[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:02.93,Default,,0000,0000,0000,,Ninawezaje kujua pale ninapomsamehe mtu? Dialogue: 0,0:00:02.93,0:00:11.23,Default,,0000,0000,0000,,Pale unapoweza kukumbuka maumivu bila ya kuyafufua maumivu hayo wakati huu. Dialogue: 0,0:00:11.23,0:00:20.40,Default,,0000,0000,0000,,Wakati kumbukumbu ya wakati uliopita inachochea shukrani kwa Mungu, sio manung'uniko kwa mwanadamu. Dialogue: 0,0:00:20.40,0:00:23.60,Default,,0000,0000,0000,,'Tazama kile ambacho Mungu amenionekania.' Dialogue: 0,0:00:23.60,0:00:27.40,Default,,0000,0000,0000,,Si 'Tazama kile ambacho amenifanya nikipitie.'