0:00:00.000,0:00:07.000 Ukweli kwamba mtu anakujali haimaanishi ana nia njema. 0:00:07.000,0:00:15.400 Ukweli kwamba mtu yuko tayari kukusikiliza haimaanishi kuwa mtu huyo anakupenda. 0:00:15.400,0:00:21.560 Kuna wengi wenye masikio yawashao lakini mioyo yao michanga. 0:00:21.560,0:00:25.960 Je, unalalamika kwa mtu fulani ili akujali 0:00:25.960,0:00:29.960 au unajiaminisha kwa mtu fulani ili kupata suluhu? 0:00:29.960,0:00:37.160 Kwa sababu ikiwa unapendezwa zaidi na huruma kuliko suluhisho, 0:00:37.160,0:00:43.360 yawezekana ukaudhabihu uadilifu wako kwenye madhabahu ya matatizo yako.