[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Ukweli kwamba mtu anakujali haimaanishi ana nia njema. Dialogue: 0,0:00:07.00,0:00:15.40,Default,,0000,0000,0000,,Ukweli kwamba mtu yuko tayari kukusikiliza haimaanishi kuwa mtu huyo anakupenda. Dialogue: 0,0:00:15.40,0:00:21.56,Default,,0000,0000,0000,,Kuna wengi wenye masikio yawashao lakini mioyo yao michanga. Dialogue: 0,0:00:21.56,0:00:25.96,Default,,0000,0000,0000,,Je, unalalamika kwa mtu fulani ili akujali Dialogue: 0,0:00:25.96,0:00:29.96,Default,,0000,0000,0000,,au unajiaminisha kwa mtu fulani ili kupata suluhu? Dialogue: 0,0:00:29.96,0:00:37.16,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ikiwa unapendezwa zaidi na huruma kuliko suluhisho, Dialogue: 0,0:00:37.16,0:00:43.36,Default,,0000,0000,0000,,yawezekana ukaudhabihu uadilifu wako kwenye madhabahu ya matatizo yako.