WEBVTT 00:00:01.000 --> 00:00:06.400 Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru . 00:00:06.400 --> 00:00:11.440 Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru 00:00:11.440 --> 00:00:16.440 Pokea uhuru,pokea uhuru leo! 00:00:23.080 --> 00:00:34.600 Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU. 00:00:34.600 --> 00:00:43.560 Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako 00:00:43.560 --> 00:00:53.800 Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu 00:00:53.800 --> 00:00:57.280 Anajua hali yako . 00:00:57.280 --> 00:00:59.800 Anajua Kesi yako (Ombi ) 00:00:59.800 --> 00:01:06.760 Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi. 00:01:06.760 --> 00:01:17.960 Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia ) 00:01:17.960 --> 00:01:29.360 Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu 00:01:29.360 --> 00:01:33.280 Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu. 00:01:33.280 --> 00:01:42.320 Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka 00:01:42.320 --> 00:01:50.320 Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika 00:01:50.320 --> 00:01:56.600 hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu. 00:01:56.600 --> 00:02:01.000 usijiangalie kama mwathiriwa. 00:02:01.000 --> 00:02:03.720 Hiyo tu itachochea uongo. 00:02:03.720 --> 00:02:09.680 Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako 00:02:09.680 --> 00:02:17.720 Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako. 00:02:17.720 --> 00:02:23.600 Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia. 00:02:23.600 --> 00:02:30.400 Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia 00:02:30.400 --> 00:02:39.360 Hali yeyote uliyomo sasa , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa. 00:02:39.360 --> 00:02:46.520 Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi 00:02:46.520 --> 00:02:53.560 Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe . 00:02:53.560 --> 00:02:58.640 Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi 00:02:58.640 --> 00:03:04.600 Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe 00:03:04.600 --> 00:03:09.400 Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo 00:03:09.400 --> 00:03:15.680 hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe 00:03:15.680 --> 00:03:19.440 kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo 00:03:19.440 --> 00:03:26.520 Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote! 00:03:26.520 --> 00:03:32.120 Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa 00:03:32.120 --> 00:03:39.640 achilia msamaha ! 00:03:39.640 --> 00:03:44.920 Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo 00:04:24.800 --> 00:04:34.880 Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi? 00:04:34.880 --> 00:04:41.440 Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO 00:04:56.960 --> 00:05:08.720 Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU- 00:05:08.720 --> 00:05:14.240 ondolewa sasa hivi! 00:05:14.240 --> 00:05:18.360 Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO 00:05:37.040 --> 00:05:48.960 Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi. 00:05:48.960 --> 00:05:56.320 Wekwa huru kwa JINA LA YESU 00:06:18.560 --> 00:06:30.480 Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu 00:06:30.480 --> 00:06:38.160 Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama 00:06:38.160 --> 00:06:45.920 hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo 00:06:45.920 --> 00:06:51.400 katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini 00:06:51.400 --> 00:07:00.920 sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu - 00:07:00.920 --> 00:07:08.400 na amuru huyo roho mchafu toka inje! 00:07:08.400 --> 00:07:11.680 Toka , kwa Jina KUU KA YESU ! 00:07:11.680 --> 00:07:16.360 amuru , sasa 00:08:01.200 --> 00:08:08.560 Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi ! 00:08:08.560 --> 00:08:13.520 wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ? 00:08:13.520 --> 00:08:17.960 Nakuamuru sasa toka . 00:08:17.960 --> 00:08:22.960 wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ? 00:08:22.960 --> 00:08:28.720 nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO 00:08:28.720 --> 00:08:35.000 TOKA ! 00:09:00.440 --> 00:09:05.200 Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini 00:09:05.200 --> 00:09:12.240 na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani wako , kutoka kwa familia yako 00:09:12.240 --> 00:09:18.760 toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako 00:09:18.760 --> 00:09:26.280 Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa! 00:09:26.280 --> 00:09:29.640 Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu ! 00:09:29.640 --> 00:09:33.360 wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu 00:09:33.360 --> 00:09:38.400 Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu. 00:09:38.400 --> 00:09:42.520 nakuamuru toka sasa! 00:10:13.720 --> 00:10:23.760 ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa. 00:10:23.760 --> 00:10:29.680 Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru. 00:10:29.680 --> 00:10:34.720 Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru. 00:10:34.720 --> 00:10:39.600 pokea uhuru, pokea uhuru leo! 00:11:03.920 --> 00:11:10.440 wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha, 00:11:10.440 --> 00:11:14.600 Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi. 00:11:14.600 --> 00:11:20.320 tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU 00:11:20.320 --> 00:11:24.400 unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi 00:11:24.400 --> 00:11:31.360 naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi, 00:11:31.360 --> 00:11:38.080 lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU. 00:11:38.080 --> 00:11:47.040 Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika ! 00:12:19.920 --> 00:12:25.160 Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu, 00:12:25.160 --> 00:12:29.760 kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii 00:12:29.760 --> 00:12:39.360 Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU. 00:12:39.360 --> 00:12:44.120 Vunja hiyo tabia mbaya. 00:12:44.120 --> 00:12:47.960 ivunje ! 00:13:07.240 --> 00:13:12.720 Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako 00:13:12.720 --> 00:13:18.400 Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU 00:13:18.400 --> 00:13:21.920 Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU 00:13:21.920 --> 00:13:29.720 Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako 00:13:29.720 --> 00:13:37.720 natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu 00:13:37.720 --> 00:13:39.640 toka! 00:13:39.640 --> 00:13:44.800 shafishwa inje ! 00:13:44.800 --> 00:13:53.640 shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili 00:13:53.640 --> 00:13:59.920 Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza 00:13:59.920 --> 00:14:02.280 kutoka sasa hivi 00:14:41.960 --> 00:14:46.200 Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?. 00:14:46.200 --> 00:14:50.000 ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?.. 00:14:50.000 --> 00:14:53.280 mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo. 00:14:53.280 --> 00:14:56.160 kama uko na picha ya mtu inua juu. 00:14:56.160 --> 00:15:01.360 Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO. 00:15:01.360 --> 00:15:08.480 Kuna kuvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBO INANGUVU SANA 00:15:08.480 --> 00:15:15.880 kupita kuvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu. 00:15:15.880 --> 00:15:23.000 sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao- 00:15:23.000 --> 00:15:29.560 naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU 00:15:29.560 --> 00:15:32.160 Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako ! 00:15:32.160 --> 00:15:36.760 hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni, 00:15:36.760 --> 00:15:41.080 hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni - 00:15:41.080 --> 00:15:44.560 mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako - 00:15:44.560 --> 00:15:51.240 pokea uponyaji ! 00:16:21.040 --> 00:16:24.560 Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa. 00:16:24.560 --> 00:16:28.600 Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa 00:16:28.600 --> 00:16:34.360 Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso. 00:16:34.360 --> 00:16:37.400 kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu. 00:16:37.400 --> 00:16:45.280 Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako 00:16:45.280 --> 00:16:51.280 amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho. 00:16:51.280 --> 00:16:54.680 Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo 00:16:54.680 --> 00:17:01.360 Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa ! 00:17:01.360 --> 00:17:07.720 Ghairiwa kwa JINA LA YESU! 00:17:47.120 --> 00:17:58.720 Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii 00:17:58.720 --> 00:18:03.240 Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi 00:18:03.240 --> 00:18:06.000 Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO) 00:18:06.000 --> 00:18:10.640 Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako . 00:18:10.640 --> 00:18:16.480 Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako. 00:18:16.480 --> 00:18:21.760 Vunjika sasa. 00:18:21.760 --> 00:18:26.280 Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa. 00:18:26.280 --> 00:18:30.480 Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi 00:18:30.480 --> 00:18:36.160 Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka. 00:18:36.160 --> 00:18:40.600 vunja sasa! 00:19:11.640 --> 00:19:20.960 Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji . 00:19:20.960 --> 00:19:26.560 sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza 00:19:26.560 --> 00:19:32.480 Pokea sasa kwa JINA LA YESU 00:19:53.040 --> 00:20:04.400 Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani NOTE Paragraph 00:20:04.400 --> 00:20:15.000 Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato? 00:20:15.000 --> 00:20:19.680 Ni nini kinachozuia kazi yako ?. 00:20:19.680 --> 00:20:26.240 sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi 00:20:26.240 --> 00:20:31.800 kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO 00:20:31.800 --> 00:20:36.040 Ondolewa sasa. 00:20:36.040 --> 00:20:41.160 Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi - 00:20:41.160 --> 00:20:47.840 vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako 00:20:47.840 --> 00:20:50.000 Vunja kwa jina la YESU KRISTO. 00:21:30.040 --> 00:21:36.520 Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka 00:21:36.520 --> 00:21:41.840 ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu. 00:21:41.840 --> 00:21:46.120 sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako. 00:21:46.120 --> 00:21:51.720 Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje 00:21:51.720 --> 00:21:55.880 na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe. 00:21:55.880 --> 00:21:59.920 Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka - 00:21:59.920 --> 00:22:05.640 sawazishwa sasa hivi ! 00:22:31.440 --> 00:22:36.920 Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa- 00:22:36.920 --> 00:22:41.000 leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO 00:22:41.000 --> 00:22:44.440 Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali . 00:22:44.440 --> 00:22:47.840 umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa 00:22:47.840 --> 00:22:51.600 Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU. 00:22:51.600 --> 00:22:56.160 Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha, 00:22:56.160 --> 00:23:00.760 Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya 00:23:00.760 --> 00:23:06.280 Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU. 00:23:06.280 --> 00:23:12.960 Pokea kIBALI ! 00:23:45.160 --> 00:23:49.280 Mtoke sasa kwa Jina LA YESU 00:23:52.080 --> 00:23:53.480 Asante ROHO MTAKATIFU 00:23:55.360 --> 00:24:00.920 Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu! 00:24:00.920 --> 00:24:08.520 Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi- 00:24:08.520 --> 00:24:12.600 umejixunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu. 00:24:12.600 --> 00:24:21.640 Moyo wako ukiwa umefunguka na ukipokea neno hili maisha yako hayatakua ya kawaida tena. 00:24:21.640 --> 00:24:24.400 Endelea kukaa kwa mkao wa maombi sasa. 00:24:24.400 --> 00:24:31.120 Kwa imani umetoka kwa kukataliwa kwenda kwa kibali , kutoka kukataliwa kwenda kukubaliwa. 00:24:31.120 --> 00:24:35.240 Salimisha biashara zako , na mawazo ya baadae ya biashara 00:24:35.240 --> 00:24:38.560 Kwa mikono ya Mungu , na uende kwa kufunguliwa.(Kuwekwa huru )(Kibali) 00:24:38.560 --> 00:24:42.120 Pokea kibali hicho . pokea kwa imani. 00:25:20.160 --> 00:25:23.560 Kwa jina KUU LA YESU KRISTO 00:25:30.440 --> 00:25:33.000 Asante ROHO MTAKATIFU , kwa mguso huu. 00:25:35.600 --> 00:25:38.160 Mtoke sasa kwa JINA LA YESU KRISTO 00:25:49.320 --> 00:25:50.320 Asante YESU 00:25:50.320 --> 00:25:55.120 Watu wa MUNGU , mnaweza kuona chenye ROHO MTAKATIFU ANATENDA. 00:25:55.120 --> 00:25:58.080 Mnaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini. 00:25:58.080 --> 00:26:06.280 Bado anagusa ,bado ana ponya , bado anakomboa, bado anahuisha, bado anafufua. 00:26:06.280 --> 00:26:14.920 Najua wengi wetu tuliojiunga hapa, tukiwa wakweli myoyoni mwetu maisha yetu ya rohoni yame kwama. 00:26:14.920 --> 00:26:19.720 Leo ,, natamka kufufuliwa , kwa maisha yako ya ROHONI. 00:26:19.720 --> 00:26:27.680 Fufuliwa ! 00:26:59.320 --> 00:27:05.520 Je hamu yako ya kiroho imedhohofika ?. 00:27:05.520 --> 00:27:11.240 Leo , nasema fufuliwa kwa JINA LA YESU . 00:27:11.240 --> 00:27:17.840 Tamanio lako la neno la MUNGU , fufuliwa kwa JINA LA YESU. 00:27:17.840 --> 00:27:26.920 Kiu na njaa ya utakatafu fufuliwa !! 00:27:53.800 --> 00:28:05.080 sasa , watu wa MUNGU, nataka umwombe MUNGU awape ujasiri 00:28:05.080 --> 00:28:16.600 wa kuelekea mwito aliokuitia MUNGU 00:28:16.600 --> 00:28:21.080 Kuna wengi wetu , tunajua 00:28:21.080 --> 00:28:25.640 Sauti ya MUNGU imetushurutisha moyoni mwetu kuchukua hatua 00:28:25.640 --> 00:28:30.360 Lakini kwa sababu ya uwoga, sababu ya shaka, sababu ya kujidunisha 00:28:30.360 --> 00:28:36.440 Tunabakia tu kwa hali tuliyo izoea 00:28:36.440 --> 00:28:41.320 Sasa hivi , pokea huo ujasiri! 00:28:41.320 --> 00:28:49.480 Pokea huo ujasiri kutokea na kufwata mwelekeo ambo MUNGU aliweka moyoni mwako. 00:28:49.480 --> 00:28:53.720 Kutokea kwa mwelekeo wa MUNGU maishani mwako. 00:28:53.720 --> 00:28:58.960 Ukifwata mwelekeo wa mwito wa MUNGU utajishangaza mwenyewe. 00:28:58.960 --> 00:29:03.040 Utajishangaza mwenyewe, utafanya utofauti katika maishani mwako (dunia yako ) 00:29:03.040 --> 00:29:08.280 Pokea huo ujasiri , pokea hiyo nguvu , pokea huo ujasiri. 00:29:48.840 --> 00:29:52.600 Asante YESU. Aante ROHO mtakatifu. 00:29:52.600 --> 00:29:56.640 Asante YESU. kwa kuachilia nguvu zako. 00:29:56.640 --> 00:30:02.000 Asante YESU , kwa kuachilia nguvu zako na kuhuwisha nguvu zetu. 00:30:02.000 --> 00:30:04.480 Mshukuru sasa hivi. 00:30:04.480 --> 00:30:10.320 Sema " Asante YESU KWA KUACHILIA NGUVU ZAKO NA KUHUWISHA NGUVU ZETU. 00:30:10.320 --> 00:30:15.720 Mpe shukrani sasa! 00:30:42.040 --> 00:30:47.440 Kwa jina kuu la YESU KRISTO tunaomba. 00:30:47.440 --> 00:30:54.760 Watu wa MUNGU , leo umesema kwa heri kwa aibu. 00:30:54.760 --> 00:31:02.800 Umesema kwa heri , kutokana na unyogovu, umesema kwa heri kwa hiyo tabia mbaya. 00:31:02.800 --> 00:31:07.040 Umesema kwa heri kwa mateso , 00:31:07.040 --> 00:31:11.680 Umesema kwa heri kwa laana za kijamii (ukoo) 00:31:11.680 --> 00:31:18.320 umesema kwa heri kwa utumwa., umesema kwa heri kwa mtu wa zamani. 00:31:18.320 --> 00:31:23.880 Tazama , ya zamani yamepita na yote yamefanywa mapya. 00:31:23.880 --> 00:31:30.640 furahia sasa! 00:31:30.640 --> 00:31:40.560 Ndio , umesema kwa heri kwa uchungu , kuumizwa na ulipokosewa. 00:31:40.560 --> 00:31:46.880 Leo unatembelea mwangaza (Nuru)ya uhuru, sio giza la kifungu 00:31:46.880 --> 00:31:51.160 Unatembelea nuruni mwa ushuhuda wako. 00:31:51.160 --> 00:31:53.800 Sio giza la hali yako. 00:31:53.800 --> 00:31:59.920 Unatembelea nuruni mwa wokovu wako , sio giza la dhambi yako. 00:31:59.920 --> 00:32:03.720 Anza kutembea sasa katika mwangaza wa uhuru wako . 00:32:03.720 --> 00:32:07.600 Furahia , sherekea , mpe Mungu shukurani. 00:32:07.600 --> 00:32:10.520 Jiangalie , kama ulikua na maumivu ama shida yeyote mwilini. 00:32:10.520 --> 00:32:14.680 Roho wa MUNGU amekugusa leo . Furahia kwa uponyaji wako. 00:32:14.680 --> 00:32:20.800 Furahia kuwekwa huru ., furahia kuhuwishwa kwa maisha yako ya ROHONI. 00:32:20.800 --> 00:32:27.520 Wacha niwapatie neno la Mawaidha. 00:32:27.520 --> 00:32:41.400 kama mristo , hatutakiwi kutojua mbinu au vyombo ambavyo shetani hutumia . 00:32:41.400 --> 00:32:50.160 Sisemi haya iwe sababu ya kuwa mwoga.... hapana. 00:32:50.160 --> 00:32:56.440 Nawakumbusha haya iwe sababu ya kua tayari. 00:32:56.440 --> 00:33:01.320 hauitajiki kutaharuka, unahitaji kua na tahadhari. 00:33:01.320 --> 00:33:08.720 Sio sababu ya kua na uwoga ama kua na hofu bali ni sababu ya kua macho. 00:33:08.720 --> 00:33:11.920 Tazama na kuomba! 00:33:11.920 --> 00:33:19.040 Ulivyoo pokea baraka hizi za kiroho leo ... 00:33:19.040 --> 00:33:26.320 shetani atajaribu kwa njia zote kukukatisha tamaa , kukuvunja moyo. 00:33:26.320 --> 00:33:32.160 Kukutoa mtazamo wako kwa mambo ya MUNGU sababu hataki ufutahia 00:33:32.160 --> 00:33:34.800 Ulichopokea leo 00:33:34.800 --> 00:33:45.520 Lakini usiwe mwoga. usitaharuki kwa mbinu za shetani. 00:33:45.520 --> 00:33:57.400 Sababu kupitia neno la MUNGU , amekupa vifaa unavyohitajika kusimama. 00:33:57.400 --> 00:34:06.400 Chenya unahitajika kufanya , linda sana uhusiano wako na MUNGU. 00:34:06.400 --> 00:34:12.160 Huwezi shinda changamoto zilizoko mbele zako. 00:34:12.160 --> 00:34:20.880 Bila kua na wakati mwafaka na MUNGU. 00:34:20.880 --> 00:34:27.040 Naamini kujiunga kwako kwa ibada hii leo imekuletea kukutana na 00:34:27.040 --> 00:34:33.440 Na upako, - upako wa uponyaji, , upako wa kubariki, upako wa kukomboa. 00:34:33.440 --> 00:34:37.800 Usikue hapa tu kwa uponyaji, usijiunge tuu kwa kubarikiwa, 00:34:37.800 --> 00:34:43.240 Usijiunge tu ili ukombolewe- ona mbali kupita hayo. 00:34:43.240 --> 00:34:51.400 Uhusiano wako na MUNGU lazima ukuwe kipao mbele kwako. 00:34:51.400 --> 00:34:59.920 Utafute ufalme wa MUNGU na UTUKUFU WAKE. 00:34:59.920 --> 00:35:09.520 Yote mengine yatakuja kwa wakati WAKE, kwa njia YAKE , kwa utukufu WAKE 99:59:59.999 --> 99:59:59.999