WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:13.160 Mara nyingi, kile tunachojifunza katika mchakato wa kumtafuta Mungu 00:00:13.160 --> 00:00:23.800 kina thamani zaidi kuliko kile kinachotufanya tumtafute Mungu. 00:00:23.800 --> 00:00:37.120 Nimeona, nikagundua kuwa kile ambacho watu wengi wanaomba dhidi yake leo 00:00:37.120 --> 00:00:48.440 ndicho ambacho Mungu anachokitumia kuwatayarisha kwa yale wanayoomba. 00:00:48.440 --> 00:00:57.800 Na kwa sababu wanakosa mwalimu, wanakosa mafundisho.