0:00:00.000,0:00:08.133 Wewe shetani - popote unapofanya kazi - lazima uondoke leo. 0:00:08.133,0:00:11.566 Ninakuamuru uondoke na utumwa wako! 0:00:11.566,0:00:13.733 Ondoka na ndoto zako mbaya! 0:00:13.733,0:00:15.733 Ondoka na mateso yako! 0:00:15.733,0:00:17.966 Ondoka na ulevi wako! 0:00:17.966,0:00:22.733 Lazima uondoke kwa jina kuu la Yesu! 0:00:22.733,0:00:25.866 Mwamuru huyo shetani aondoke katika maisha yako sasa hivi! 0:00:25.866,0:00:29.000 Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye familia yako! 0:00:29.000,0:00:32.100 Mwamuru huyo shetani aondoke nyumbani kwako! 0:00:32.100,0:00:35.366 Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye ndoa yako! 0:00:35.366,0:00:38.500 Je, unakabiliwa na wakati wa giza? 0:00:38.500,0:00:40.900 Wewe si wa giza. 0:00:40.900,0:00:44.200 Wewe ni wa Yesu Kristo. 0:00:44.200,0:00:49.466 Je, hilo giza linaingilia maisha yako wapi? 0:00:49.466,0:00:56.200 Hebu iwe na NURU! 0:00:56.200,0:00:58.366 Pokea NURU nyumbani kwako! 0:00:58.366,0:01:00.666 Pokea NURU katika familia yako! 0:01:00.666,0:01:02.866 Pokea NURU katika afya yako! 0:01:02.866,0:01:05.000 Pokea NURU kwenye ndoa yako! 0:01:05.000,0:01:07.733 Pokea MWANGA katika kazi yako! 0:01:07.733,0:01:10.000 Hebu iwe na NURU!