Mara nyingi, kile tunachojifunza katika mchakato wa kumtafuta Mungu
kina thamani zaidi kuliko kile kinachotufanya tumtafute Mungu.
Nimeona, nikagundua kuwa kile ambacho watu wengi wanaomba dhidi yake leo
ndicho ambacho Mungu anachokitumia kuwatayarisha kwa yale wanayoomba.
Na kwa sababu wanakosa mwalimu, wanakosa mafundisho.