1 00:00:00,000 --> 00:00:08,133 Wewe shetani - popote unapofanya kazi - lazima uondoke leo. 2 00:00:08,133 --> 00:00:11,566 Ninakuamuru uondoke na utumwa wako! 3 00:00:11,566 --> 00:00:13,733 Ondoka na ndoto zako mbaya! 4 00:00:13,733 --> 00:00:15,733 Ondoka na mateso yako! 5 00:00:15,733 --> 00:00:17,966 Ondoka na ulevi wako! 6 00:00:17,966 --> 00:00:22,733 Lazima uondoke kwa jina kuu la Yesu! 7 00:00:22,733 --> 00:00:25,866 Mwamuru huyo shetani aondoke katika maisha yako sasa hivi! 8 00:00:25,866 --> 00:00:29,000 Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye familia yako! 9 00:00:29,000 --> 00:00:32,100 Mwamuru huyo shetani aondoke nyumbani kwako! 10 00:00:32,100 --> 00:00:35,366 Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye ndoa yako! 11 00:00:35,366 --> 00:00:38,500 Je, unakabiliwa na wakati wa giza? 12 00:00:38,500 --> 00:00:40,900 Wewe si fungu la giza. 13 00:00:40,900 --> 00:00:44,200 Wewe ni wa Yesu Kristo. 14 00:00:44,200 --> 00:00:49,466 Je, hilo giza linaingilia maisha yako sehemu ipi? 15 00:00:49,466 --> 00:00:56,200 Na kuwe na NURU! 16 00:00:56,200 --> 00:00:58,366 Pokea NURU nyumbani kwako! 17 00:00:58,366 --> 00:01:00,666 Pokea NURU katika familia yako! 18 00:01:00,666 --> 00:01:02,866 Pokea NURU katika afya yako! 19 00:01:02,866 --> 00:01:05,000 Pokea NURU kwenye ndoa yako! 20 00:01:05,000 --> 00:01:07,733 Pokea MWANURUNGA katika kazi yako! 21 00:01:07,733 --> 00:01:10,000 Na kuwe na NURU!