1 00:00:00,000 --> 00:00:02,933 Ninawezaje kujua pale ninapomsamehe mtu? 2 00:00:02,933 --> 00:00:11,233 Pale unapoweza kukumbuka maumivu bila ya kuyafufua maumivu hayo wakati huu. 3 00:00:11,233 --> 00:00:20,400 Wakati kumbukumbu ya wakati uliopita inachochea shukrani kwa Mungu, sio manung'uniko kwa mwanadamu. 4 00:00:20,400 --> 00:00:23,600 'Tazama kile ambacho Mungu amenionekania.' 5 00:00:23,600 --> 00:00:27,400 Si 'Tazama kile ambacho amenifanya nikipitie.'