[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:13.16,Default,,0000,0000,0000,,Mara nyingi, kile tunachojifunza katika mchakato wa kumtafuta Mungu Dialogue: 0,0:00:13.16,0:00:23.80,Default,,0000,0000,0000,,kina thamani zaidi kuliko kile kinachotufanya tumtafute Mungu. Dialogue: 0,0:00:23.80,0:00:37.12,Default,,0000,0000,0000,,Nimeona, nikagundua kuwa kile ambacho watu wengi wanaomba dhidi yake leo Dialogue: 0,0:00:37.12,0:00:48.44,Default,,0000,0000,0000,,ndicho ambacho Mungu anachokitumia kuwatayarisha kwa yale wanayoomba. Dialogue: 0,0:00:48.44,0:00:57.80,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa sababu wanakosa mwalimu, wanakosa mafundisho.