Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru .
Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru
Pokea uhuru,pokea uhuru leo!
Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU.
Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako
Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu
Anajua hali yako .
Anajua Kesi yako (Ombi )
Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi.
Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia )
Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu
Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu.
Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka
Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika
hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu.
usijiangalie kama mwathiriwa.
Hiyo tu itachochea uongo.
Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako
Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako.
Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia.
Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia
Hali yeyote uliyomo sasa , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa.
Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi
Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe .
Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi
Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe
Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo
hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe
kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo
Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote!
Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa
achilia msamaha !
Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo
Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi?
Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO
Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU-
ondolewa sasa hivi!
Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO
Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi.
Wekwa huru kwa JINA LA YESU
Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu
Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama
hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo
katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini
sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu -
na amuru huyo roho mchafu toka inje!
Toka , kwa Jina KUU KA YESU !
amuru , sasa
Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi !
wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ?
Nakuamuru sasa toka .
wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ?
nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO
TOKA !
Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini
na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani mwako , kutoka kwa familia yako
toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako
Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa!
Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu !
wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu
Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu.
nakuamuru toka sasa!
ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa.
Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru.
Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru.
pokea uhuru, pokea uhuru leo!
wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha,
Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi.
tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU
unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi
naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi,
lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU.
Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika !
Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu,
kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii
Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU.
Vunja hiyo tabia mbaya.
ivunje !
Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako
Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU
Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU
Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako
natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu
toka!
shafishwa inje !
shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili
Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza
kutoka sasa hivi
Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?.
ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?..
mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo.
kama uko na picha ya mtu inua juu.
Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO.
Kuna kuvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBO INANGUVU SANA
kupita kuvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu.
sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao-
naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU
Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako !
hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni,
hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni -
mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako -
pokea uponyaji !
Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa.
Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa
Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso.
kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu.
Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako
amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho.
Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo
Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa !
Ghairiwa kwa JINA LA YESU!
Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii
Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi
Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO)
Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako .
Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako.
Vunjika sasa.
Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa.
Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi
Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka.
vunja sasa!
Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji .
sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza
Pokea sasa kwa JINA LA YESU
Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani
Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato?
Ni nini kinachozuia kazi yako ?.
sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi
kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO
Ondolewa sasa.
Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi -
vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako
Vunja kwa jina la YESU KRISTO.
Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka
ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu.
sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako.
Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje
na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe.
Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka -
sawazishwa sasa hivi !
Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa-
leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO
Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali .
umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa
Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU.
Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha,
Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya
Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU.
Pokea kIBALI !
Mtoke sasa kwa Jina LA YESU
Asante ROHO MTAKATIFU
Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu!
Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi-
umejixunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu.
Moyo wako ukiwa umefunguka na ukipokea neno hili maisha yako hayatakua ya kawaida tena.
Endelea kukaa kwa mkao wa maombi sasa.
Kwa imani umetoka kwa kukataliwa kwenda kwa kibali , kutoka kukataliwa kwenda kukubaliwa.
Salimisha biashara zako , na mawazo ya baadae ya biashara
Kwa mikono ya Mungu , na uende kwa kufunguliwa.(Kuwekwa huru )(Kibali)
Pokea kibali hicho . pokea kwa imani.
Kwa jina KUU LA YESU KRISTO
Asante ROHO MTAKATIFU , kwa mguso huu.
Mtoke sasa kwa JINA LA YESU KRISTO
Asante YESU
Watu wa MUNGU , mnaweza kuona chenye ROHO MTAKATIFU ANATENDA.
Mnaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini.
Bado anagusa ,bado ana ponya , bado anakomboa, bado anahuisha, bado anafufua.
Najua wengi wetu tuliojiunga hapa, tukiwa wakweli myoyoni mwetu maisha yetu ya rohoni yame kwama.
Leo ,, natamka kufufuliwa , kwa maisha yako ya ROHONI.
Fufuliwa !
Je hamu yako ya kiroho imedhohofika ?.
Leo , nasema fufuliwa kwa JINA LA YESU .
Tamanio lako la neno la MUNGU , fufuliwa kwa JINA LA YESU.
Kiu na njaa ya utakatafu fufuliwa !!
sasa , watu wa MUNGU, nataka umwombe MUNGU awape ujasiri
wa kuelekea mwito aliokuitia MUNGU
Kuna wengi wetu , tunajua
Sauti ya MUNGU imetushurutisha moyoni mwetu kuchukua hatua
Lakini kwa sababu ya uwoga, sababu ya shaka, sababu ya kujidunisha
Tunabakia tu kwa hali tuliyo izoea
Sasa hivi , pokea huo ujasiri!
Pokea huo ujasiri kutokea na kufwata mwelekeo ambo MUNGU aliweka moyoni mwako.
Kutokea kwa mwelekeo wa MUNGU maishani mwako.
Ukifwata mwelekeo wa mwito wa MUNGU utajishangaza mwenyewe.
Utajishangaza mwenyewe, utafanya utofauti katika maishani mwako (dunia yako )
Pokea huo ujasiri , pokea hiyo nguvu , pokea huo ujasiri.
Asante YESU. Aante ROHO mtakatifu.
Asante YESU. kwa kuachilia nguvu zako.
Asante YESU , kwa kuachilia nguvu zako na kuhuwisha nguvu zetu.
Mshukuru sasa hivi.
Sema " Asante YESU KWA KUACHILIA NGUVU ZAKO NA KUHUWISHA NGUVU ZETU.
Mpe shukrani sasa!
Kwa jina kuu la YESU KRISTO tunaomba.
Watu wa MUNGU , leo umesema kwa heri kwa aibu.
Umesema kwa heri , kutokana na unyogovu, umesema kwa heri kwa hiyo tabia mbaya.
Umesema kwa heri kwa mateso ,
Umesema kwa heri kwa laana za kijamii (ukoo)
umesema kwa heri kwa utumwa., umesema kwa heri kwa mtu wa zamani.
Tazama , ya zamani yamepita na yote yamefanywa mapya.
furahia sasa!
Ndio , umesema kwa heri kwa uchungu , kuumizwa na ulipokosewa.
Leo unatembelea mwangaza (Nuru)ya uhuru, sio giza la kifungu
Unatembelea nuruni mwa ushuhuda wako.
Sio giza la hali yako.
Unatembelea nuruni mwa wokovu wako , sio giza la dhambi yako.
Anza kutembea sasa katika mwangaza wa uhuru wako .
Furahia , sherekea , mpe Mungu shukurani.
Jiangalie , kama ulikua na maumivu ama shida yeyote mwilini.
Roho wa MUNGU amekugusa leo . Furahia kwa uponyaji wako.
Furahia kuwekwa huru ., furahia kuhuwishwa kwa maisha yako ya ROHONI.
Wacha niwapatie neno la Mawaidha.
kama mristo , hatutakiwi kutojua mbinu au vyombo ambavyo shetani hutumia .
Sisemi haya iwe sababu ya kuwa mwoga.... hapana.
Nawakumbusha haya iwe sababu ya kua tayari.
hauitajiki kutaharuka, unahitaji kua na tahadhari.
Sio sababu ya kua na uwoga ama kua na hofu bali ni sababu ya kua macho.
Tazama na kuomba!
Ulivyoo pokea baraka hizi za kiroho leo ...
shetani atajaribu kwa njia zote kukukatisha tamaa , kukuvunja moyo.
Kukutoa mtazamo wako kwa mambo ya MUNGU sababu hataki ufutahia
Ulichopokea leo
Lakini usiwe mwoga. usitaharuki kwa mbinu za shetani.
Sababu kupitia neno la MUNGU , amekupa vifaa unavyohitajika kusimama.
Chenya unahitajika kufanya , linda sana uhusiano wako na MUNGU.
Huwezi shinda changamoto zilizoko mbele zako.
Bila kua na wakati mwafaka na MUNGU.
Naamini kujiunga kwako kwa ibada hii leo imekuletea kukutana na
Na upako, - upako wa uponyaji, , upako wa kubariki, upako wa kukomboa.
Usikue hapa tu kwa uponyaji, usijiunge tuu kwa kubarikiwa,
Usijiunge tu ili ukombolewe- ona mbali kupita hayo.
Uhusiano wako na MUNGU lazima ukuwe kipao mbele kwako.
Utafute ufalme wa MUNGU na UTUKUFU WAKE.
Yote mengine yatakuja kwa wakati WAKE, kwa njia YAKE , kwa utukufu WAKE