[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:00.52,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:00:00.52,0:00:02.59,Default,,0000,0000,0000,,Binadamu siku zote wamekuwa wakigundua Dialogue: 0,0:00:02.59,0:00:04.70,Default,,0000,0000,0000,,kwamba vitu vingine ni viferu kuliko vingine. Dialogue: 0,0:00:04.70,0:00:06.63,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mfano, hiki kipande cha mstari kinaonekana Dialogue: 0,0:00:06.63,0:00:08.82,Default,,0000,0000,0000,,kirefu kuliko hiki kipande cha mstari. Dialogue: 0,0:00:08.82,0:00:11.47,Default,,0000,0000,0000,,Lakini hiyo tu hairidhishi kulinganisha. Dialogue: 0,0:00:11.47,0:00:12.49,Default,,0000,0000,0000,,Unatakiwa kuupima. Dialogue: 0,0:00:12.49,0:00:14.45,Default,,0000,0000,0000,,Unataka kujua mstari wa pili ni Dialogue: 0,0:00:14.45,0:00:16.92,Default,,0000,0000,0000,,mrefu zaidi kuliko wa kwanza. Dialogue: 0,0:00:16.92,0:00:18.49,Default,,0000,0000,0000,,Sasa je tunafanyaje? Dialogue: 0,0:00:18.49,0:00:21.77,Default,,0000,0000,0000,,Vizuri, inabidi tuwe na kipimo cha urefu. Dialogue: 0,0:00:21.77,0:00:24.41,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kama tukichukua hiki ndicho kipimo chetu cha urefu, Dialogue: 0,0:00:24.41,0:00:28.27,Default,,0000,0000,0000,,tuchukulie hii ni hatua moja, kisha tutaweza kujua Dialogue: 0,0:00:28.27,0:00:30.43,Default,,0000,0000,0000,,je hiyo mistari mingine ina hatua ngapi? Dialogue: 0,0:00:30.43,0:00:32.73,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo mstari wa kwanza unaonekana kama-- Dialogue: 0,0:00:32.73,0:00:35.35,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kutumia moja kati ya hivyo vipimo kisha tunaweza kurudia tena, Dialogue: 0,0:00:35.35,0:00:38.73,Default,,0000,0000,0000,,unaonekana kama una hatua mbili. Dialogue: 0,0:00:38.73,0:00:40.81,Default,,0000,0000,0000,,Wakati huu wa tatu unaonekana kama-- Dialogue: 0,0:00:40.81,0:00:44.97,Default,,0000,0000,0000,,hebu tuhesabu una hatua 1, 2, 3. Dialogue: 0,0:00:44.97,0:00:47.46,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo huu una hatua tatu. Dialogue: 0,0:00:47.46,0:00:50.50,Default,,0000,0000,0000,,Na hapa ninatumia hatua. Dialogue: 0,0:00:50.50,0:00:53.49,Default,,0000,0000,0000,,Ila wakati mwingine tunatumia sentimita Dialogue: 0,0:00:53.49,0:00:55.27,Default,,0000,0000,0000,,pale ambapo kipimo huonekana kama hivi. Dialogue: 0,0:00:55.27,0:00:57.69,Default,,0000,0000,0000,,Kitaonekana tofauti kulingana na skrini yako. Dialogue: 0,0:00:57.69,0:01:01.33,Default,,0000,0000,0000,,Au tunaweza kuwa na inchi ambayo inaonekana kama hivi. Dialogue: 0,0:01:01.33,0:01:02.89,Default,,0000,0000,0000,,Au tunaweza kutumia futi ambayo Dialogue: 0,0:01:02.89,0:01:05.97,Default,,0000,0000,0000,,haiwezi kutosha kwenye hii skrini kulingana na ukubwa wa Dialogue: 0,0:01:05.97,0:01:07.60,Default,,0000,0000,0000,,inchi au mita niliouchora. Dialogue: 0,0:01:07.60,0:01:09.48,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kuna vizio mbalimbali ambavyo Dialogue: 0,0:01:09.48,0:01:12.12,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kutumia kupima. Dialogue: 0,0:01:12.12,0:01:14.58,Default,,0000,0000,0000,,Lakini sasa hivi hebu tufikirie vipimo vingine. Dialogue: 0,0:01:14.58,0:01:17.25,Default,,0000,0000,0000,,Huu mstari ni upande mmoja. Dialogue: 0,0:01:17.25,0:01:18.31,Default,,0000,0000,0000,,Huu ni upande mmoja. Dialogue: 0,0:01:18.31,0:01:19.43,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini huu ni upande mmoja? Dialogue: 0,0:01:19.43,0:01:23.97,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu tunaweza kupima urefu tu. Dialogue: 0,0:01:23.97,0:01:26.35,Default,,0000,0000,0000,,Hebu sasa hivi tuone pande mbili. Dialogue: 0,0:01:26.35,0:01:28.72,Default,,0000,0000,0000,,Tuangalie pande mbili ambapo Dialogue: 0,0:01:28.72,0:01:33.73,Default,,0000,0000,0000,,maumbo yanaweza kuwa na urefu na upana au upana na kimo. Dialogue: 0,0:01:33.73,0:01:37.34,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuchukulie haya maumbo mawili hapa ambayo yanaonekana kam a hivi. Dialogue: 0,0:01:37.34,0:01:39.77,Default,,0000,0000,0000,,Tuchukulie hili ni umbo mojawapo. Dialogue: 0,0:01:39.77,0:01:43.26,Default,,0000,0000,0000,,Hili ni umbo la kwanza. Dialogue: 0,0:01:43.26,0:01:47.69,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka pia, lina upana na kimo. Dialogue: 0,0:01:47.69,0:01:49.65,Default,,0000,0000,0000,,Au unaweza kusema lina upana na urefu, Dialogue: 0,0:01:49.65,0:01:51.19,Default,,0000,0000,0000,,kulingana na jinsi utakavyoliangalia. Dialogue: 0,0:01:51.19,0:01:53.97,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tuchukulie hili umbo hapa. Dialogue: 0,0:01:53.97,0:01:55.80,Default,,0000,0000,0000,,Hili ni lingine. Dialogue: 0,0:01:55.80,0:02:00.63,Default,,0000,0000,0000,,Na hili hapa ni umbo lingine. Dialogue: 0,0:02:00.63,0:02:04.58,Default,,0000,0000,0000,,Najaribu kuyachora vizuri. Dialogue: 0,0:02:04.58,0:02:06.88,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo lina pande mbili. Dialogue: 0,0:02:06.88,0:02:10.25,Default,,0000,0000,0000,,Tunataka kujua je hizi pande mbili Dialogue: 0,0:02:10.25,0:02:11.70,Default,,0000,0000,0000,,zinachukua nafasi ya ukubwa gani? Dialogue: 0,0:02:11.70,0:02:14.15,Default,,0000,0000,0000,,Au kila umbo lina eneo gani? Dialogue: 0,0:02:14.15,0:02:16.23,Default,,0000,0000,0000,,Tuyalinganishe tena. Dialogue: 0,0:02:16.23,0:02:19.53,Default,,0000,0000,0000,,Hili la pili, kama ukiliangalia kama zulia au mstatili, Dialogue: 0,0:02:19.53,0:02:21.86,Default,,0000,0000,0000,,mstatili wa pili unachukua nafasi kubwa ya skrini yangu Dialogue: 0,0:02:21.86,0:02:24.74,Default,,0000,0000,0000,,kuliko hili la kwanza, lakini nataka kulipima. Dialogue: 0,0:02:24.74,0:02:26.27,Default,,0000,0000,0000,,Je, tutawezaje kulipima? Dialogue: 0,0:02:26.27,0:02:28.89,Default,,0000,0000,0000,,Inabidi tena tupate vipimo vya mraba kamili. Dialogue: 0,0:02:28.89,0:02:31.30,Default,,0000,0000,0000,,badala ya kizio cha urefu, sasa hivi tuna pande mbili. Dialogue: 0,0:02:31.30,0:02:34.27,Default,,0000,0000,0000,,Inabidi tuwe na kipimo cha mraba. Dialogue: 0,0:02:34.27,0:02:37.84,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tutakuwa na kipimo chetu cha mraba. Dialogue: 0,0:02:37.84,0:02:41.62,Default,,0000,0000,0000,,Na kipimo cha mraba tutatafsiri kama mraba, Dialogue: 0,0:02:41.62,0:02:44.39,Default,,0000,0000,0000,,ambapo upande na kimo chake Dialogue: 0,0:02:44.39,0:02:46.67,Default,,0000,0000,0000,,vyote vinalingana. Dialogue: 0,0:02:46.67,0:02:52.31,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo huu ni upana wake ambao ni hatua moja na kimo chake ni hatua moja. Dialogue: 0,0:02:52.31,0:02:56.25,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tutasema una mita 1 za mraba. Dialogue: 0,0:02:56.25,0:02:59.75,Default,,0000,0000,0000,,kwa kawaida hii ni hatua moja. Dialogue: 0,0:02:59.75,0:03:03.75,Default,,0000,0000,0000,,Kisha unaweka hii 2 hapa, ikimaanisha kipeuo Dialogue: 0,0:03:03.75,0:03:05.12,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya kuandika hatua, ingeweza pia Dialogue: 0,0:03:05.12,0:03:06.74,Default,,0000,0000,0000,,kuwa sentimita. Dialogue: 0,0:03:06.74,0:03:09.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo itakuwa sentimita 1 za mraba. Dialogue: 0,0:03:09.42,0:03:12.49,Default,,0000,0000,0000,,Lakini sasa hivi tunaweza kutumia hili umbo kupima haya maeneo. Dialogue: 0,0:03:12.49,0:03:14.90,Default,,0000,0000,0000,,Na kama tulivyosema je miraba mingapi yenye urefu huu Dialogue: 0,0:03:14.90,0:03:16.62,Default,,0000,0000,0000,,inaweza kutosha kwenye hii mistari, Dialogue: 0,0:03:16.62,0:03:19.80,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kujua ni miraba mingapi kama hii inaweza kutosha hapa? Dialogue: 0,0:03:19.80,0:03:21.88,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hapa tunaweza kuchukua moja ya mraba kamili Dialogue: 0,0:03:21.88,0:03:24.60,Default,,0000,0000,0000,,na kusema unaweza kutosha nafasi hii. Dialogue: 0,0:03:24.60,0:03:26.18,Default,,0000,0000,0000,,Tunahitaji mingi zaidi ili kuweza kutosha umbo lote. Dialogue: 0,0:03:26.18,0:03:28.74,Default,,0000,0000,0000,,Tutaweka mraba mwingine pale. Dialogue: 0,0:03:28.74,0:03:31.37,Default,,0000,0000,0000,,Na mwingine hapa. Dialogue: 0,0:03:31.37,0:03:33.67,Default,,0000,0000,0000,,Tutaweka mraba mwingine hapa. Dialogue: 0,0:03:33.67,0:03:36.53,Default,,0000,0000,0000,,Vizuri, miraba 4 imeweza kutosha kwenye umbo hili. Dialogue: 0,0:03:36.53,0:03:38.17,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tunaweza kusema kwamba hili umbo lina Dialogue: 0,0:03:38.17,0:03:45.95,Default,,0000,0000,0000,,eneo la miraba 4 au miraba 4. Dialogue: 0,0:03:45.95,0:03:48.11,Default,,0000,0000,0000,,Vipi kuhusu hili hapa? Dialogue: 0,0:03:48.11,0:03:58.91,Default,,0000,0000,0000,,inaonekana linaweza kutosha miraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, Dialogue: 0,0:03:58.91,0:03:59.94,Default,,0000,0000,0000,,9. Dialogue: 0,0:03:59.94,0:04:06.71,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hili hapa lingetosha miraba 9. Dialogue: 0,0:04:06.71,0:04:07.71,Default,,0000,0000,0000,,hebu tuendelee. Dialogue: 0,0:04:07.71,0:04:09.96,Default,,0000,0000,0000,,Tunaishi kwenye dunia yenye mwonekano wa pande tatu. Dialogue: 0,0:04:09.96,0:04:12.32,Default,,0000,0000,0000,,Kwa nini tujizuie na kuona pande mbili tu? Dialogue: 0,0:04:12.32,0:04:14.89,Default,,0000,0000,0000,,Haya hebu sasa tuone hizo pande tatu. Dialogue: 0,0:04:14.89,0:04:16.75,Default,,0000,0000,0000,,Kwa mara nyingine, watu wanaposema pande tatu, Dialogue: 0,0:04:16.75,0:04:18.21,Default,,0000,0000,0000,,wanamaanisha mwonekano wa pande zote tatu. Dialogue: 0,0:04:18.21,0:04:20.05,Default,,0000,0000,0000,,Wanazungumzia kuhusu mielekeo mitatu tofauti Dialogue: 0,0:04:20.05,0:04:21.34,Default,,0000,0000,0000,,unayoweza kupima vitu. Dialogue: 0,0:04:21.34,0:04:22.62,Default,,0000,0000,0000,,Hapa kuna urefu tu. Dialogue: 0,0:04:22.62,0:04:26.34,Default,,0000,0000,0000,,Hapa kuna urefu na upana au upana na kimo. Dialogue: 0,0:04:26.34,0:04:29.89,Default,,0000,0000,0000,,Na hapa kuna upana na kimo na kina. Dialogue: 0,0:04:29.89,0:04:37.91,Default,,0000,0000,0000,,Tuchukulie una umbo kama hili Dialogue: 0,0:04:37.91,0:04:39.91,Default,,0000,0000,0000,,na tunaishi kwenye dunia Dialogue: 0,0:04:39.91,0:04:43.12,Default,,0000,0000,0000,,yenye mwonekano wa pande tatu Dialogue: 0,0:04:43.12,0:04:52.26,Default,,0000,0000,0000,,kisha una umbo lingine kama hili, Dialogue: 0,0:04:52.26,0:04:57.73,Default,,0000,0000,0000,,inaonekana kama hili umbo la pili linachukua sehemu kubwa zaidi, Dialogue: 0,0:04:57.73,0:05:01.12,Default,,0000,0000,0000,,kuliko umbo la kwanza. Dialogue: 0,0:05:01.12,0:05:03.51,Default,,0000,0000,0000,,Linaonekana kama ni kubwa zaidi. Dialogue: 0,0:05:03.51,0:05:05.05,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tunawezaje kulipima? Dialogue: 0,0:05:05.05,0:05:08.46,Default,,0000,0000,0000,,Kumbuka, ukubwa ni ile nafasi inayotosha umbo zima Dialogue: 0,0:05:08.46,0:05:09.96,Default,,0000,0000,0000,,na kuonekana pande tatu. Dialogue: 0,0:05:09.96,0:05:14.34,Default,,0000,0000,0000,,Eneo ni nafasi inayochukuliwa na kitu kwenye pande mbili. Dialogue: 0,0:05:14.34,0:05:16.66,Default,,0000,0000,0000,,Urefu ni nafasi inayochukuliwa Dialogue: 0,0:05:16.66,0:05:18.03,Default,,0000,0000,0000,,upande mmoja. Dialogue: 0,0:05:18.03,0:05:19.53,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tunapofikiria kuhusu nafasi Dialogue: 0,0:05:19.53,0:05:21.24,Default,,0000,0000,0000,,huwa tunafikiria pande tatu. Dialogue: 0,0:05:21.24,0:05:24.25,Default,,0000,0000,0000,,Je wewe ungechukua nafasi kiasi gani hapa duniani Dialogue: 0,0:05:24.25,0:05:25.37,Default,,0000,0000,0000,,tunamoishi? Dialogue: 0,0:05:25.37,0:05:27.53,Default,,0000,0000,0000,,Kama tulivyofanya, tunaweza kutafsiri badala ya Dialogue: 0,0:05:27.53,0:05:30.08,Default,,0000,0000,0000,,kizio urefu au eneo, Dialogue: 0,0:05:30.08,0:05:33.16,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kutafsiri ukubwa au mchemraba kamili. Dialogue: 0,0:05:33.16,0:05:34.87,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hebu tufanye wote. Dialogue: 0,0:05:34.87,0:05:36.77,Default,,0000,0000,0000,,Hebu tutafsiri mchemraba wetu. Dialogue: 0,0:05:36.77,0:05:41.11,Default,,0000,0000,0000,,Na huu hapa ni mchemraba ambao urefu, upana na kimo chake Dialogue: 0,0:05:41.11,0:05:43.17,Default,,0000,0000,0000,,vitakuwa na thamani moja. Dialogue: 0,0:05:43.17,0:05:45.40,Default,,0000,0000,0000,,Ngoja nijaribu kuchora mchemraba. Dialogue: 0,0:05:45.40,0:05:47.05,Default,,0000,0000,0000,,Na zote zitakuwa na urefu wa hatua moja. Dialogue: 0,0:05:47.05,0:05:52.58,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo itakuwa kimo cha hatua moja, na kina cha hatua moja Dialogue: 0,0:05:52.58,0:05:55.68,Default,,0000,0000,0000,,na upana wa hatua moja. Dialogue: 0,0:05:55.68,0:05:57.56,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo ili kupima ukubwa, Dialogue: 0,0:05:57.56,0:06:00.02,Default,,0000,0000,0000,,tunaweza kusema je hii michemraba mingapi inaweza kutosha Dialogue: 0,0:06:00.02,0:06:02.20,Default,,0000,0000,0000,,kwenye haya maumbo? Dialogue: 0,0:06:02.20,0:06:04.39,Default,,0000,0000,0000,,kama hili hapa Dialogue: 0,0:06:04.39,0:06:06.14,Default,,0000,0000,0000,,huwezi kuyaona yote. Dialogue: 0,0:06:06.14,0:06:08.30,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kulivunjavunja Dialogue: 0,0:06:08.30,0:06:11.39,Default,,0000,0000,0000,,ngoja nihesabau kwanza Dialogue: 0,0:06:11.39,0:06:13.10,Default,,0000,0000,0000,,ili niweze kufanya vizuri. Dialogue: 0,0:06:13.10,0:06:14.98,Default,,0000,0000,0000,,Ni vigumu kidogo kuyaona yote Dialogue: 0,0:06:14.98,0:06:17.85,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu kuna baadhi ya michemiraba ambayo iko nyuma yake. Dialogue: 0,0:06:17.85,0:06:20.18,Default,,0000,0000,0000,,Lakini ukilichukulia kama matabaka mawili, Dialogue: 0,0:06:20.18,0:06:22.98,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. Dialogue: 0,0:06:22.98,0:06:25.06,Default,,0000,0000,0000,,Tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. Dialogue: 0,0:06:25.06,0:06:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Hebu fikiria vitu viwili kama hivi vimegandana Dialogue: 0,0:06:28.00,0:06:30.66,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo hiki cha kwanza kitakuwa na michemiraba 1, 2, 3, 4 Dialogue: 0,0:06:30.66,0:06:32.28,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hili litakuwa na matabaka haya mawili Dialogue: 0,0:06:32.28,0:06:33.63,Default,,0000,0000,0000,,yaliyogandana. Dialogue: 0,0:06:33.63,0:06:37.37,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hapa una hatua za ukubwa 8. Dialogue: 0,0:06:37.37,0:06:40.72,Default,,0000,0000,0000,,Au ungeweza kuwa na hatua za ukubwa 8. Dialogue: 0,0:06:40.72,0:06:42.14,Default,,0000,0000,0000,,Na hapa je? Dialogue: 0,0:06:42.14,0:06:46.15,Default,,0000,0000,0000,,Kama tukijaribu kuyaweka hapa yote-- Dialogue: 0,0:06:46.15,0:06:47.52,Default,,0000,0000,0000,,ngoja nichore. Dialogue: 0,0:06:47.52,0:06:50.74,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:50.74,0:06:52.36,Default,,0000,0000,0000,,Litaonekana kama hivi. Dialogue: 0,0:06:52.36,0:06:55.57,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:55.57,0:06:58.26,Default,,0000,0000,0000,,Najaribu kuchora kwa haraka. Dialogue: 0,0:06:58.26,0:07:00.60,Default,,0000,0000,0000,,Kama tukijaribu kuvitenganisha hapa, Dialogue: 0,0:07:00.60,0:07:04.85,Default,,0000,0000,0000,,tungeweza kuwa na sehemu tatu zilizobandikwa Dialogue: 0,0:07:04.85,0:07:07.84,Default,,0000,0000,0000,,kila moja litaonekana kama hivi. Dialogue: 0,0:07:07.84,0:07:10.03,Default,,0000,0000,0000,,Najaribu kuchora vizuri. Dialogue: 0,0:07:10.03,0:07:14.25,Default,,0000,0000,0000,,Sehemu tatu ambazo zitaonekana Dialogue: 0,0:07:14.25,0:07:19.22,Default,,0000,0000,0000,,ninachokichora hapa. Dialogue: 0,0:07:19.22,0:07:22.13,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo litaonekana kama hivi. Dialogue: 0,0:07:22.13,0:07:24.27,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kama ukichukua haya matabaka yaliyogandishwa pamoja Dialogue: 0,0:07:24.27,0:07:26.83,Default,,0000,0000,0000,,utapata kitu kama hiki hapa. Dialogue: 0,0:07:26.83,0:07:32.05,Default,,0000,0000,0000,,Na kila tabaka lina michemiraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9. Dialogue: 0,0:07:32.05,0:07:38.28,Default,,0000,0000,0000,,9 mara 3, utapata hatua za ukubwa 27 kwenye hili umbo Dialogue: 0,0:07:38.28,0:07:38.97,Default,,0000,0000,0000,,hapa. Dialogue: 0,0:07:38.97,0:07:40.84,Default,,0000,0000,0000,,Hii itatusaidia Dialogue: 0,0:07:40.84,0:07:42.51,Default,,0000,0000,0000,,kupima vitu Dialogue: 0,0:07:42.51,0:07:45.96,Default,,0000,0000,0000,,hususani jinsi tunavyopima vitu katika pande tofauti, Dialogue: 0,0:07:45.96,0:07:50.12,Default,,0000,0000,0000,,hususani katika mwonekano wa pande tatu tunaita ukubwa.