[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:11.88,Default,,0000,0000,0000,,Usiingie kwenye makosa ya kupanga mipango ya kesho kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake. Dialogue: 0,0:00:11.88,0:00:24.68,Default,,0000,0000,0000,,Usiingie kwenye mtego wa kupanga mipango ya siku zijazo kana kwamba ni zako. Dialogue: 0,0:00:24.68,0:00:28.08,Default,,0000,0000,0000,,Sisemi ni makosa kupanga mipango. Dialogue: 0,0:00:28.08,0:00:31.36,Default,,0000,0000,0000,,Sisemi ni makosa kuangalia mbele. Dialogue: 0,0:00:31.36,0:00:37.56,Default,,0000,0000,0000,,Ninasema unapofanya mipango kama Mkristo, Dialogue: 0,0:00:37.56,0:00:43.20,Default,,0000,0000,0000,,lazima ufanye hivyo kwa utambuzi wa mambo matatu: Dialogue: 0,0:00:43.20,0:00:50.60,Default,,0000,0000,0000,,1. Maisha hayana uhakika Dialogue: 0,0:00:50.60,0:01:01.04,Default,,0000,0000,0000,,2. Mungu ni mwenye enzi kuu Dialogue: 0,0:01:01.04,0:01:09.80,Default,,0000,0000,0000,,3. Kila siku ina riziki yake