[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:08.13,Default,,0000,0000,0000,,Wewe shetani - popote unapofanya kazi - lazima uondoke leo. Dialogue: 0,0:00:08.13,0:00:11.57,Default,,0000,0000,0000,,Ninakuamuru uondoke na utumwa wako! Dialogue: 0,0:00:11.57,0:00:13.73,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka na ndoto zako mbaya! Dialogue: 0,0:00:13.73,0:00:15.73,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka na mateso yako! Dialogue: 0,0:00:15.73,0:00:17.97,Default,,0000,0000,0000,,Ondoka na ulevi wako! Dialogue: 0,0:00:17.97,0:00:22.73,Default,,0000,0000,0000,,Lazima uondoke kwa jina kuu la Yesu! Dialogue: 0,0:00:22.73,0:00:25.87,Default,,0000,0000,0000,,Mwamuru huyo shetani aondoke katika maisha yako sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:25.87,0:00:29.00,Default,,0000,0000,0000,,Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye familia yako! Dialogue: 0,0:00:29.00,0:00:32.10,Default,,0000,0000,0000,,Mwamuru huyo shetani aondoke nyumbani kwako! Dialogue: 0,0:00:32.10,0:00:35.37,Default,,0000,0000,0000,,Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye ndoa yako! Dialogue: 0,0:00:35.37,0:00:38.50,Default,,0000,0000,0000,,Je, unakabiliwa na wakati wa giza? Dialogue: 0,0:00:38.50,0:00:40.90,Default,,0000,0000,0000,,Wewe si fungu la giza. Dialogue: 0,0:00:40.90,0:00:44.20,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ni wa Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:00:44.20,0:00:49.47,Default,,0000,0000,0000,,Je, hilo giza linaingilia maisha yako sehemu ipi? Dialogue: 0,0:00:49.47,0:00:56.20,Default,,0000,0000,0000,,Na kuwe na NURU! Dialogue: 0,0:00:56.20,0:00:58.37,Default,,0000,0000,0000,,Pokea NURU nyumbani kwako! Dialogue: 0,0:00:58.37,0:01:00.67,Default,,0000,0000,0000,,Pokea NURU katika familia yako! Dialogue: 0,0:01:00.67,0:01:02.87,Default,,0000,0000,0000,,Pokea NURU katika afya yako! Dialogue: 0,0:01:02.87,0:01:05.00,Default,,0000,0000,0000,,Pokea NURU kwenye ndoa yako! Dialogue: 0,0:01:05.00,0:01:07.73,Default,,0000,0000,0000,,Pokea MWANURUNGA katika kazi yako! Dialogue: 0,0:01:07.73,0:01:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Na kuwe na NURU!