WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:08.133 Wewe shetani - popote unapofanya kazi - lazima uondoke leo. 00:00:08.133 --> 00:00:11.566 Ninakuamuru uondoke na utumwa wako! 00:00:11.566 --> 00:00:13.733 Ondoka na ndoto zako mbaya! 00:00:13.733 --> 00:00:15.733 Ondoka na mateso yako! 00:00:15.733 --> 00:00:17.966 Ondoka na ulevi wako! 00:00:17.966 --> 00:00:22.733 Lazima uondoke kwa jina kuu la Yesu! 00:00:22.733 --> 00:00:25.866 Mwamuru huyo shetani aondoke katika maisha yako sasa hivi! 00:00:25.866 --> 00:00:29.000 Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye familia yako! 00:00:29.000 --> 00:00:32.100 Mwamuru huyo shetani aondoke nyumbani kwako! 00:00:32.100 --> 00:00:35.366 Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye ndoa yako! 00:00:35.366 --> 00:00:38.500 Je, unakabiliwa na wakati wa giza? 00:00:38.500 --> 00:00:40.900 Wewe si fungu la giza. 00:00:40.900 --> 00:00:44.200 Wewe ni wa Yesu Kristo. 00:00:44.200 --> 00:00:49.466 Je, hilo giza linaingilia maisha yako sehemu ipi? 00:00:49.466 --> 00:00:56.200 Na kuwe na NURU! 00:00:56.200 --> 00:00:58.366 Pokea NURU nyumbani kwako! 00:00:58.366 --> 00:01:00.666 Pokea NURU katika familia yako! 00:01:00.666 --> 00:01:02.866 Pokea NURU katika afya yako! 00:01:02.866 --> 00:01:05.000 Pokea NURU kwenye ndoa yako! 00:01:05.000 --> 00:01:07.733 Pokea MWANURUNGA katika kazi yako! 00:01:07.733 --> 00:01:10.000 Na kuwe na NURU!