1 00:00:06,549 --> 00:00:07,989 Mwaka 1992 2 00:00:07,989 --> 00:00:12,211 Meli ya mizigo iliyobeba shehena ya Vichezeo vya kuogea ilipatwa na dhoruba. 3 00:00:12,211 --> 00:00:14,647 Makontena ya kusafirishia shehena yakapotea kwenye maji, 4 00:00:14,647 --> 00:00:20,837 Mawimbi yalisomba bata wa raba na vichezeo vinginevyo kwenye bahari ya Pacific ya kaskazini. 5 00:00:20,837 --> 00:00:22,697 Lakini havikukaa pamoja. 6 00:00:22,697 --> 00:00:23,977 Tofauti kabisa-- 7 00:00:23,977 --> 00:00:27,307 Bata hao wametapakaa Dunia nzima, 8 00:00:27,307 --> 00:00:29,557 Na wachunguzi wametumia njia yao 9 00:00:29,557 --> 00:00:33,727 Kuelewa zaidi mikondo ya Bahari. 10 00:00:33,727 --> 00:00:36,493 Mikondo ya bahari inaendeshwa na vitu vingi: 11 00:00:36,493 --> 00:00:40,043 Upepo,mawimbi,mabadiliko kwenye wiani, 12 00:00:40,043 --> 00:00:43,073 Na mzunguko wa Dunia. 13 00:00:43,073 --> 00:00:47,733 Topografia ya sakafu ya bahari na ufukwe vinaongeza hiyo mizunguko, 14 00:00:47,733 --> 00:00:49,360 Kusababisha mikondo iongeze spidi, 15 00:00:49,360 --> 00:00:52,200 Kupunguza spidi au kubadili muelekeo. 16 00:00:52,200 --> 00:00:55,030 Mikondo ya bahari imegawanyika kwenye makundi makuu mawili: 17 00:00:55,030 --> 00:00:58,290 Mikondo ya juu na mikondo ya ndani ya bahari. 18 00:00:58,290 --> 00:01:00,050 Mikondo ya juu ina dhibiti mwendo 19 00:01:00,050 --> 00:01:02,660 Wa asilimia 10 ya maji ya bahari, 20 00:01:02,660 --> 00:01:06,230 Wakati mikondo ya ndani inadhibiti asilimia 90 iliyobaki. 21 00:01:06,230 --> 00:01:07,930 Japo yanasababishwa na vitu tofauti, 22 00:01:07,930 --> 00:01:10,960 Mikondo ya juu na ya ndani inashabiana 23 00:01:10,960 --> 00:01:15,160 Ni dansi ambayo inaifanya bahari itembee. 24 00:01:15,160 --> 00:01:16,185 Karibu na fukwe, 25 00:01:16,185 --> 00:01:19,635 Mikondo ya bahari ya juu inaendeshwa na upepo na mawimbi, 26 00:01:19,635 --> 00:01:24,505 Ambayo inavuta Maji ndani na Nje pale ambapo kiwango cha maji kinapungua na kuongezeka. 27 00:01:24,505 --> 00:01:29,773 Wakati huo huo,kwenye bahari upepo ndio nguvu kubwa ya mikondo ya juu. 28 00:01:29,773 --> 00:01:31,517 Upepo unapovuma juu ya bahari, 29 00:01:31,517 --> 00:01:34,507 Unaenda na maji ya juu, 30 00:01:34,507 --> 00:01:37,477 Maji yanayotembea yavuta vilivyomo chini, 31 00:01:37,477 --> 00:01:39,697 Na hizo zinavuta za chini yake. 32 00:01:39,697 --> 00:01:43,197 Maji yenye kina kirefu cha Mita 400 33 00:01:43,197 --> 00:01:47,027 Bado yana athiriwa na upepo wa juu ya bahari. 34 00:01:47,027 --> 00:01:51,337 Ukiangalia kwa karibu muundo wa mikondo ya juu ya bahari ya Dunia nzima, 35 00:01:51,337 --> 00:01:54,820 Utaona kwamba inatengeneza vitanzi vikubwa vinavyoitwa gyre, 36 00:01:54,820 --> 00:01:57,580 Inayosafiri upande wa saa kaskazini mwa ulimwengu 37 00:01:57,580 --> 00:02:00,430 Na kwa kurudi kusini mwa ulimwengu. 38 00:02:00,430 --> 00:02:02,620 Hiyo ni sababu ya jinsi Dunia inavyozunguka 39 00:02:02,620 --> 00:02:06,630 Inaingilia muundo wa upepo inayoleta hii mikondo. 40 00:02:06,630 --> 00:02:08,280 Kama Dunia isingezunguka, 41 00:02:08,280 --> 00:02:10,740 Maji na hewa vingeenda mbele na nyuma 42 00:02:10,740 --> 00:02:12,820 Kutoka sehemu yenye presha ndogo ikweta 43 00:02:12,820 --> 00:02:14,610 Na presha kubwa kwenye fito. 44 00:02:14,610 --> 00:02:16,350 Lakini Kadri Dunia inavyozunguka, 45 00:02:16,350 --> 00:02:20,860 Hewa kutoka ikweta kwenda kwenye fito ya kaskazini inageukia mashariki, 46 00:02:20,860 --> 00:02:24,509 Na hewa inayoelekea chini inageukia magharibi. 47 00:02:24,509 --> 00:02:27,299 Tofauti yake inatokea kwenye ulimwengu wa kusini, 48 00:02:27,299 --> 00:02:29,229 Ili kusudi mito mikubwa ya upepo 49 00:02:29,229 --> 00:02:32,789 Inatengeneza miundo ya vitanzi karibu na mabonde ya bahari. 50 00:02:32,789 --> 00:02:35,679 Hii inaitwa ifekti ya coriolis. 51 00:02:35,679 --> 00:02:40,129 Upepo unasukuma bahari chini yake kwenye gyre za kuzunguka. 52 00:02:40,129 --> 00:02:43,793 Na sababu maji yanashika moto upesi kushinda hewa, 53 00:02:43,793 --> 00:02:48,303 Hii mikondo inasaidia kugawanya joto duniani. 54 00:02:48,303 --> 00:02:49,864 Tofauti na mikondo ya juu, 55 00:02:49,864 --> 00:02:55,014 Mikondo ya ndani inaendeshwa na tofauti ya wiani wa maji ya bahari. 56 00:02:55,014 --> 00:02:57,326 Maji yanavyoelekea fito ya kaskazini, 57 00:02:57,326 --> 00:02:58,496 Yanakuwa na baridi. 58 00:02:58,496 --> 00:03:01,036 Pia yanakuwa na chumvi nyingi, 59 00:03:01,036 --> 00:03:05,956 Sababu ile barafu inayoshikilia maji wakati inaacha chumvi nyuma. 60 00:03:05,956 --> 00:03:08,796 Haya Maji ya baridi yenye chumvi ni mazito zaidi 61 00:03:08,796 --> 00:03:09,946 Kwahiyo yananuka, 62 00:03:09,946 --> 00:03:12,616 Na Maji ya uvugu vugu yanachukua nafasi yake. 63 00:03:12,616 --> 00:03:17,076 Kutengeneza mkondo wa wima unaoitwa mzunguko wa thermohaline 64 00:03:17,076 --> 00:03:21,563 Mzunguko wa thermohaline wa maji ya ndani na yanayoendeshwa na upepo wa Mkondo wa bahari wa juu 65 00:03:21,563 --> 00:03:26,319 Unajiunga kutengeneza kitanzi cha upepo kinachoitwa Global Conveyor Belt. 66 00:03:26,319 --> 00:03:29,486 Maji yanavyohama kutoka ndani ya bahari kwenda juu. 67 00:03:29,486 --> 00:03:32,606 Yanabeba virutubishi ambavyo vinasaidia kukuza viumbe hai 68 00:03:32,606 --> 00:03:35,726 Ambayo inatengeneza msingi wa cheni nyingi za chakula baharini. 69 00:03:35,726 --> 00:03:39,306 Mkondo wa Global Conveyor belt ndo mrefu zaidi duniani, 70 00:03:39,306 --> 00:03:41,306 Ukizunguka dunia nzima. 71 00:03:41,306 --> 00:03:44,906 Lakini unazunguka sentimita chache kwa sekunde. 72 00:03:44,906 --> 00:03:49,456 Inaweza ichukua tone la maji miaka 1000 kufanya safari yote. 73 00:03:49,456 --> 00:03:52,996 Japokuwa Levo za joto la bahari zinazopanda zinasababisha ukanda wa conveyor 74 00:03:52,996 --> 00:03:54,956 Kupunguza spidi. 75 00:03:54,956 --> 00:03:57,746 Modeli zinaonesha hii inasabisha ma tatizo kwenye hali ya hewa 76 00:03:57,746 --> 00:03:59,616 Kwenye pande zote za Atlantic, 77 00:03:59,616 --> 00:04:02,856 Na hamna anayejua nini kitatokea ikiendelea kupunguza spidi 78 00:04:02,856 --> 00:04:05,146 Au ikisimama kabisa 79 00:04:05,146 --> 00:04:09,136 Njia pekee tutakayoweza tabiri sawasawa na kujiandaa vizuri 80 00:04:09,136 --> 00:04:13,826 Ni Kwa kuendelea kusoma mikondo na nguvu zote zinazosababisha mikondo kuwepo.