[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.00,0:00:06.40,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru . Dialogue: 0,0:00:06.40,0:00:11.44,Default,,0000,0000,0000,,Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru Dialogue: 0,0:00:11.44,0:00:16.44,Default,,0000,0000,0000,,Pokea uhuru,pokea uhuru leo! Dialogue: 0,0:00:23.08,0:00:34.60,Default,,0000,0000,0000,,Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU. Dialogue: 0,0:00:34.60,0:00:43.56,Default,,0000,0000,0000,,Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako Dialogue: 0,0:00:43.56,0:00:53.80,Default,,0000,0000,0000,,Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu Dialogue: 0,0:00:53.80,0:00:57.28,Default,,0000,0000,0000,,Anajua hali yako . Dialogue: 0,0:00:57.28,0:00:59.80,Default,,0000,0000,0000,,Anajua Kesi yako (Ombi ) Dialogue: 0,0:00:59.80,0:01:06.76,Default,,0000,0000,0000,,Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi. Dialogue: 0,0:01:06.76,0:01:17.96,Default,,0000,0000,0000,,Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia ) Dialogue: 0,0:01:17.96,0:01:29.36,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu Dialogue: 0,0:01:29.36,0:01:33.28,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu. Dialogue: 0,0:01:33.28,0:01:42.32,Default,,0000,0000,0000,,Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka Dialogue: 0,0:01:42.32,0:01:50.32,Default,,0000,0000,0000,,Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika Dialogue: 0,0:01:50.32,0:01:56.60,Default,,0000,0000,0000,,hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu. Dialogue: 0,0:01:56.60,0:02:01.00,Default,,0000,0000,0000,,usijiangalie kama mwathiriwa. Dialogue: 0,0:02:01.00,0:02:03.72,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo tu itachochea uongo. Dialogue: 0,0:02:03.72,0:02:09.68,Default,,0000,0000,0000,,Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako Dialogue: 0,0:02:09.68,0:02:17.72,Default,,0000,0000,0000,,Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako. Dialogue: 0,0:02:17.72,0:02:23.60,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia. Dialogue: 0,0:02:23.60,0:02:30.40,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia Dialogue: 0,0:02:30.40,0:02:39.36,Default,,0000,0000,0000,,Hali yeyote uliyomo sana , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa. Dialogue: 0,0:02:39.36,0:02:46.52,Default,,0000,0000,0000,,Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi Dialogue: 0,0:02:46.52,0:02:53.56,Default,,0000,0000,0000,,Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe . Dialogue: 0,0:02:53.56,0:02:58.64,Default,,0000,0000,0000,,Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi Dialogue: 0,0:02:58.64,0:03:04.60,Default,,0000,0000,0000,,Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe Dialogue: 0,0:03:04.60,0:03:09.40,Default,,0000,0000,0000,,Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo Dialogue: 0,0:03:09.40,0:03:15.68,Default,,0000,0000,0000,,hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe Dialogue: 0,0:03:15.68,0:03:19.44,Default,,0000,0000,0000,,kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo Dialogue: 0,0:03:19.44,0:03:26.52,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote! Dialogue: 0,0:03:26.52,0:03:32.12,Default,,0000,0000,0000,,Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa Dialogue: 0,0:03:32.12,0:03:39.64,Default,,0000,0000,0000,,achilia msamaha ! Dialogue: 0,0:03:39.64,0:03:44.92,Default,,0000,0000,0000,,Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo Dialogue: 0,0:04:24.80,0:04:34.88,Default,,0000,0000,0000,,Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi? Dialogue: 0,0:04:34.88,0:04:41.44,Default,,0000,0000,0000,,Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO Dialogue: 0,0:04:56.96,0:05:08.72,Default,,0000,0000,0000,,Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU- Dialogue: 0,0:05:08.72,0:05:14.24,Default,,0000,0000,0000,,ondolewa sasa hivi! Dialogue: 0,0:05:14.24,0:05:18.36,Default,,0000,0000,0000,,Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO Dialogue: 0,0:05:37.04,0:05:48.96,Default,,0000,0000,0000,,Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi. Dialogue: 0,0:05:48.96,0:05:56.32,Default,,0000,0000,0000,,Wekwa huru kwa JINA LA YESU Dialogue: 0,0:06:18.56,0:06:30.48,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu Dialogue: 0,0:06:30.48,0:06:38.16,Default,,0000,0000,0000,,Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama Dialogue: 0,0:06:38.16,0:06:45.92,Default,,0000,0000,0000,,hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo Dialogue: 0,0:06:45.92,0:06:51.40,Default,,0000,0000,0000,,katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini Dialogue: 0,0:06:51.40,0:07:00.92,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu - Dialogue: 0,0:07:00.92,0:07:08.40,Default,,0000,0000,0000,,na amuru huyo roho mchafu toka inje! Dialogue: 0,0:07:08.40,0:07:11.68,Default,,0000,0000,0000,,Toka , kwa Jina KUU KA YESU ! Dialogue: 0,0:07:11.68,0:07:16.36,Default,,0000,0000,0000,,Iamuru , sasa Dialogue: 0,0:08:01.20,0:08:08.56,Default,,0000,0000,0000,,Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi ! Dialogue: 0,0:08:08.56,0:08:13.52,Default,,0000,0000,0000,,wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ? Dialogue: 0,0:08:13.52,0:08:17.96,Default,,0000,0000,0000,,Nakuamuru sasa toka . Dialogue: 0,0:08:17.96,0:08:22.96,Default,,0000,0000,0000,,wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ? Dialogue: 0,0:08:22.96,0:08:28.72,Default,,0000,0000,0000,,nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO Dialogue: 0,0:08:28.72,0:08:35.00,Default,,0000,0000,0000,,TOKA ! Dialogue: 0,0:09:00.44,0:09:05.20,Default,,0000,0000,0000,,Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini Dialogue: 0,0:09:05.20,0:09:12.24,Default,,0000,0000,0000,,na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani wako , kutoka kwa familia yako Dialogue: 0,0:09:12.24,0:09:18.76,Default,,0000,0000,0000,,toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako Dialogue: 0,0:09:18.76,0:09:26.28,Default,,0000,0000,0000,,Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa! Dialogue: 0,0:09:26.28,0:09:29.64,Default,,0000,0000,0000,,Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu ! Dialogue: 0,0:09:29.64,0:09:33.36,Default,,0000,0000,0000,,wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu Dialogue: 0,0:09:33.36,0:09:38.40,Default,,0000,0000,0000,,Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu. Dialogue: 0,0:09:38.40,0:09:42.52,Default,,0000,0000,0000,,nakuamuru toka sasa! Dialogue: 0,0:10:13.72,0:10:23.76,Default,,0000,0000,0000,,ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa. Dialogue: 0,0:10:23.76,0:10:29.68,Default,,0000,0000,0000,,Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru. Dialogue: 0,0:10:29.68,0:10:34.72,Default,,0000,0000,0000,,Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru. Dialogue: 0,0:10:34.72,0:10:39.60,Default,,0000,0000,0000,,pokea uhuru, pokea uhuru leo! Dialogue: 0,0:11:03.92,0:11:10.44,Default,,0000,0000,0000,,wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha, Dialogue: 0,0:11:10.44,0:11:14.60,Default,,0000,0000,0000,,Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi. Dialogue: 0,0:11:14.60,0:11:20.32,Default,,0000,0000,0000,,tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU Dialogue: 0,0:11:20.32,0:11:24.40,Default,,0000,0000,0000,,unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi Dialogue: 0,0:11:24.40,0:11:31.36,Default,,0000,0000,0000,,naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi, Dialogue: 0,0:11:31.36,0:11:38.08,Default,,0000,0000,0000,,lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU. Dialogue: 0,0:11:38.08,0:11:47.04,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika ! Dialogue: 0,0:12:19.92,0:12:25.16,Default,,0000,0000,0000,,Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu, Dialogue: 0,0:12:25.16,0:12:29.76,Default,,0000,0000,0000,,kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii Dialogue: 0,0:12:29.76,0:12:39.36,Default,,0000,0000,0000,,Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU. Dialogue: 0,0:12:39.36,0:12:44.12,Default,,0000,0000,0000,,Vunja hiyo tabia mbaya. Dialogue: 0,0:12:44.12,0:12:47.96,Default,,0000,0000,0000,,ivunje ! Dialogue: 0,0:13:07.24,0:13:12.72,Default,,0000,0000,0000,,Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako Dialogue: 0,0:13:12.72,0:13:18.40,Default,,0000,0000,0000,,Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU Dialogue: 0,0:13:18.40,0:13:21.92,Default,,0000,0000,0000,,Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU Dialogue: 0,0:13:21.92,0:13:29.72,Default,,0000,0000,0000,,Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako Dialogue: 0,0:13:29.72,0:13:37.72,Default,,0000,0000,0000,,natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu Dialogue: 0,0:13:37.72,0:13:39.64,Default,,0000,0000,0000,,toka! Dialogue: 0,0:13:39.64,0:13:44.80,Default,,0000,0000,0000,,shafishwa inje ! Dialogue: 0,0:13:44.80,0:13:53.64,Default,,0000,0000,0000,,shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili Dialogue: 0,0:13:53.64,0:13:59.92,Default,,0000,0000,0000,,Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza Dialogue: 0,0:13:59.92,0:14:02.28,Default,,0000,0000,0000,,kutoka sasa hivi Dialogue: 0,0:14:41.96,0:14:46.20,Default,,0000,0000,0000,,Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?. Dialogue: 0,0:14:46.20,0:14:50.00,Default,,0000,0000,0000,,ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?.. Dialogue: 0,0:14:50.00,0:14:53.28,Default,,0000,0000,0000,,mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo. Dialogue: 0,0:14:53.28,0:14:56.16,Default,,0000,0000,0000,,kama uko na picha ya mtu inua juu. Dialogue: 0,0:14:56.16,0:15:01.36,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO. Dialogue: 0,0:15:01.36,0:15:08.48,Default,,0000,0000,0000,,Kuna kuvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBO INANGUVU SANA Dialogue: 0,0:15:08.48,0:15:15.88,Default,,0000,0000,0000,,kupita kuvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu. Dialogue: 0,0:15:15.88,0:15:23.00,Default,,0000,0000,0000,,sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao- Dialogue: 0,0:15:23.00,0:15:29.56,Default,,0000,0000,0000,,naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU Dialogue: 0,0:15:29.56,0:15:32.16,Default,,0000,0000,0000,,Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako ! Dialogue: 0,0:15:32.16,0:15:36.76,Default,,0000,0000,0000,,hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni, Dialogue: 0,0:15:36.76,0:15:41.08,Default,,0000,0000,0000,,hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni - Dialogue: 0,0:15:41.08,0:15:44.56,Default,,0000,0000,0000,,mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako - Dialogue: 0,0:15:44.56,0:15:51.24,Default,,0000,0000,0000,,pokea uponyaji ! Dialogue: 0,0:16:21.04,0:16:24.56,Default,,0000,0000,0000,,Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa. Dialogue: 0,0:16:24.56,0:16:28.60,Default,,0000,0000,0000,,Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa Dialogue: 0,0:16:28.60,0:16:34.36,Default,,0000,0000,0000,,Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso. Dialogue: 0,0:16:34.36,0:16:37.40,Default,,0000,0000,0000,,kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu. Dialogue: 0,0:16:37.40,0:16:45.28,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako Dialogue: 0,0:16:45.28,0:16:51.28,Default,,0000,0000,0000,,amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho. Dialogue: 0,0:16:51.28,0:16:54.68,Default,,0000,0000,0000,,Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo Dialogue: 0,0:16:54.68,0:17:01.36,Default,,0000,0000,0000,,Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa ! Dialogue: 0,0:17:01.36,0:17:07.72,Default,,0000,0000,0000,,Ghairiwa kwa JINA LA YESU! Dialogue: 0,0:17:47.12,0:17:58.72,Default,,0000,0000,0000,,Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii Dialogue: 0,0:17:58.72,0:18:03.24,Default,,0000,0000,0000,,Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi Dialogue: 0,0:18:03.24,0:18:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO) Dialogue: 0,0:18:06.00,0:18:10.64,Default,,0000,0000,0000,,Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako . Dialogue: 0,0:18:10.64,0:18:16.48,Default,,0000,0000,0000,,Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako. Dialogue: 0,0:18:16.48,0:18:21.76,Default,,0000,0000,0000,,Vunjika sasa. Dialogue: 0,0:18:21.76,0:18:26.28,Default,,0000,0000,0000,,Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa. Dialogue: 0,0:18:26.28,0:18:30.48,Default,,0000,0000,0000,,Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi Dialogue: 0,0:18:30.48,0:18:36.16,Default,,0000,0000,0000,,Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka. Dialogue: 0,0:18:36.16,0:18:40.60,Default,,0000,0000,0000,,vunja sasa! Dialogue: 0,0:19:11.64,0:19:20.96,Default,,0000,0000,0000,,Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji . Dialogue: 0,0:19:20.96,0:19:26.56,Default,,0000,0000,0000,,sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza Dialogue: 0,0:19:26.56,0:19:32.48,Default,,0000,0000,0000,,Pokea sasa kwa JINA LA YESU Dialogue: 0,0:19:53.04,0:20:04.40,Default,,0000,0000,0000,,Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani Dialogue: 0,0:20:04.40,0:20:15.00,Default,,0000,0000,0000,,Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato? Dialogue: 0,0:20:15.00,0:20:19.68,Default,,0000,0000,0000,,Ni nini kinachozuia kazi yako ?. Dialogue: 0,0:20:19.68,0:20:26.24,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi Dialogue: 0,0:20:26.24,0:20:31.80,Default,,0000,0000,0000,,kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO Dialogue: 0,0:20:31.80,0:20:36.04,Default,,0000,0000,0000,,Ondolewa sasa. Dialogue: 0,0:20:36.04,0:20:41.16,Default,,0000,0000,0000,,Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi - Dialogue: 0,0:20:41.16,0:20:47.84,Default,,0000,0000,0000,,vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako Dialogue: 0,0:20:47.84,0:20:50.00,Default,,0000,0000,0000,,Vunja kwa jina la YESU KRISTO. Dialogue: 0,0:21:30.04,0:21:36.52,Default,,0000,0000,0000,,Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka Dialogue: 0,0:21:36.52,0:21:41.84,Default,,0000,0000,0000,,ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu. Dialogue: 0,0:21:41.84,0:21:46.12,Default,,0000,0000,0000,,sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako. Dialogue: 0,0:21:46.12,0:21:51.72,Default,,0000,0000,0000,,Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje Dialogue: 0,0:21:51.72,0:21:55.88,Default,,0000,0000,0000,,na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe. Dialogue: 0,0:21:55.88,0:21:59.92,Default,,0000,0000,0000,,Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka - Dialogue: 0,0:21:59.92,0:22:05.64,Default,,0000,0000,0000,,sawazishwa sasa hivi ! Dialogue: 0,0:22:31.44,0:22:36.92,Default,,0000,0000,0000,,Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa- Dialogue: 0,0:22:36.92,0:22:41.00,Default,,0000,0000,0000,,leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO Dialogue: 0,0:22:41.00,0:22:44.44,Default,,0000,0000,0000,,Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali . Dialogue: 0,0:22:44.44,0:22:47.84,Default,,0000,0000,0000,,umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa Dialogue: 0,0:22:47.84,0:22:51.60,Default,,0000,0000,0000,,Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU. Dialogue: 0,0:22:51.60,0:22:56.16,Default,,0000,0000,0000,,Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha, Dialogue: 0,0:22:56.16,0:23:00.76,Default,,0000,0000,0000,,Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya Dialogue: 0,0:23:00.76,0:23:06.28,Default,,0000,0000,0000,,Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU. Dialogue: 0,0:23:06.28,0:23:12.96,Default,,0000,0000,0000,,Pokea kIBALI ! Dialogue: 0,0:23:45.16,0:23:49.28,Default,,0000,0000,0000,,Mtoke sasa kwa Jina LA YESU Dialogue: 0,0:23:52.08,0:23:53.48,Default,,0000,0000,0000,,Asante ROHO MTAKATIFU Dialogue: 0,0:23:55.36,0:24:00.92,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu! Dialogue: 0,0:24:00.92,0:24:08.52,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi- Dialogue: 0,0:24:08.52,0:24:12.60,Default,,0000,0000,0000,,umejixunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu. Dialogue: 0,0:24:12.60,0:24:21.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:24:21.64,0:24:24.40,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:24:24.40,0:24:31.12,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:24:31.12,0:24:35.24,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:24:35.24,0:24:38.56,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:24:38.56,0:24:42.12,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:25:20.16,0:25:23.56,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:25:30.44,0:25:33.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:25:35.60,0:25:38.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:25:49.32,0:25:50.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:25:50.32,0:25:55.12,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:25:55.12,0:25:58.08,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:25:58.08,0:26:06.28,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:26:06.28,0:26:14.92,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:26:14.92,0:26:19.72,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:26:19.72,0:26:27.68,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:26:59.32,0:27:05.52,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:05.52,0:27:11.24,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:11.24,0:27:17.84,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:17.84,0:27:26.92,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:27:53.80,0:28:05.08,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:05.08,0:28:16.60,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:16.60,0:28:21.08,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:21.08,0:28:25.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:25.64,0:28:30.36,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:30.36,0:28:36.44,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:36.44,0:28:41.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:41.32,0:28:49.48,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:49.48,0:28:53.72,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:53.72,0:28:58.96,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:28:58.96,0:29:03.04,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:03.04,0:29:08.28,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:48.84,0:29:52.60,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:52.60,0:29:56.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:29:56.64,0:30:02.00,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:30:02.00,0:30:04.48,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:30:04.48,0:30:10.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:30:10.32,0:30:15.72,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:30:42.04,0:30:47.44,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:30:47.44,0:30:54.76,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:30:54.76,0:31:02.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:02.80,0:31:07.04,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:07.04,0:31:11.68,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:11.68,0:31:18.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:18.32,0:31:23.88,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:23.88,0:31:30.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:30.64,0:31:40.56,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:40.56,0:31:46.88,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:46.88,0:31:51.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:51.16,0:31:53.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:53.80,0:31:59.92,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:31:59.92,0:32:03.72,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:03.72,0:32:07.60,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:07.60,0:32:10.52,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:10.52,0:32:14.68,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:14.68,0:32:20.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:20.80,0:32:27.52,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:27.52,0:32:41.40,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:41.40,0:32:50.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:50.16,0:32:56.44,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:32:56.44,0:33:01.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:01.32,0:33:08.72,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:08.72,0:33:11.92,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:11.92,0:33:19.04,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:19.04,0:33:26.32,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:26.32,0:33:32.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:32.16,0:33:34.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:34.80,0:33:45.52,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:45.52,0:33:57.40,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:33:57.40,0:34:06.40,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:06.40,0:34:12.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:12.16,0:34:20.88,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:20.88,0:34:27.04,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:27.04,0:34:33.44,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:33.44,0:34:37.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:37.80,0:34:43.24,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:43.24,0:34:51.40,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:51.40,0:34:59.92,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:34:59.92,0:35:09.52,Default,,0000,0000,0000,,