0:00:00.000,0:00:02.933 Ninawezaje kujua pale ninapomsamehe mtu? 0:00:02.933,0:00:11.233 Pale unapoweza kukumbuka maumivu bila ya kuyafufua maumivu hayo wakati huu. 0:00:11.233,0:00:20.400 Wakati kumbukumbu ya wakati uliopita inachochea shukrani kwa Mungu, sio manung'uniko kwa mwanadamu. 0:00:20.400,0:00:23.600 'Tazama kile ambacho Mungu amenionekania.' 0:00:23.600,0:00:27.400 Si 'Tazama kile ambacho amenifanya nikipitie.'