0:00:00.000,0:00:00.520 0:00:00.520,0:00:02.590 Binadamu siku zote wamekuwa wakigundua 0:00:02.590,0:00:04.700 kwamba vitu vingine ni viferu kuliko vingine. 0:00:04.700,0:00:06.630 Kwa mfano, hiki kipande cha mstari kinaonekana 0:00:06.630,0:00:08.820 kirefu kuliko hiki kipande cha mstari. 0:00:08.820,0:00:11.470 Lakini hiyo tu hairidhishi kulinganisha. 0:00:11.470,0:00:12.490 Unatakiwa kuupima. 0:00:12.490,0:00:14.448 Unataka kujua mstari wa pili ni 0:00:14.448,0:00:16.920 mrefu zaidi kuliko wa kwanza. 0:00:16.920,0:00:18.490 Sasa je tunafanyaje? 0:00:18.490,0:00:21.770 Vizuri, inabidi tuwe na kipimo cha urefu. 0:00:21.770,0:00:24.410 Kwa hiyo kama tukichukua hiki ndicho kipimo chetu cha urefu, 0:00:24.410,0:00:28.270 tuchukulie hii ni hatua moja, kisha tutaweza kujua 0:00:28.270,0:00:30.430 je hiyo mistari mingine ina hatua ngapi? 0:00:30.430,0:00:32.729 Kwa hiyo mstari wa kwanza unaonekana kama-- 0:00:32.729,0:00:35.350 tunaweza kutumia moja kati ya hivyo vipimo kisha tunaweza kurudia tena, 0:00:35.350,0:00:38.727 unaonekana kama una hatua mbili. 0:00:38.727,0:00:40.810 Wakati huu wa tatu unaonekana kama-- 0:00:40.810,0:00:44.970 hebu tuhesabu una hatua 1, 2, 3. 0:00:44.970,0:00:47.460 Kwa hiyo huu una hatua tatu. 0:00:47.460,0:00:50.500 Na hapa ninatumia hatua. 0:00:50.500,0:00:53.490 Ila wakati mwingine tunatumia sentimita 0:00:53.490,0:00:55.270 pale ambapo kipimo huonekana kama hivi. 0:00:55.270,0:00:57.686 Kitaonekana tofauti kulingana na skrini yako. 0:00:57.686,0:01:01.330 Au tunaweza kuwa na inchi ambayo inaonekana kama hivi. 0:01:01.330,0:01:02.890 Au tunaweza kutumia futi ambayo 0:01:02.890,0:01:05.970 haiwezi kutosha kwenye hii skrini kulingana na ukubwa wa 0:01:05.970,0:01:07.600 inchi au mita niliouchora. 0:01:07.600,0:01:09.480 Kwa hiyo kuna vizio mbalimbali ambavyo 0:01:09.480,0:01:12.120 unaweza kutumia kupima. 0:01:12.120,0:01:14.580 Lakini sasa hivi hebu tufikirie vipimo vingine. 0:01:14.580,0:01:17.250 Huu mstari ni upande mmoja. 0:01:17.250,0:01:18.310 Huu ni upande mmoja. 0:01:18.310,0:01:19.430 Kwa nini huu ni upande mmoja? 0:01:19.430,0:01:23.970 Kwa sababu tunaweza kupima urefu tu. 0:01:23.970,0:01:26.350 Hebu sasa hivi tuone pande mbili. 0:01:26.350,0:01:28.720 Tuangalie pande mbili ambapo 0:01:28.720,0:01:33.730 maumbo yanaweza kuwa na urefu na upana au upana na kimo. 0:01:33.730,0:01:37.340 Hebu tuchukulie haya maumbo mawili hapa ambayo yanaonekana kam a hivi. 0:01:37.340,0:01:39.770 Tuchukulie hili ni umbo mojawapo. 0:01:39.770,0:01:43.260 Hili ni umbo la kwanza. 0:01:43.260,0:01:47.692 Kumbuka pia, lina upana na kimo. 0:01:47.692,0:01:49.650 Au unaweza kusema lina upana na urefu, 0:01:49.650,0:01:51.191 kulingana na jinsi utakavyoliangalia. 0:01:51.191,0:01:53.970 Hebu tuchukulie hili umbo hapa. 0:01:53.970,0:01:55.805 Hili ni lingine. 0:01:55.805,0:02:00.630 Na hili hapa ni umbo lingine. 0:02:00.630,0:02:04.580 Najaribu kuyachora vizuri. 0:02:04.580,0:02:06.880 Kwa hiyo lina pande mbili. 0:02:06.880,0:02:10.250 Tunataka kujua je hizi pande mbili 0:02:10.250,0:02:11.700 zinachukua nafasi ya ukubwa gani? 0:02:11.700,0:02:14.147 Au kila umbo lina eneo gani? 0:02:14.147,0:02:16.230 Tuyalinganishe tena. 0:02:16.230,0:02:19.530 Hili la pili, kama ukiliangalia kama zulia au mstatili, 0:02:19.530,0:02:21.860 mstatili wa pili unachukua nafasi kubwa ya skrini yangu 0:02:21.860,0:02:24.740 kuliko hili la kwanza, lakini nataka kulipima. 0:02:24.740,0:02:26.270 Je, tutawezaje kulipima? 0:02:26.270,0:02:28.889 Inabidi tena tupate vipimo vya mraba kamili. 0:02:28.889,0:02:31.305 badala ya kizio cha urefu, sasa hivi tuna pande mbili. 0:02:31.305,0:02:34.270 Inabidi tuwe na kipimo cha mraba. 0:02:34.270,0:02:37.840 Kwa hiyo tutakuwa na kipimo chetu cha mraba. 0:02:37.840,0:02:41.620 Na kipimo cha mraba tutatafsiri kama mraba, 0:02:41.620,0:02:44.390 ambapo upande na kimo chake 0:02:44.390,0:02:46.670 vyote vinalingana. 0:02:46.670,0:02:52.310 Kwa hiyo huu ni upana wake ambao ni hatua moja na kimo chake ni hatua moja. 0:02:52.310,0:02:56.250 Kwa hiyo tutasema una mita 1 za mraba. 0:02:56.250,0:02:59.750 kwa kawaida hii ni hatua moja. 0:02:59.750,0:03:03.746 Kisha unaweka hii 2 hapa, ikimaanisha kipeuo 0:03:03.746,0:03:05.120 Badala ya kuandika hatua, ingeweza pia 0:03:05.120,0:03:06.740 kuwa sentimita. 0:03:06.740,0:03:09.420 Kwa hiyo itakuwa sentimita 1 za mraba. 0:03:09.420,0:03:12.490 Lakini sasa hivi tunaweza kutumia hili umbo kupima haya maeneo. 0:03:12.490,0:03:14.900 Na kama tulivyosema je miraba mingapi yenye urefu huu 0:03:14.900,0:03:16.620 inaweza kutosha kwenye hii mistari, 0:03:16.620,0:03:19.797 tunaweza kujua ni miraba mingapi kama hii inaweza kutosha hapa? 0:03:19.797,0:03:21.880 Kwa hiyo hapa tunaweza kuchukua moja ya mraba kamili 0:03:21.880,0:03:24.597 na kusema unaweza kutosha nafasi hii. 0:03:24.597,0:03:26.180 Tunahitaji mingi zaidi ili kuweza kutosha umbo lote. 0:03:26.180,0:03:28.740 Tutaweka mraba mwingine pale. 0:03:28.740,0:03:31.370 Na mwingine hapa. 0:03:31.370,0:03:33.670 Tutaweka mraba mwingine hapa. 0:03:33.670,0:03:36.530 Vizuri, miraba 4 imeweza kutosha kwenye umbo hili. 0:03:36.530,0:03:38.170 Kwa hiyo tunaweza kusema kwamba hili umbo lina 0:03:38.170,0:03:45.950 eneo la miraba 4 au miraba 4. 0:03:45.950,0:03:48.110 Vipi kuhusu hili hapa? 0:03:48.110,0:03:58.910 inaonekana linaweza kutosha miraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 0:03:58.910,0:03:59.940 9. 0:03:59.940,0:04:06.710 Kwa hiyo hili hapa lingetosha miraba 9. 0:04:06.710,0:04:07.710 hebu tuendelee. 0:04:07.710,0:04:09.960 Tunaishi kwenye dunia yenye mwonekano wa pande tatu. 0:04:09.960,0:04:12.320 Kwa nini tujizuie na kuona pande mbili tu? 0:04:12.320,0:04:14.890 Haya hebu sasa tuone hizo pande tatu. 0:04:14.890,0:04:16.751 Kwa mara nyingine, watu wanaposema pande tatu, 0:04:16.751,0:04:18.209 wanamaanisha mwonekano wa pande zote tatu. 0:04:18.209,0:04:20.050 Wanazungumzia kuhusu mielekeo mitatu tofauti 0:04:20.050,0:04:21.341 unayoweza kupima vitu. 0:04:21.341,0:04:22.620 Hapa kuna urefu tu. 0:04:22.620,0:04:26.340 Hapa kuna urefu na upana au upana na kimo. 0:04:26.340,0:04:29.890 Na hapa kuna upana na kimo na kina. 0:04:29.890,0:04:37.910 Tuchukulie una umbo kama hili 0:04:37.910,0:04:39.910 na tunaishi kwenye dunia 0:04:39.910,0:04:43.120 yenye mwonekano wa pande tatu 0:04:43.120,0:04:52.260 kisha una umbo lingine kama hili, 0:04:52.260,0:04:57.730 inaonekana kama hili umbo la pili linachukua sehemu kubwa zaidi, 0:04:57.730,0:05:01.120 kuliko umbo la kwanza. 0:05:01.120,0:05:03.510 Linaonekana kama ni kubwa zaidi. 0:05:03.510,0:05:05.050 Lakini tunawezaje kulipima? 0:05:05.050,0:05:08.460 Kumbuka, ukubwa ni ile nafasi inayotosha umbo zima 0:05:08.460,0:05:09.960 na kuonekana pande tatu. 0:05:09.960,0:05:14.340 Eneo ni nafasi inayochukuliwa na kitu kwenye pande mbili. 0:05:14.340,0:05:16.660 Urefu ni nafasi inayochukuliwa 0:05:16.660,0:05:18.030 upande mmoja. 0:05:18.030,0:05:19.530 Lakini tunapofikiria kuhusu nafasi 0:05:19.530,0:05:21.238 huwa tunafikiria pande tatu. 0:05:21.238,0:05:24.250 Je wewe ungechukua nafasi kiasi gani hapa duniani 0:05:24.250,0:05:25.370 tunamoishi? 0:05:25.370,0:05:27.530 Kama tulivyofanya, tunaweza kutafsiri badala ya 0:05:27.530,0:05:30.080 kizio urefu au eneo, 0:05:30.080,0:05:33.160 tunaweza kutafsiri ukubwa au mchemraba kamili. 0:05:33.160,0:05:34.870 Kwa hiyo hebu tufanye wote. 0:05:34.870,0:05:36.770 Hebu tutafsiri mchemraba wetu. 0:05:36.770,0:05:41.110 Na huu hapa ni mchemraba ambao urefu, upana na kimo chake 0:05:41.110,0:05:43.170 vitakuwa na thamani moja. 0:05:43.170,0:05:45.400 Ngoja nijaribu kuchora mchemraba. 0:05:45.400,0:05:47.050 Na zote zitakuwa na urefu wa hatua moja. 0:05:47.050,0:05:52.580 Kwa hiyo itakuwa kimo cha hatua moja, na kina cha hatua moja 0:05:52.580,0:05:55.685 na upana wa hatua moja. 0:05:55.685,0:05:57.560 Kwa hiyo ili kupima ukubwa, 0:05:57.560,0:06:00.020 tunaweza kusema je hii michemraba mingapi inaweza kutosha 0:06:00.020,0:06:02.200 kwenye haya maumbo? 0:06:02.200,0:06:04.391 kama hili hapa 0:06:04.391,0:06:06.140 huwezi kuyaona yote. 0:06:06.140,0:06:08.300 Ninaweza kulivunjavunja 0:06:08.300,0:06:11.390 ngoja nihesabau kwanza 0:06:11.390,0:06:13.105 ili niweze kufanya vizuri. 0:06:13.105,0:06:14.980 Ni vigumu kidogo kuyaona yote 0:06:14.980,0:06:17.850 kwa sababu kuna baadhi ya michemiraba ambayo iko nyuma yake. 0:06:17.850,0:06:20.180 Lakini ukilichukulia kama matabaka mawili, 0:06:20.180,0:06:22.980 Kwa hiyo tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. 0:06:22.980,0:06:25.060 Tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. 0:06:25.060,0:06:28.000 Hebu fikiria vitu viwili kama hivi vimegandana 0:06:28.000,0:06:30.655 kwa hiyo hiki cha kwanza kitakuwa na michemiraba 1, 2, 3, 4 0:06:30.655,0:06:32.280 Sasa hili litakuwa na matabaka haya mawili 0:06:32.280,0:06:33.630 yaliyogandana. 0:06:33.630,0:06:37.370 Kwa hiyo hapa una hatua za ukubwa 8. 0:06:37.370,0:06:40.720 Au ungeweza kuwa na hatua za ukubwa 8. 0:06:40.720,0:06:42.140 Na hapa je? 0:06:42.140,0:06:46.150 Kama tukijaribu kuyaweka hapa yote-- 0:06:46.150,0:06:47.525 ngoja nichore. 0:06:47.525,0:06:50.735 0:06:50.735,0:06:52.360 Litaonekana kama hivi. 0:06:52.360,0:06:55.570 0:06:55.570,0:06:58.260 Najaribu kuchora kwa haraka. 0:06:58.260,0:07:00.600 Kama tukijaribu kuvitenganisha hapa, 0:07:00.600,0:07:04.850 tungeweza kuwa na sehemu tatu zilizobandikwa 0:07:04.850,0:07:07.840 kila moja litaonekana kama hivi. 0:07:07.840,0:07:10.030 Najaribu kuchora vizuri. 0:07:10.030,0:07:14.250 Sehemu tatu ambazo zitaonekana 0:07:14.250,0:07:19.220 ninachokichora hapa. 0:07:19.220,0:07:22.130 Kwa hiyo litaonekana kama hivi. 0:07:22.130,0:07:24.270 Kwa hiyo kama ukichukua haya matabaka yaliyogandishwa pamoja 0:07:24.270,0:07:26.830 utapata kitu kama hiki hapa. 0:07:26.830,0:07:32.050 Na kila tabaka lina michemiraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9. 0:07:32.050,0:07:38.280 9 mara 3, utapata hatua za ukubwa 27 kwenye hili umbo 0:07:38.280,0:07:38.966 hapa. 0:07:38.966,0:07:40.840 Hii itatusaidia 0:07:40.840,0:07:42.510 kupima vitu 0:07:42.510,0:07:45.960 hususani jinsi tunavyopima vitu katika pande tofauti, 0:07:45.960,0:07:50.120 hususani katika mwonekano wa pande tatu tunaita ukubwa.