0:00:06.549,0:00:07.989 Mwaka 1992 0:00:07.989,0:00:12.211 Meli ya mizigo iliyobeba shehena ya Vichezeo vya kuogea ilipatwa na dhoruba. 0:00:12.211,0:00:14.647 Makontena ya kusafirishia shehena yakapotea kwenye maji, 0:00:14.647,0:00:20.837 Mawimbi yalisomba bata wa raba na vichezeo vinginevyo kwenye bahari ya Pacific ya kaskazini. 0:00:20.837,0:00:22.697 Lakini havikukaa pamoja. 0:00:22.697,0:00:23.977 Tofauti kabisa-- 0:00:23.977,0:00:27.307 Bata hao wametapakaa Dunia nzima, 0:00:27.307,0:00:29.557 Na wachunguzi wametumia njia yao 0:00:29.557,0:00:33.727 Kuelewa zaidi mikondo ya Bahari. 0:00:33.727,0:00:36.493 Mikondo ya bahari inaendeshwa na vitu vingi: 0:00:36.493,0:00:40.043 Upepo,mawimbi,mabadiliko kwenye wiani, 0:00:40.043,0:00:43.073 Na mzunguko wa Dunia. 0:00:43.073,0:00:47.733 Topografia ya sakafu ya bahari na ufukwe vinaongeza hiyo mizunguko, 0:00:47.733,0:00:49.360 Kusababisha mikondo iongeze spidi, 0:00:49.360,0:00:52.200 Kupunguza spidi au kubadili muelekeo. 0:00:52.200,0:00:55.030 Mikondo ya bahari imegawanyika kwenye makundi makuu mawili: 0:00:55.030,0:00:58.290 Mikondo ya juu na mikondo ya ndani ya bahari. 0:00:58.290,0:01:00.050 Mikondo ya juu ina dhibiti mwendo 0:01:00.050,0:01:02.660 Wa asilimia 10 ya maji ya bahari, 0:01:02.660,0:01:06.230 Wakati mikondo ya ndani inadhibiti asilimia 90 iliyobaki. 0:01:06.230,0:01:07.930 Japo yanasababishwa na vitu tofauti, 0:01:07.930,0:01:10.960 Mikondo ya juu na ya ndani inashabiana 0:01:10.960,0:01:15.160 Ni dansi ambayo inaifanya bahari itembee. 0:01:15.160,0:01:16.185 Karibu na fukwe, 0:01:16.185,0:01:19.635 Mikondo ya bahari ya juu inaendeshwa na upepo na mawimbi, 0:01:19.635,0:01:24.505 Ambayo inavuta Maji ndani na Nje pale ambapo kiwango cha maji kinapungua na kuongezeka. 0:01:24.505,0:01:29.773 Wakati huo huo,kwenye bahari upepo ndio nguvu kubwa ya mikondo ya juu. 0:01:29.773,0:01:31.517 Upepo unapovuma juu ya bahari, 0:01:31.517,0:01:34.507 Unaenda na maji ya juu, 0:01:34.507,0:01:37.477 Maji yanayotembea yavuta vilivyomo chini, 0:01:37.477,0:01:39.697 Na hizo zinavuta za chini yake. 0:01:39.697,0:01:43.197 Maji yenye kina kirefu cha Mita 400 0:01:43.197,0:01:47.027 Bado yana athiriwa na upepo wa juu ya bahari. 0:01:47.027,0:01:51.337 Ukiangalia kwa karibu muundo wa mikondo ya juu ya bahari ya Dunia nzima, 0:01:51.337,0:01:54.820 Utaona kwamba inatengeneza vitanzi vikubwa vinavyoitwa gyre, 0:01:54.820,0:01:57.580 Inayosafiri upande wa saa kaskazini mwa ulimwengu 0:01:57.580,0:02:00.430 Na kwa kurudi kusini mwa ulimwengu. 0:02:00.430,0:02:02.620 Hiyo ni sababu ya jinsi Dunia inavyozunguka 0:02:02.620,0:02:06.630 Inaingilia muundo wa upepo inayoleta hii mikondo. 0:02:06.630,0:02:08.280 Kama Dunia isingezunguka, 0:02:08.280,0:02:10.740 Maji na hewa vingeenda mbele na nyuma 0:02:10.740,0:02:12.820 Kutoka sehemu yenye presha ndogo ikweta 0:02:12.820,0:02:14.610 Na presha kubwa kwenye fito. 0:02:14.610,0:02:16.350 Lakini Kadri Dunia inavyozunguka, 0:02:16.350,0:02:20.860 Hewa kutoka ikweta kwenda kwenye fito ya kaskazini inageukia mashariki, 0:02:20.860,0:02:24.509 Na hewa inayoelekea chini inageukia magharibi. 0:02:24.509,0:02:27.299 Tofauti yake inatokea kwenye ulimwengu wa kusini, 0:02:27.299,0:02:29.229 Ili kusudi mito mikubwa ya upepo 0:02:29.229,0:02:32.789 Inatengeneza miundo ya vitanzi karibu na mabonde ya bahari. 0:02:32.789,0:02:35.679 Hii inaitwa ifekti ya coriolis. 0:02:35.679,0:02:40.129 Upepo unasukuma bahari chini yake kwenye gyre za kuzunguka. 0:02:40.129,0:02:43.793 Na sababu maji yanashika moto upesi kushinda hewa, 0:02:43.793,0:02:48.303 Hii mikondo inasaidia kugawanya joto duniani. 0:02:48.303,0:02:49.864 Tofauti na mikondo ya juu, 0:02:49.864,0:02:55.014 Mikondo ya ndani inaendeshwa na tofauti ya wiani wa maji ya bahari. 0:02:55.014,0:02:57.326 Maji yanavyoelekea fito ya kaskazini, 0:02:57.326,0:02:58.496 Yanakuwa na baridi. 0:02:58.496,0:03:01.036 Pia yanakuwa na chumvi nyingi, 0:03:01.036,0:03:05.956 Sababu ile barafu inayoshikilia maji wakati inaacha chumvi nyuma. 0:03:05.956,0:03:08.796 Haya Maji ya baridi yenye chumvi ni mazito zaidi 0:03:08.796,0:03:09.946 Kwahiyo yananuka, 0:03:09.946,0:03:12.616 Na Maji ya uvugu vugu yanachukua nafasi yake. 0:03:12.616,0:03:17.076 Kutengeneza mkondo wa wima unaoitwa mzunguko wa thermohaline 0:03:17.076,0:03:21.563 Mzunguko wa thermohaline wa maji ya ndani na yanayoendeshwa na upepo wa Mkondo wa bahari wa juu 0:03:21.563,0:03:26.319 Unajiunga kutengeneza kitanzi cha upepo kinachoitwa Global Conveyor Belt. 0:03:26.319,0:03:29.486 Maji yanavyohama kutoka ndani ya bahari kwenda juu. 0:03:29.486,0:03:32.606 Yanabeba virutubishi ambavyo vinasaidia kukuza viumbe hai 0:03:32.606,0:03:35.726 Ambayo inatengeneza msingi wa cheni nyingi za chakula baharini. 0:03:35.726,0:03:39.306 Mkondo wa Global Conveyor belt ndo mrefu zaidi duniani, 0:03:39.306,0:03:41.306 Ukizunguka dunia nzima. 0:03:41.306,0:03:44.906 Lakini unazunguka sentimita chache kwa sekunde. 0:03:44.906,0:03:49.456 Inaweza ichukua tone la maji miaka 1000 kufanya safari yote. 0:03:49.456,0:03:52.996 Japokuwa Levo za joto la bahari zinazopanda zinasababisha ukanda wa conveyor 0:03:52.996,0:03:54.956 Kupunguza spidi. 0:03:54.956,0:03:57.746 Modeli zinaonesha hii inasabisha ma tatizo kwenye hali ya hewa 0:03:57.746,0:03:59.616 Kwenye pande zote za Atlantic, 0:03:59.616,0:04:02.856 Na hamna anayejua nini kitatokea ikiendelea kupunguza spidi 0:04:02.856,0:04:05.146 Au ikisimama kabisa 0:04:05.146,0:04:09.136 Njia pekee tutakayoweza tabiri sawasawa na kujiandaa vizuri 0:04:09.136,0:04:13.826 Ni Kwa kuendelea kusoma mikondo na nguvu zote zinazosababisha mikondo kuwepo.