0:00:00.000,0:00:11.880 Usiingie kwenye makosa ya kupanga mipango ya kesho kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake. 0:00:11.880,0:00:24.680 Usiingie kwenye mtego wa kupanga mipango ya siku zijazo kana kwamba ni zako. 0:00:24.680,0:00:28.080 Sisemi ni makosa kupanga mipango. 0:00:28.080,0:00:31.360 Sisemi ni makosa kuangalia mbele. 0:00:31.360,0:00:37.560 Ninasema unapofanya mipango kama Mkristo, 0:00:37.560,0:00:43.200 lazima ufanye hivyo kwa utambuzi wa mambo matatu: 0:00:43.200,0:00:50.600 1. Maisha hayana uhakika 0:00:50.600,0:01:01.040 2. Mungu ni mwenye enzi kuu 0:01:01.040,0:01:09.800 3. Kila siku ina riziki yake