WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:00.520 00:00:00.520 --> 00:00:02.590 Binadamu siku zote wamekuwa wakigundua 00:00:02.590 --> 00:00:04.700 kwamba vitu vingine ni viferu kuliko vingine. 00:00:04.700 --> 00:00:06.630 Kwa mfano, hiki kipande cha mstari kinaonekana 00:00:06.630 --> 00:00:08.820 kirefu kuliko hiki kipande cha mstari. 00:00:08.820 --> 00:00:11.470 Lakini hiyo tu hairidhishi kulinganisha. 00:00:11.470 --> 00:00:12.490 Unatakiwa kuupima. 00:00:12.490 --> 00:00:14.448 Unataka kujua mstari wa pili ni 00:00:14.448 --> 00:00:16.920 mrefu zaidi kuliko wa kwanza. 00:00:16.920 --> 00:00:18.490 Sasa je tunafanyaje? 00:00:18.490 --> 00:00:21.770 Vizuri, inabidi tuwe na kipimo cha urefu. 00:00:21.770 --> 00:00:24.410 Kwa hiyo kama tukichukua hiki ndicho kipimo chetu cha urefu, 00:00:24.410 --> 00:00:28.270 tuchukulie hii ni hatua moja, kisha tutaweza kujua 00:00:28.270 --> 00:00:30.430 je hiyo mistari mingine ina hatua ngapi? 00:00:30.430 --> 00:00:32.729 Kwa hiyo mstari wa kwanza unaonekana kama-- 00:00:32.729 --> 00:00:35.350 tunaweza kutumia moja kati ya hivyo vipimo kisha tunaweza kurudia tena, 00:00:35.350 --> 00:00:38.727 unaonekana kama una hatua mbili. 00:00:38.727 --> 00:00:40.810 Wakati huu wa tatu unaonekana kama-- 00:00:40.810 --> 00:00:44.970 hebu tuhesabu una hatua 1, 2, 3. 00:00:44.970 --> 00:00:47.460 Kwa hiyo huu una hatua tatu. 00:00:47.460 --> 00:00:50.500 Na hapa ninatumia hatua. 00:00:50.500 --> 00:00:53.490 Ila wakati mwingine tunatumia sentimita 00:00:53.490 --> 00:00:55.270 pale ambapo kipimo huonekana kama hivi. 00:00:55.270 --> 00:00:57.686 Kitaonekana tofauti kulingana na skrini yako. 00:00:57.686 --> 00:01:01.330 Au tunaweza kuwa na inchi ambayo inaonekana kama hivi. 00:01:01.330 --> 00:01:02.890 Au tunaweza kutumia futi ambayo 00:01:02.890 --> 00:01:05.970 haiwezi kutosha kwenye hii skrini kulingana na ukubwa wa 00:01:05.970 --> 00:01:07.600 inchi au mita niliouchora. 00:01:07.600 --> 00:01:09.480 Kwa hiyo kuna vizio mbalimbali ambavyo 00:01:09.480 --> 00:01:12.120 unaweza kutumia kupima. 00:01:12.120 --> 00:01:14.580 Lakini sasa hivi hebu tufikirie vipimo vingine. 00:01:14.580 --> 00:01:17.250 Huu mstari ni upande mmoja. 00:01:17.250 --> 00:01:18.310 Huu ni upande mmoja. 00:01:18.310 --> 00:01:19.430 Kwa nini huu ni upande mmoja? 00:01:19.430 --> 00:01:23.970 Kwa sababu tunaweza kupima urefu tu. 00:01:23.970 --> 00:01:26.350 Hebu sasa hivi tuone pande mbili. 00:01:26.350 --> 00:01:28.720 Tuangalie pande mbili ambapo 00:01:28.720 --> 00:01:33.730 maumbo yanaweza kuwa na urefu na upana au upana na kimo. 00:01:33.730 --> 00:01:37.340 Hebu tuchukulie haya maumbo mawili hapa ambayo yanaonekana kam a hivi. 00:01:37.340 --> 00:01:39.770 Tuchukulie hili ni umbo mojawapo. 00:01:39.770 --> 00:01:43.260 Hili ni umbo la kwanza. 00:01:43.260 --> 00:01:47.692 Kumbuka pia, lina upana na kimo. 00:01:47.692 --> 00:01:49.650 Au unaweza kusema lina upana na urefu, 00:01:49.650 --> 00:01:51.191 kulingana na jinsi utakavyoliangalia. 00:01:51.191 --> 00:01:53.970 Hebu tuchukulie hili umbo hapa. 00:01:53.970 --> 00:01:55.805 Hili ni lingine. 00:01:55.805 --> 00:02:00.630 Na hili hapa ni umbo lingine. 00:02:00.630 --> 00:02:04.580 Najaribu kuyachora vizuri. 00:02:04.580 --> 00:02:06.880 Kwa hiyo lina pande mbili. 00:02:06.880 --> 00:02:10.250 Tunataka kujua je hizi pande mbili 00:02:10.250 --> 00:02:11.700 zinachukua nafasi ya ukubwa gani? 00:02:11.700 --> 00:02:14.147 Au kila umbo lina eneo gani? 00:02:14.147 --> 00:02:16.230 Tuyalinganishe tena. 00:02:16.230 --> 00:02:19.530 Hili la pili, kama ukiliangalia kama zulia au mstatili, 00:02:19.530 --> 00:02:21.860 mstatili wa pili unachukua nafasi kubwa ya skrini yangu 00:02:21.860 --> 00:02:24.740 kuliko hili la kwanza, lakini nataka kulipima. 00:02:24.740 --> 00:02:26.270 Je, tutawezaje kulipima? 00:02:26.270 --> 00:02:28.889 Inabidi tena tupate vipimo vya mraba kamili. 00:02:28.889 --> 00:02:31.305 badala ya kizio cha urefu, sasa hivi tuna pande mbili. 00:02:31.305 --> 00:02:34.270 Inabidi tuwe na kipimo cha mraba. 00:02:34.270 --> 00:02:37.840 Kwa hiyo tutakuwa na kipimo chetu cha mraba. 00:02:37.840 --> 00:02:41.620 Na kipimo cha mraba tutatafsiri kama mraba, 00:02:41.620 --> 00:02:44.390 ambapo upande na kimo chake 00:02:44.390 --> 00:02:46.670 vyote vinalingana. 00:02:46.670 --> 00:02:52.310 Kwa hiyo huu ni upana wake ambao ni hatua moja na kimo chake ni hatua moja. 00:02:52.310 --> 00:02:56.250 Kwa hiyo tutasema una mita 1 za mraba. 00:02:56.250 --> 00:02:59.750 kwa kawaida hii ni hatua moja. 00:02:59.750 --> 00:03:03.746 Kisha unaweka hii 2 hapa, ikimaanisha kipeuo 00:03:03.746 --> 00:03:05.120 Badala ya kuandika hatua, ingeweza pia 00:03:05.120 --> 00:03:06.740 kuwa sentimita. 00:03:06.740 --> 00:03:09.420 Kwa hiyo itakuwa sentimita 1 za mraba. 00:03:09.420 --> 00:03:12.490 Lakini sasa hivi tunaweza kutumia hili umbo kupima haya maeneo. 00:03:12.490 --> 00:03:14.900 Na kama tulivyosema je miraba mingapi yenye urefu huu 00:03:14.900 --> 00:03:16.620 inaweza kutosha kwenye hii mistari, 00:03:16.620 --> 00:03:19.797 tunaweza kujua ni miraba mingapi kama hii inaweza kutosha hapa? 00:03:19.797 --> 00:03:21.880 Kwa hiyo hapa tunaweza kuchukua moja ya mraba kamili 00:03:21.880 --> 00:03:24.597 na kusema unaweza kutosha nafasi hii. 00:03:24.597 --> 00:03:26.180 Tunahitaji mingi zaidi ili kuweza kutosha umbo lote. 00:03:26.180 --> 00:03:28.740 Tutaweka mraba mwingine pale. 00:03:28.740 --> 00:03:31.370 Na mwingine hapa. 00:03:31.370 --> 00:03:33.670 Tutaweka mraba mwingine hapa. 00:03:33.670 --> 00:03:36.530 Vizuri, miraba 4 imeweza kutosha kwenye umbo hili. 00:03:36.530 --> 00:03:38.170 Kwa hiyo tunaweza kusema kwamba hili umbo lina 00:03:38.170 --> 00:03:45.950 eneo la miraba 4 au miraba 4. 00:03:45.950 --> 00:03:48.110 Vipi kuhusu hili hapa? 00:03:48.110 --> 00:03:58.910 inaonekana linaweza kutosha miraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 00:03:58.910 --> 00:03:59.940 9. 00:03:59.940 --> 00:04:06.710 Kwa hiyo hili hapa lingetosha miraba 9. 00:04:06.710 --> 00:04:07.710 hebu tuendelee. 00:04:07.710 --> 00:04:09.960 Tunaishi kwenye dunia yenye mwonekano wa pande tatu. 00:04:09.960 --> 00:04:12.320 Kwa nini tujizuie na kuona pande mbili tu? 00:04:12.320 --> 00:04:14.890 Haya hebu sasa tuone hizo pande tatu. 00:04:14.890 --> 00:04:16.751 Kwa mara nyingine, watu wanaposema pande tatu, 00:04:16.751 --> 00:04:18.209 wanamaanisha mwonekano wa pande zote tatu. 00:04:18.209 --> 00:04:20.050 Wanazungumzia kuhusu mielekeo mitatu tofauti 00:04:20.050 --> 00:04:21.341 unayoweza kupima vitu. 00:04:21.341 --> 00:04:22.620 Hapa kuna urefu tu. 00:04:22.620 --> 00:04:26.340 Hapa kuna urefu na upana au upana na kimo. 00:04:26.340 --> 00:04:29.890 Na hapa kuna upana na kimo na kina. 00:04:29.890 --> 00:04:37.910 Tuchukulie una umbo kama hili 00:04:37.910 --> 00:04:39.910 na tunaishi kwenye dunia 00:04:39.910 --> 00:04:43.120 yenye mwonekano wa pande tatu 00:04:43.120 --> 00:04:52.260 kisha una umbo lingine kama hili, 00:04:52.260 --> 00:04:57.730 inaonekana kama hili umbo la pili linachukua sehemu kubwa zaidi, 00:04:57.730 --> 00:05:01.120 kuliko umbo la kwanza. 00:05:01.120 --> 00:05:03.510 Linaonekana kama ni kubwa zaidi. 00:05:03.510 --> 00:05:05.050 Lakini tunawezaje kulipima? 00:05:05.050 --> 00:05:08.460 Kumbuka, ukubwa ni ile nafasi inayotosha umbo zima 00:05:08.460 --> 00:05:09.960 na kuonekana pande tatu. 00:05:09.960 --> 00:05:14.340 Eneo ni nafasi inayochukuliwa na kitu kwenye pande mbili. 00:05:14.340 --> 00:05:16.660 Urefu ni nafasi inayochukuliwa 00:05:16.660 --> 00:05:18.030 upande mmoja. 00:05:18.030 --> 00:05:19.530 Lakini tunapofikiria kuhusu nafasi 00:05:19.530 --> 00:05:21.238 huwa tunafikiria pande tatu. 00:05:21.238 --> 00:05:24.250 Je wewe ungechukua nafasi kiasi gani hapa duniani 00:05:24.250 --> 00:05:25.370 tunamoishi? 00:05:25.370 --> 00:05:27.530 Kama tulivyofanya, tunaweza kutafsiri badala ya 00:05:27.530 --> 00:05:30.080 kizio urefu au eneo, 00:05:30.080 --> 00:05:33.160 tunaweza kutafsiri ukubwa au mchemraba kamili. 00:05:33.160 --> 00:05:34.870 Kwa hiyo hebu tufanye wote. 00:05:34.870 --> 00:05:36.770 Hebu tutafsiri mchemraba wetu. 00:05:36.770 --> 00:05:41.110 Na huu hapa ni mchemraba ambao urefu, upana na kimo chake 00:05:41.110 --> 00:05:43.170 vitakuwa na thamani moja. 00:05:43.170 --> 00:05:45.400 Ngoja nijaribu kuchora mchemraba. 00:05:45.400 --> 00:05:47.050 Na zote zitakuwa na urefu wa hatua moja. 00:05:47.050 --> 00:05:52.580 Kwa hiyo itakuwa kimo cha hatua moja, na kina cha hatua moja 00:05:52.580 --> 00:05:55.685 na upana wa hatua moja. 00:05:55.685 --> 00:05:57.560 Kwa hiyo ili kupima ukubwa, 00:05:57.560 --> 00:06:00.020 tunaweza kusema je hii michemraba mingapi inaweza kutosha 00:06:00.020 --> 00:06:02.200 kwenye haya maumbo? 00:06:02.200 --> 00:06:04.391 kama hili hapa 00:06:04.391 --> 00:06:06.140 huwezi kuyaona yote. 00:06:06.140 --> 00:06:08.300 Ninaweza kulivunjavunja 00:06:08.300 --> 00:06:11.390 ngoja nihesabau kwanza 00:06:11.390 --> 00:06:13.105 ili niweze kufanya vizuri. 00:06:13.105 --> 00:06:14.980 Ni vigumu kidogo kuyaona yote 00:06:14.980 --> 00:06:17.850 kwa sababu kuna baadhi ya michemiraba ambayo iko nyuma yake. 00:06:17.850 --> 00:06:20.180 Lakini ukilichukulia kama matabaka mawili, 00:06:20.180 --> 00:06:22.980 Kwa hiyo tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. 00:06:22.980 --> 00:06:25.060 Tabaka la kwanza litaonekana kama hivi. 00:06:25.060 --> 00:06:28.000 Hebu fikiria vitu viwili kama hivi vimegandana 00:06:28.000 --> 00:06:30.655 kwa hiyo hiki cha kwanza kitakuwa na michemiraba 1, 2, 3, 4 00:06:30.655 --> 00:06:32.280 Sasa hili litakuwa na matabaka haya mawili 00:06:32.280 --> 00:06:33.630 yaliyogandana. 00:06:33.630 --> 00:06:37.370 Kwa hiyo hapa una hatua za ukubwa 8. 00:06:37.370 --> 00:06:40.720 Au ungeweza kuwa na hatua za ukubwa 8. 00:06:40.720 --> 00:06:42.140 Na hapa je? 00:06:42.140 --> 00:06:46.150 Kama tukijaribu kuyaweka hapa yote-- 00:06:46.150 --> 00:06:47.525 ngoja nichore. 00:06:47.525 --> 00:06:50.735 00:06:50.735 --> 00:06:52.360 Litaonekana kama hivi. 00:06:52.360 --> 00:06:55.570 00:06:55.570 --> 00:06:58.260 Najaribu kuchora kwa haraka. 00:06:58.260 --> 00:07:00.600 Kama tukijaribu kuvitenganisha hapa, 00:07:00.600 --> 00:07:04.850 tungeweza kuwa na sehemu tatu zilizobandikwa 00:07:04.850 --> 00:07:07.840 kila moja litaonekana kama hivi. 00:07:07.840 --> 00:07:10.030 Najaribu kuchora vizuri. 00:07:10.030 --> 00:07:14.250 Sehemu tatu ambazo zitaonekana 00:07:14.250 --> 00:07:19.220 ninachokichora hapa. 00:07:19.220 --> 00:07:22.130 Kwa hiyo litaonekana kama hivi. 00:07:22.130 --> 00:07:24.270 Kwa hiyo kama ukichukua haya matabaka yaliyogandishwa pamoja 00:07:24.270 --> 00:07:26.830 utapata kitu kama hiki hapa. 00:07:26.830 --> 00:07:32.050 Na kila tabaka lina michemiraba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9. 00:07:32.050 --> 00:07:38.280 9 mara 3, utapata hatua za ukubwa 27 kwenye hili umbo 00:07:38.280 --> 00:07:38.966 hapa. 00:07:38.966 --> 00:07:40.840 Hii itatusaidia 00:07:40.840 --> 00:07:42.510 kupima vitu 00:07:42.510 --> 00:07:45.960 hususani jinsi tunavyopima vitu katika pande tofauti, 00:07:45.960 --> 00:07:50.120 hususani katika mwonekano wa pande tatu tunaita ukubwa.