WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:11.880 Usiingie kwenye makosa ya kupanga mipango ya kesho kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake. 00:00:11.880 --> 00:00:24.680 Usiingie kwenye mtego wa kupanga mipango ya siku zijazo kana kwamba ni zako. 00:00:24.680 --> 00:00:28.080 Sisemi ni makosa kupanga mipango. 00:00:28.080 --> 00:00:31.360 Sisemi ni makosa kuangalia mbele. 00:00:31.360 --> 00:00:37.560 Ninasema unapofanya mipango kama Mkristo, 00:00:37.560 --> 00:00:43.200 lazima ufanye hivyo kwa utambuzi wa mambo matatu: 00:00:43.200 --> 00:00:50.600 1. Maisha hayana uhakika 00:00:50.600 --> 00:01:01.040 2. Mungu ni mwenye enzi kuu 00:01:01.040 --> 00:01:09.800 3. Kila siku ina riziki yake