1 00:00:00,000 --> 00:00:00,520 2 00:00:00,520 --> 00:00:02,590 Binadamu siku zote wamekuwa wakigundua 3 00:00:02,590 --> 00:00:04,700 kwamba vitu vingine ni viferu kuliko vingine. 4 00:00:04,700 --> 00:00:06,630 Kwa mfano, hiki kipande cha mstari kinaonekana 5 00:00:06,630 --> 00:00:08,820 kirefu kuliko hiki kipande cha mstari. 6 00:00:08,820 --> 00:00:11,470 Lakini hiyo tu hairidhishi kulinganisha. 7 00:00:11,470 --> 00:00:12,490 Unatakiwa kuupima. 8 00:00:12,490 --> 00:00:14,448 Unataka kujua mstari wa pili ni 9 00:00:14,448 --> 00:00:16,920 mrefu zaidi kuliko wa kwanza. 10 00:00:16,920 --> 00:00:18,490 Sasa je tunafanyaje? 11 00:00:18,490 --> 00:00:21,770 Vizuri, inabidi tuwe na kipimo cha urefu. 12 00:00:21,770 --> 00:00:24,410 Kwa hiyo kama tukichukua hiki ndicho kipimo chetu cha urefu, 13 00:00:24,410 --> 00:00:28,270 tuchukulie hii ni hatua moja, kisha tutaweza kujua 14 00:00:28,270 --> 00:00:30,430 je hiyo mistari mingine ina hatua ngapi? 15 00:00:30,430 --> 00:00:32,729 Kwa hiyo mstari wa kwanza unaonekana kama-- 16 00:00:32,729 --> 00:00:35,350 tunaweza kutumia moja kati ya hivyo vipimo kisha tunaweza kurudia tena, 17 00:00:35,350 --> 00:00:38,727 unaonekana kama una hatua mbili. 18 00:00:38,727 --> 00:00:40,810 Wakati huu wa tatu unaonekana kama-- 19 00:00:40,810 --> 00:00:44,970 hebu tuhesabu una hatua 1, 2, 3. 20 00:00:44,970 --> 00:00:47,460 Kwa hiyo huu una hatua tatu. 21 00:00:47,460 --> 00:00:50,500 Na hapa ninatumia hatua. 22 00:00:50,500 --> 00:00:53,490 Ila wakati mwingine tunatumia sentimita 23 00:00:53,490 --> 00:00:55,270 pale ambapo kipimo huonekana kama hivi. 24 00:00:55,270 --> 00:00:57,686 Kitaonekana tofauti kulingana na skrini yako. 25 00:00:57,686 --> 00:01:01,330 Au tunaweza kuwa na inchi ambayo inaonekana kama hivi. 26 00:01:01,330 --> 00:01:02,890 Au tunaweza kutumia futi ambayo 27 00:01:02,890 --> 00:01:05,970 haiwezi kutosha kwenye hii skrini kulingana na ukubwa wa 28 00:01:05,970 --> 00:01:07,600 inchi au mita niliouchora. 29 00:01:07,600 --> 00:01:09,480 Kwa hiyo kuna vizio mbalimbali ambavyo 30 00:01:09,480 --> 00:01:12,120 unaweza kutumia kupima. 31 00:01:12,120 --> 00:01:14,580 Lakini sasa hivi hebu tufikirie vipimo vingine. 32 00:01:14,580 --> 00:01:17,250 Huu mstari ni upande mmoja. 33 00:01:17,250 --> 00:01:18,310 Huu ni upande mmoja. 34 00:01:18,310 --> 00:01:19,430 Kwa nini huu ni upande mmoja? 35 00:01:19,430 --> 00:01:23,970 Kwa sababu tunaweza kupima urefu tu. 36 00:01:23,970 --> 00:01:26,350 Hebu sasa hivi tuone pande mbili. 37 00:01:26,350 --> 00:01:28,720 Tuangalie pande mbili ambapo 38 00:01:28,720 --> 00:01:33,730 maumbo yanaweza kuwa na urefu na upana au upana na kimo. 39 00:01:33,730 --> 00:01:37,340 Hebu tuchukulie haya maumbo mawili hapa ambayo yanaonekana kam a hivi. 40 00:01:37,340 --> 00:01:39,770 Tuchukulie hili ni umbo mojawapo. 41 00:01:39,770 --> 00:01:43,260 Hili ni umbo la kwanza. 42 00:01:43,260 --> 00:01:47,692 Kumbuka pia, lina upana na kimo. 43 00:01:47,692 --> 00:01:49,650 Au unaweza kusema lina upana na urefu, 44 00:01:49,650 --> 00:01:51,191 kulingana na jinsi utakavyoliangalia. 45 00:01:51,191 --> 00:01:53,970 Hebu tuchukulie hili umbo hapa. 46 00:01:53,970 --> 00:01:55,805 Hili ni lingine. 47 00:01:55,805 --> 00:02:00,630 Na hili hapa ni umbo lingine. 48 00:02:00,630 --> 00:02:04,580 Najaribu kuyachora vizuri. 49 00:02:04,580 --> 00:02:06,880 Kwa hiyo lina pande mbili. 50 00:02:06,880 --> 00:02:10,250 Tunataka kujua je hizi pande mbili 51 00:02:10,250 --> 00:02:11,700 zinachukua nafasi ya ukubwa gani? 52 00:02:11,700 --> 00:02:14,147 Au kila umbo lina eneo gani? 53 00:02:14,147 --> 00:02:16,230 Tuyalinganishe tena. 54 00:02:16,230 --> 00:02:19,530 Hili la pili, kama ukiliangalia kama zulia au mstatili, 55 00:02:19,530 --> 00:02:21,860 mstatili wa pili unachukua nafasi kubwa ya skrini yangu 56 00:02:21,860 --> 00:02:24,740 kuliko hili la kwanza, lakini nataka kulipima. 57 00:02:24,740 --> 00:02:26,270 Je, tutawezaje kulipima? 58 00:02:26,270 --> 00:02:28,889 Inabidi tena tupate vipimo vya mraba kamili. 59 00:02:28,889 --> 00:02:31,305 badala ya kizio cha urefu, sasa hivi tuna pande mbili. 60 00:02:31,305 --> 00:02:34,270 Inabidi tuwe na kipimo cha mraba. 61 00:02:34,270 --> 00:02:37,840 Kwa hiyo tutakuwa na kipimo chetu cha mraba. 62 00:02:37,840 --> 00:02:41,620 Na kipimo cha mraba tutatafsiri kama mraba, 63 00:02:41,620 --> 00:02:44,390 ambapo upande na kimo chake 64 00:02:44,390 --> 00:02:46,670 vyote vinalingana. 65 00:02:46,670 --> 00:02:52,310 Kwa hiyo huu ni upana wake ambao ni hatua moja na kimo chake ni hatua moja. 66 00:02:52,310 --> 00:02:56,250 Kwa hiyo tutasema una mita 1 za mraba. 67 00:02:56,250 --> 00:02:59,750 kwa kawaida hii ni hatua moja. 68 00:02:59,750 --> 00:03:03,746 Kisha unaweka hii 2 hapa, ikimaanisha kipeuo 69 00:03:03,746 --> 00:03:05,120 Badala ya kuandika hatua, ingeweza pia 70 00:03:05,120 --> 00:03:06,740 kuwa sentimita. 71 00:03:06,740 --> 00:03:09,420 Kwa hiyo itakuwa sentimita 1 za mraba. 72 00:03:09,420 --> 00:03:12,490 Lakini sasa hivi tunaweza kutumia hili umbo kupima haya maeneo. 73 00:03:12,490 --> 00:03:14,900 Na kama tulivyosema je miraba mingapi yenye urefu huu 74 00:03:14,900 --> 00:03:16,620 inaweza kutosha kwenye hii mistari, 75 00:03:16,620 --> 00:03:19,797 tunaweza kujua ni miraba mingapi kama hii inaweza kutosha hapa? 76 00:03:19,797 --> 00:03:21,880 Kwa hiyo hapa tunaweza kuchukua moja ya mraba kamili 77 00:03:21,880 --> 00:03:24,597 na kusema unaweza kutosha nafasi hii. 78 00:03:24,597 --> 00:03:26,180 Tunahitaji mingi zaidi ili kuweza kutosha umbo lote. 79 00:03:26,180 --> 00:03:28,740 Tutaweka mraba mwingine pale. 80 00:03:28,740 --> 00:03:31,370 Na mwingine hapa. 81 00:03:31,370 --> 00:03:33,670 Tutaweka mraba mwingine hapa. 82 00:03:33,670 --> 00:03:36,530 Vizuri, miraba 4 imeweza kutosha kwenye umbo hili. 83 00:03:36,530 --> 00:03:38,170 Kwa hiyo tunaweza kusema kwamba hili umbo lina 84 00:03:38,170 --> 00:03:45,950 eneo la miraba 4 au miraba 4. 85 00:03:45,950 --> 00:03:48,110 Vipi kuhusu hili hapa? 86 00:03:48,110 --> 00:03:58,910 inaonekana linaweza kutosha miraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 87 00:03:58,910 --> 00:03:59,940 9. 88 00:03:59,940 --> 00:04:06,710 Kwa hiyo hili hapa lingetosha miraba 9. 89 00:04:06,710 --> 00:04:07,710 hebu tuendelee. 90 00:04:07,710 --> 00:04:09,960 Tunaishi kwenye dunia yenye mwonekano wa pande tatu. 91 00:04:09,960 --> 00:04:12,320 Kwa nini tujizuie na kuona pande mbili tu? 92 00:04:12,320 --> 00:04:14,890 Haya hebu sasa tuone hizo pande tatu. 93 00:04:14,890 --> 00:04:16,751 Kwa mara nyingine, watu wanaposema pande tatu, 94 00:04:16,751 --> 00:04:18,209 wanamaanisha mwonekano wa pande zote tatu. 95 00:04:18,209 --> 00:04:20,050 Wanazungumzia kuhusu mielekeo mitatu tofauti 96 00:04:20,050 --> 00:04:21,341 unayoweza kupima vitu. 97 00:04:21,341 --> 00:04:22,620 Hapa kuna urefu tu. 98 00:04:22,620 --> 00:04:26,340 Hapa kuna urefu na upana au upana na kimo. 99 00:04:26,340 --> 00:04:29,890 Na hapa kuna upana na kimo na kina. 100 00:04:29,890 --> 00:04:37,910 Tuchukulie una umbo kama hili 101 00:04:37,910 --> 00:04:39,910 na tunaishi kwenye dunia 102 00:04:39,910 --> 00:04:43,120 yenye mwonekano wa pande tatu 103 00:04:43,120 --> 00:04:52,260 kisha una umbo lingine kama hili, 104 00:04:52,260 --> 00:04:57,730 inaonekana kama hili umbo la pili linachukua sehemu kubwa zaidi, 105 00:04:57,730 --> 00:05:01,120 kuliko umbo la kwanza. 106 00:05:01,120 --> 00:05:03,510 Linaonekana kama ni kubwa zaidi. 107 00:05:03,510 --> 00:05:05,050 Lakini tunawezaje kulipima? 108 00:05:05,050 --> 00:05:08,460 Kumbuka, ukubwa ni ile nafasi inayotosha umbo zima 109 00:05:08,460 --> 00:05:09,960 na kuonekana pande tatu. 110 00:05:09,960 --> 00:05:14,340 Eneo ni nafasi inayochukuliwa na kitu kwenye pande mbili. 111 00:05:14,340 --> 00:05:16,660 Urefu ni nafasi inayochukuliwa 112 00:05:16,660 --> 00:05:18,030 upande mmoja. 113 00:05:18,030 --> 00:05:19,530 Lakini tunapofikiria kuhusu nafasi 114 00:05:19,530 --> 00:05:21,238 huwa tunafikiria pande tatu. 115 00:05:21,238 --> 00:05:24,250 Je wewe ungechukua nafasi kiasi gani hapa duniani 116 00:05:24,250 --> 00:05:25,370 tunamoishi? 117 00:05:25,370 --> 00:05:27,530 Kama tulivyofanya, tunaweza kutafsiri badala ya 118 00:05:27,530 --> 00:05:30,080 kizio urefu au eneo, 119 00:05:30,080 --> 00:05:33,160 tunaweza kutafsiri ukubwa au mchemraba kamili. 120 00:05:33,160 --> 00:05:34,870 Kwa hiyo hebu tufanye wote. 121 00:05:34,870 --> 00:05:36,770 Hebu tutafsiri mchemraba wetu. 122 00:05:36,770 --> 00:05:41,110 Na huu hapa ni mchemraba ambao urefu, upana na kimo chake 123 00:05:41,110 --> 00:05:43,170 vitakuwa na thamani moja. 124 00:05:43,170 --> 00:05:45,400 Ngoja nijaribu kuchora mchemraba. 125 00:05:45,400 --> 00:05:47,050 Na zote zitakuwa na urefu wa hatua moja. 126 00:05:47,050 --> 00:05:52,580 Kwa hiyo itakuwa kimo cha hatua moja, na kina cha hatua moja 127 00:05:52,580 --> 00:05:55,685 na upana wa hatua moja. 128 00:05:55,685 --> 00:05:57,560 Kwa hiyo ili kupima ukubwa, 129 00:05:57,560 --> 00:06:00,020 tunaweza kusema je hii michemraba mingapi inaweza kutosha 130 00:06:00,020 --> 00:06:02,200 kwenye haya maumbo? 131 00:06:02,200 --> 00:06:04,391 kama hili hapa 132 00:06:04,391 --> 00:06:06,140 huwezi kuyaona yote. 133 00:06:06,140 --> 00:06:08,300 Ninaweza kulivunjavunja 134 00:06:08,300 --> 00:06:11,390 ngoja nihesabau kwanza 135 00:06:11,390 --> 00:06:13,105 ili niweze kufanya vizuri. 136 00:06:13,105 --> 00:06:14,980 Ni vigumu kidogo kuyaona yote 137 00:06:14,980 --> 00:06:17,850 kwa sababu kuna baadhi ya michemiraba ambayo iko nyuma yake. 138 00:06:17,850 --> 00:06:20,180 Lakini ukilichukulia kama matabaka mawili, 139 00:06:20,180 --> 00:06:22,980 Kwa hiyo tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. 140 00:06:22,980 --> 00:06:25,060 Tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. 141 00:06:25,060 --> 00:06:28,000 Hebu fikiria vitu viwili kama hivi vimegandana 142 00:06:28,000 --> 00:06:30,655 kwa hiyo hiki cha kwanza kitakuwa na michemiraba 1, 2, 3, 4 143 00:06:30,655 --> 00:06:32,280 Sasa hili litakuwa na matabaka haya mawili 144 00:06:32,280 --> 00:06:33,630 yaliyogandana. 145 00:06:33,630 --> 00:06:37,370 Kwa hiyo hapa una hatua za ukubwa 8. 146 00:06:37,370 --> 00:06:40,720 Au ungeweza kuwa na hatua za ukubwa 8. 147 00:06:40,720 --> 00:06:42,140 Na hapa je? 148 00:06:42,140 --> 00:06:46,150 Kama tukijaribu kuyaweka hapa yote-- 149 00:06:46,150 --> 00:06:47,525 ngoja nichore. 150 00:06:47,525 --> 00:06:50,735 151 00:06:50,735 --> 00:06:52,360 Litaonekana kama hivi. 152 00:06:52,360 --> 00:06:55,570 153 00:06:55,570 --> 00:06:58,260 Najaribu kuchora kwa haraka. 154 00:06:58,260 --> 00:07:00,600 Kama tukijaribu kuvitenganisha hapa, 155 00:07:00,600 --> 00:07:04,850 tungeweza kuwa na sehemu tatu zilizobandikwa 156 00:07:04,850 --> 00:07:07,840 kila moja litaonekana kama hivi. 157 00:07:07,840 --> 00:07:10,030 Najaribu kuchora vizuri. 158 00:07:10,030 --> 00:07:14,250 Sehemu tatu ambazo zitaonekana 159 00:07:14,250 --> 00:07:19,220 ninachokichora hapa. 160 00:07:19,220 --> 00:07:22,130 Kwa hiyo litaonekana kama hivi. 161 00:07:22,130 --> 00:07:24,270 Kwa hiyo kama ukichukua haya matabaka yaliyogandishwa pamoja 162 00:07:24,270 --> 00:07:26,830 utapata kitu kama hiki hapa. 163 00:07:26,830 --> 00:07:32,050 Na kila tabaka lina michemiraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9. 164 00:07:32,050 --> 00:07:38,280 9 mara 3, utapata hatua za ukubwa 27 kwenye hili umbo 165 00:07:38,280 --> 00:07:38,966 hapa. 166 00:07:38,966 --> 00:07:40,840 Hii itatusaidia 167 00:07:40,840 --> 00:07:42,510 kupima vitu 168 00:07:42,510 --> 00:07:45,960 hususani jinsi tunavyopima vitu katika pande tofauti, 169 00:07:45,960 --> 00:07:50,120 hususani katika mwonekano wa pande tatu tunaita ukubwa.