34,720 Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru. 66 00:10:34,720 --> 00:10:39,600 pokea uhuru, pokea uhuru leo! 67 00:11:03,920 --> 00:11:10,440 wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha, 68 00:11:10,440 --> 00:11:14,600 Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi. 69 00:11:14,600 --> 00:11:20,320 tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU 70 00:11:20,320 --> 00:11:24,400 unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi 71 00:11:24,400 --> 00:11:31,360 naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi, 72 00:11:31,360 --> 00:11:38,080 lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU. 73 00:11:38,080 --> 00:11:47,040 Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika ! 74 00:12:19,920 --> 00:12:25,160 Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu, 75 00:12:25,160 --> 00:12:29,760 kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii 76 00:12:29,760 --> 00:12:39,360 Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU. 77 00:12:39,360 --> 00:12:44,120 Vunja hiyo tabia mbaya. 78 00:12:44,120 --> 00:12:47,960 ivunje ! 79 00:13:07,240 --> 00:13:12,720 Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako 80 00:13:12,720 --> 00:13:18,400 Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU 81 00:13:18,400 --> 00:13:21,920 Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU 82 00:13:21,920 --> 00:13:29,720 Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako 83 00:13:29,720 --> 00:13:37,720 natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu 84 00:13:37,720 --> 00:13:39,640 toka! 85 00:13:39,640 --> 00:13:44,800 shafishwa inje ! 86 00:13:44,800 --> 00:13:53,640 shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili 87 00:13:53,640 --> 00:13:59,920 Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza 88 00:13:59,920 --> 00:14:02,280 kutoka sasa hivi 89 00:14:41,960 --> 00:14:46,200 Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?. 90 00:14:46,200 --> 00:14:50,000 ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?.. 91 00:14:50,000 --> 00:14:53,280 mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo. 92 00:14:53,280 --> 00:14:56,160 kama uko na picha ya mtu inua juu. 93 00:14:56,160 --> 00:15:01,360 Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO. 94 00:15:01,360 --> 00:15:08,480 Kuna kuvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBO INANGUVU SANA 95 00:15:08,480 --> 00:15:15,880 kupita kuvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu. 96 00:15:15,880 --> 00:15:23,000 sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao- 97 00:15:23,000 --> 00:15:29,560 naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU 98 00:15:29,560 --> 00:15:32,160 Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako ! 99 00:15:32,160 --> 00:15:36,760 hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni, 100 00:15:36,760 --> 00:15:41,080 hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni - 101 00:15:41,080 --> 00:15:44,560 mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako - 102 00:15:44,560 --> 00:15:51,240 pokea uponyaji ! 103 00:16:21,040 --> 00:16:24,560 Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa. 104 00:16:24,560 --> 00:16:28,600 Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa 105 00:16:28,600 --> 00:16:34,360 Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso. 106 00:16:34,360 --> 00:16:37,400 kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu. 107 00:16:37,400 --> 00:16:45,280 Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako 108 00:16:45,280 --> 00:16:51,280 amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho. 109 00:16:51,280 --> 00:16:54,680 Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo 110 00:16:54,680 --> 00:17:01,360 Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa ! 111 00:17:01,360 --> 00:17:07,720 Ghairiwa kwa JINA LA YESU! 112 00:17:47,120 --> 00:17:58,720 Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii 113 00:17:58,720 --> 00:18:03,240 Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi 114 00:18:03,240 --> 00:18:06,000 Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO) 115 00:18:06,000 --> 00:18:10,640 Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako . 116 00:18:10,640 --> 00:18:16,480 Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako. 117 00:18:16,480 --> 00:18:21,760 Vunjika sasa. 118 00:18:21,760 --> 00:18:26,280 Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa. 119 00:18:26,280 --> 00:18:30,480 Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi 120 00:18:30,480 --> 00:18:36,160 Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka. 121 00:18:36,160 --> 00:18:40,600 vunja sasa! 122 00:19:11,640 --> 00:19:20,960 Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji . 123 00:19:20,960 --> 00:19:26,560 sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza 124 00:19:26,560 --> 00:19:32,480 Pokea sasa kwa JINA LA YESU 125 00:19:53,040 --> 00:20:04,400 Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani 126 00:20:04,400 --> 00:20:15,000 Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato? 127 00:20:15,000 --> 00:20:19,680 Ni nini kinachozuia kazi yako ?. 128 00:20:19,680 --> 00:20:26,240 sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi 129 00:20:26,240 --> 00:20:31,800 kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO 130 00:20:31,800 --> 00:20:36,040 Ondolewa sasa. 131 00:20:36,040 --> 00:20:41,160 Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi - 132 00:20:41,160 --> 00:20:47,840 vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako 133 00:20:47,840 --> 00:20:50,000 Vunja kwa jina la YESU KRISTO. 134 00:21:30,040 --> 00:21:36,520 Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka 135 00:21:36,520 --> 00:21:41,840 ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu. 136 00:21:41,840 --> 00:21:46,120 sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako. 137 00:21:46,120 --> 00:21:51,720 Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje 138 00:21:51,720 --> 00:21:55,880 na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe. 139 00:21:55,880 --> 00:21:59,920 Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka - 140 00:21:59,920 --> 00:22:05,640 sawazishwa sasa hivi ! 141 00:22:31,440 --> 00:22:36,920 Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa- 142 00:22:36,920 --> 00:22:41,000 leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO 143 00:22:41,000 --> 00:22:44,440 Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali . 144 00:22:44,440 --> 00:22:47,840 umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa 145 00:22:47,840 --> 00:22:51,600 Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU. 146 00:22:51,600 --> 00:22:56,160 Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha, 147 00:22:56,160 --> 00:23:00,760 Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya 148 00:23:00,760 --> 00:23:06,280 Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU. 149 00:23:06,280 --> 00:23:12,960 Pokea kIBALI ! 150 00:23:45,160 --> 00:23:49,280 Mtoke sasa kwa Jina LA YESU 151 00:23:52,080 --> 00:23:53,480 Asante ROHO MTAKATIFU 152 00:23:55,360 --> 00:24:00,920 Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu! 153 00:24:00,920 --> 00:24:08,520 Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi- 154 00:24:08,520 --> 00:24:12,600 umejixunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu. 155 00:24:12,600 --> 00:24:21,640 156 00:24:21,640 --> 00:24:24,400 157 00:24:24,400 --> 00:24:31,120 158 00:24:31,120 --> 00:24:35,240 159 00:24:35,240 --> 00:24:38,560 160 00:24:38,560 --> 00:24:42,120 161 00:25:20,160 --> 00:25:23,560 162 00:25:30,440 --> 00:25:33,000 163 00:25:35,600 --> 00:25:38,160 164 00:25:49,320 --> 00:25:50,320 165 00:25:50,320 --> 00:25:55,120 166 00:25:55,120 --> 00:25:58,080 167 00:25:58,080 --> 00:26:06,280 168 00:26:06,280 --> 00:26:14,920 169 00:26:14,920 --> 00:26:19,720 170 00:26:19,720 --> 00:26:27,680 171 00:26:59,320 --> 00:27:05,520 172 00:27:05,520 --> 00:27:11,240 173 00:27:11,240 --> 00:27:17,840 174 00:27:17,840 --> 00:27:26,920 175 00:27:53,800 --> 00:28:05,080 176 00:28:05,080 --> 00:28:16,600 177 00:28:16,600 --> 00:28:21,080 178 00:28:21,080 --> 00:28:25,640 179 00:28:25,640 --> 00:28:30,360 180 00:28:30,360 --> 00:28:36,440 181 00:28:36,440 --> 00:28:41,320 182 00:28:41,320 --> 00:28:49,480 183 00:28:49,480 --> 00:28:53,720 184 00:28:53,720 --> 00:28:58,960 185 00:28:58,960 --> 00:29:03,040 186 00:29:03,040 --> 00:29:08,280 187 00:29:48,840 --> 00:29:52,600 188 00:29:52,600 --> 00:29:56,640 189 00:29:56,640 --> 00:30:02,000 190 00:30:02,000 --> 00:30:04,480 191 00:30:04,480 --> 00:30:10,320 192 00:30:10,320 --> 00:30:15,720 193 00:30:42,040 --> 00:30:47,440 194 00:30:47,440 --> 00:30:54,760 195 00:30:54,760 --> 00:31:02,800 196 00:31:02,800 --> 00:31:07,040 197 00:31:07,040 --> 00:31:11,680 198 00:31:11,680 --> 00:31:18,320 199 00:31:18,320 --> 00:31:23,880 200 00:31:23,880 --> 00:31:30,640 201 00:31:30,640 --> 00:31:40,560 202 00:31:40,560 --> 00:31:46,880 203 00:31:46,880 --> 00:31:51,160 204 00:31:51,160 --> 00:31:53,800 205 00:31:53,800 --> 00:31:59,920 206 00:31:59,920 --> 00:32:03,720 207 00:32:03,720 --> 00:32:07,600 208 00:32:07,600 --> 00:32:10,520 209 00:32:10,520 --> 00:32:14,680 210 00:32:14,680 --> 00:32:20,800 211 00:32:20,800 --> 00:32:27,520 212 00:32:27,520 --> 00:32:41,400 213 00:32:41,400 --> 00:32:50,160 214 00:32:50,160 --> 00:32:56,440 215 00:32:56,440 --> 00:33:01,320 216 00:33:01,320 --> 00:33:08,720 217 00:33:08,720 --> 00:33:11,920 218 00:33:11,920 --> 00:33:19,040 219 00:33:19,040 --> 00:33:26,320 220 00:33:26,320 --> 00:33:32,160 221 00:33:32,160 --> 00:33:34,800 222 00:33:34,800 --> 00:33:45,520 223 00:33:45,520 --> 00:33:57,400 224 00:33:57,400 --> 00:34:06,400 225 00:34:06,400 --> 00:34:12,160 226 00:34:12,160 --> 00:34:20,880 227 00:34:20,880 --> 00:34:27,040 228 00:34:27,040 --> 00:34:33,440 229 00:34:33,440 --> 00:34:37,800 230 00:34:37,800 --> 00:34:43,240 231 00:34:43,240 --> 00:34:51,400 232 00:34:51,400 --> 00:34:59,920 233 00:34:59,920 --> 00:35:09,520