0:00:00.000,0:00:13.160 Mara nyingi, kile tunachojifunza katika mchakato wa kumtafuta Mungu 0:00:13.160,0:00:23.800 kina thamani zaidi kuliko kile kinachotufanya tumtafute Mungu. 0:00:23.800,0:00:37.120 Nimeona, nikagundua kuwa kile ambacho watu wengi wanaomba dhidi yake leo 0:00:37.120,0:00:48.440 ndicho ambacho Mungu anachokitumia kuwatayarisha kwa yale wanayoomba. 0:00:48.440,0:00:57.800 Na kwa sababu wanakosa mwalimu, wanakosa mafundisho.