Ninawezaje kujua pale ninapomsamehe mtu?
Pale unapoweza kukumbuka maumivu bila ya kuyafufua maumivu hayo wakati huu.
Wakati kumbukumbu ya wakati uliopita inachochea shukrani kwa Mungu, sio manung'uniko kwa mwanadamu.
'Tazama kile ambacho Mungu amenionekania.'
Si 'Tazama kile ambacho amenifanya nikipitie.'