Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru . Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru Pokea uhuru,pokea uhuru leo! Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU. Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu Anajua hali yako . Anajua Kesi yako (Ombi ) Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi. Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia ) Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu. Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu. usijiangalie kama mwathiriwa. Hiyo tu itachochea uongo. Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako. Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia. Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia Hali yeyote uliyomo sana , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa. Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe . Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote! Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa achilia msamaha ! Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi? Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU- ondolewa sasa hivi! Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi. Wekwa huru kwa JINA LA YESU Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu - na amuru huyo roho mchafu toka inje! Toka , kwa Jina KUU KA YESU ! Iamuru , sasa Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi ! wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ? Nakuamuru sasa toka . wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ? nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO TOKA ! Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani wako , kutoka kwa familia yako toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa! Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu ! wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu. nakuamuru toka sasa! ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa. Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru. Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru. pokea uhuru, pokea uhuru leo! wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha, Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi. tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi, lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU. Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika ! Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu, kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU. Vunja hiyo tabia mbaya. ivunje ! Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu toka! shafishwa inje ! shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza kutoka sasa hivi Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?. ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?.. mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo. kama uko na picha ya mtu inua juu. Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO. Kuna kuvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBO INANGUVU SANA kupita kuvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu. sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao- naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako ! hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni, hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni - mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako - pokea uponyaji ! Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa. Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso. kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu. Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho. Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa ! Ghairiwa kwa JINA LA YESU! Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO) Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako . Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako. Vunjika sasa. Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa. Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka. vunja sasa! Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji . sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza Pokea sasa kwa JINA LA YESU Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato? Ni nini kinachozuia kazi yako ?. sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO Ondolewa sasa. Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi - vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako Vunja kwa jina la YESU KRISTO. Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu. sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako. Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe. Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka - sawazishwa sasa hivi ! Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa- leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali . umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU. Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha, Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU. Pokea kIBALI ! Mtoke sasa kwa Jina LA YESU Asante ROHO MTAKATIFU Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu! Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi- umejixunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu.