WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:02.933 Ninawezaje kujua pale ninapomsamehe mtu? 00:00:02.933 --> 00:00:11.233 Pale unapoweza kukumbuka maumivu bila ya kuyafufua maumivu hayo wakati huu. 00:00:11.233 --> 00:00:20.400 Wakati kumbukumbu ya wakati uliopita inachochea shukrani kwa Mungu, sio manung'uniko kwa mwanadamu. 00:00:20.400 --> 00:00:23.600 'Tazama kile ambacho Mungu amenionekania.' 00:00:23.600 --> 00:00:27.400 Si 'Tazama kile ambacho amenifanya nikipitie.'