[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:06.55,0:00:07.99,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka 1992 Dialogue: 0,0:00:07.99,0:00:12.21,Default,,0000,0000,0000,,Meli ya mizigo iliyobeba shehena ya Vichezeo vya kuogea ilipatwa na dhoruba. Dialogue: 0,0:00:12.21,0:00:14.65,Default,,0000,0000,0000,,Makontena ya kusafirishia shehena yakapotea kwenye maji, Dialogue: 0,0:00:14.65,0:00:20.84,Default,,0000,0000,0000,,Mawimbi yalisomba bata wa raba na vichezeo vinginevyo kwenye bahari ya Pacific ya kaskazini. Dialogue: 0,0:00:20.84,0:00:22.70,Default,,0000,0000,0000,,Lakini havikukaa pamoja. Dialogue: 0,0:00:22.70,0:00:23.98,Default,,0000,0000,0000,,Tofauti kabisa-- Dialogue: 0,0:00:23.98,0:00:27.31,Default,,0000,0000,0000,,Bata hao wametapakaa Dunia nzima, Dialogue: 0,0:00:27.31,0:00:29.56,Default,,0000,0000,0000,,Na wachunguzi wametumia njia yao Dialogue: 0,0:00:29.56,0:00:33.73,Default,,0000,0000,0000,,Kuelewa zaidi mikondo ya Bahari. Dialogue: 0,0:00:33.73,0:00:36.49,Default,,0000,0000,0000,,Mikondo ya bahari inaendeshwa na vitu vingi: Dialogue: 0,0:00:36.49,0:00:40.04,Default,,0000,0000,0000,,Upepo,mawimbi,mabadiliko kwenye wiani, Dialogue: 0,0:00:40.04,0:00:43.07,Default,,0000,0000,0000,,Na mzunguko wa Dunia. Dialogue: 0,0:00:43.07,0:00:47.73,Default,,0000,0000,0000,,Topografia ya sakafu ya bahari na ufukwe vinaongeza hiyo mizunguko, Dialogue: 0,0:00:47.73,0:00:49.36,Default,,0000,0000,0000,,Kusababisha mikondo iongeze spidi, Dialogue: 0,0:00:49.36,0:00:52.20,Default,,0000,0000,0000,,Kupunguza spidi au kubadili muelekeo. Dialogue: 0,0:00:52.20,0:00:55.03,Default,,0000,0000,0000,,Mikondo ya bahari imegawanyika kwenye makundi makuu mawili: Dialogue: 0,0:00:55.03,0:00:58.29,Default,,0000,0000,0000,,Mikondo ya juu na mikondo ya ndani ya bahari. Dialogue: 0,0:00:58.29,0:01:00.05,Default,,0000,0000,0000,,Mikondo ya juu ina dhibiti mwendo Dialogue: 0,0:01:00.05,0:01:02.66,Default,,0000,0000,0000,,Wa asilimia 10 ya maji ya bahari, Dialogue: 0,0:01:02.66,0:01:06.23,Default,,0000,0000,0000,,Wakati mikondo ya ndani inadhibiti asilimia 90 iliyobaki. Dialogue: 0,0:01:06.23,0:01:07.93,Default,,0000,0000,0000,,Japo yanasababishwa na vitu tofauti, Dialogue: 0,0:01:07.93,0:01:10.96,Default,,0000,0000,0000,,Mikondo ya juu na ya ndani inashabiana Dialogue: 0,0:01:10.96,0:01:15.16,Default,,0000,0000,0000,,Ni dansi ambayo inaifanya bahari itembee. Dialogue: 0,0:01:15.16,0:01:16.18,Default,,0000,0000,0000,,Karibu na fukwe, Dialogue: 0,0:01:16.18,0:01:19.64,Default,,0000,0000,0000,,Mikondo ya bahari ya juu inaendeshwa na upepo na mawimbi, Dialogue: 0,0:01:19.64,0:01:24.50,Default,,0000,0000,0000,,Ambayo inavuta Maji ndani na Nje pale ambapo kiwango cha maji kinapungua na kuongezeka. Dialogue: 0,0:01:24.50,0:01:29.77,Default,,0000,0000,0000,,Wakati huo huo,kwenye bahari upepo ndio nguvu kubwa ya mikondo ya juu. Dialogue: 0,0:01:29.77,0:01:31.52,Default,,0000,0000,0000,,Upepo unapovuma juu ya bahari, Dialogue: 0,0:01:31.52,0:01:34.51,Default,,0000,0000,0000,,Unaenda na maji ya juu, Dialogue: 0,0:01:34.51,0:01:37.48,Default,,0000,0000,0000,,Maji yanayotembea yavuta vilivyomo chini, Dialogue: 0,0:01:37.48,0:01:39.70,Default,,0000,0000,0000,,Na hizo zinavuta za chini yake. Dialogue: 0,0:01:39.70,0:01:43.20,Default,,0000,0000,0000,,Maji yenye kina kirefu cha Mita 400 Dialogue: 0,0:01:43.20,0:01:47.03,Default,,0000,0000,0000,,Bado yana athiriwa na upepo wa juu ya bahari. Dialogue: 0,0:01:47.03,0:01:51.34,Default,,0000,0000,0000,,Ukiangalia kwa karibu muundo wa mikondo ya juu ya bahari ya Dunia nzima, Dialogue: 0,0:01:51.34,0:01:54.82,Default,,0000,0000,0000,,Utaona kwamba inatengeneza vitanzi vikubwa vinavyoitwa gyre, Dialogue: 0,0:01:54.82,0:01:57.58,Default,,0000,0000,0000,,Inayosafiri upande wa saa kaskazini mwa ulimwengu Dialogue: 0,0:01:57.58,0:02:00.43,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa kurudi kusini mwa ulimwengu. Dialogue: 0,0:02:00.43,0:02:02.62,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ni sababu ya jinsi Dunia inavyozunguka Dialogue: 0,0:02:02.62,0:02:06.63,Default,,0000,0000,0000,,Inaingilia muundo wa upepo inayoleta hii mikondo. Dialogue: 0,0:02:06.63,0:02:08.28,Default,,0000,0000,0000,,Kama Dunia isingezunguka, Dialogue: 0,0:02:08.28,0:02:10.74,Default,,0000,0000,0000,,Maji na hewa vingeenda mbele na nyuma Dialogue: 0,0:02:10.74,0:02:12.82,Default,,0000,0000,0000,,Kutoka sehemu yenye presha ndogo ikweta Dialogue: 0,0:02:12.82,0:02:14.61,Default,,0000,0000,0000,,Na presha kubwa kwenye fito. Dialogue: 0,0:02:14.61,0:02:16.35,Default,,0000,0000,0000,,Lakini Kadri Dunia inavyozunguka, Dialogue: 0,0:02:16.35,0:02:20.86,Default,,0000,0000,0000,,Hewa kutoka ikweta kwenda kwenye fito ya kaskazini inageukia mashariki, Dialogue: 0,0:02:20.86,0:02:24.51,Default,,0000,0000,0000,,Na hewa inayoelekea chini inageukia magharibi. Dialogue: 0,0:02:24.51,0:02:27.30,Default,,0000,0000,0000,,Tofauti yake inatokea kwenye ulimwengu wa kusini, Dialogue: 0,0:02:27.30,0:02:29.23,Default,,0000,0000,0000,,Ili kusudi mito mikubwa ya upepo Dialogue: 0,0:02:29.23,0:02:32.79,Default,,0000,0000,0000,,Inatengeneza miundo ya vitanzi karibu na mabonde ya bahari. Dialogue: 0,0:02:32.79,0:02:35.68,Default,,0000,0000,0000,,Hii inaitwa ifekti ya coriolis. Dialogue: 0,0:02:35.68,0:02:40.13,Default,,0000,0000,0000,,Upepo unasukuma bahari chini yake kwenye gyre za kuzunguka. Dialogue: 0,0:02:40.13,0:02:43.79,Default,,0000,0000,0000,,Na sababu maji yanashika moto upesi kushinda hewa, Dialogue: 0,0:02:43.79,0:02:48.30,Default,,0000,0000,0000,,Hii mikondo inasaidia kugawanya joto duniani. Dialogue: 0,0:02:48.30,0:02:49.86,Default,,0000,0000,0000,,Tofauti na mikondo ya juu, Dialogue: 0,0:02:49.86,0:02:55.01,Default,,0000,0000,0000,,Mikondo ya ndani inaendeshwa na tofauti ya wiani wa maji ya bahari. Dialogue: 0,0:02:55.01,0:02:57.33,Default,,0000,0000,0000,,Maji yanavyoelekea fito ya kaskazini, Dialogue: 0,0:02:57.33,0:02:58.50,Default,,0000,0000,0000,,Yanakuwa na baridi. Dialogue: 0,0:02:58.50,0:03:01.04,Default,,0000,0000,0000,,Pia yanakuwa na chumvi nyingi, Dialogue: 0,0:03:01.04,0:03:05.96,Default,,0000,0000,0000,,Sababu ile barafu inayoshikilia maji wakati inaacha chumvi nyuma. Dialogue: 0,0:03:05.96,0:03:08.80,Default,,0000,0000,0000,,Haya Maji ya baridi yenye chumvi ni mazito zaidi Dialogue: 0,0:03:08.80,0:03:09.95,Default,,0000,0000,0000,,Kwahiyo yananuka, Dialogue: 0,0:03:09.95,0:03:12.62,Default,,0000,0000,0000,,Na Maji ya uvugu vugu yanachukua nafasi yake. Dialogue: 0,0:03:12.62,0:03:17.08,Default,,0000,0000,0000,,Kutengeneza mkondo wa wima unaoitwa mzunguko wa thermohaline Dialogue: 0,0:03:17.08,0:03:21.56,Default,,0000,0000,0000,,Mzunguko wa thermohaline wa maji ya ndani na yanayoendeshwa na upepo wa Mkondo wa bahari wa juu Dialogue: 0,0:03:21.56,0:03:26.32,Default,,0000,0000,0000,,Unajiunga kutengeneza kitanzi cha upepo kinachoitwa Global Conveyor Belt. Dialogue: 0,0:03:26.32,0:03:29.49,Default,,0000,0000,0000,,Maji yanavyohama kutoka ndani ya bahari kwenda juu. Dialogue: 0,0:03:29.49,0:03:32.61,Default,,0000,0000,0000,,Yanabeba virutubishi ambavyo vinasaidia kukuza viumbe hai Dialogue: 0,0:03:32.61,0:03:35.73,Default,,0000,0000,0000,,Ambayo inatengeneza msingi wa cheni nyingi za chakula baharini. Dialogue: 0,0:03:35.73,0:03:39.31,Default,,0000,0000,0000,,Mkondo wa Global Conveyor belt ndo mrefu zaidi duniani, Dialogue: 0,0:03:39.31,0:03:41.31,Default,,0000,0000,0000,,Ukizunguka dunia nzima. Dialogue: 0,0:03:41.31,0:03:44.91,Default,,0000,0000,0000,,Lakini unazunguka sentimita chache kwa sekunde. Dialogue: 0,0:03:44.91,0:03:49.46,Default,,0000,0000,0000,,Inaweza ichukua tone la maji miaka 1000 kufanya safari yote. Dialogue: 0,0:03:49.46,0:03:52.100,Default,,0000,0000,0000,,Japokuwa Levo za joto la bahari zinazopanda zinasababisha ukanda wa conveyor Dialogue: 0,0:03:52.100,0:03:54.96,Default,,0000,0000,0000,,Kupunguza spidi. Dialogue: 0,0:03:54.96,0:03:57.75,Default,,0000,0000,0000,,Modeli zinaonesha hii inasabisha ma tatizo kwenye hali ya hewa Dialogue: 0,0:03:57.75,0:03:59.62,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye pande zote za Atlantic, Dialogue: 0,0:03:59.62,0:04:02.86,Default,,0000,0000,0000,,Na hamna anayejua nini kitatokea ikiendelea kupunguza spidi Dialogue: 0,0:04:02.86,0:04:05.15,Default,,0000,0000,0000,,Au ikisimama kabisa Dialogue: 0,0:04:05.15,0:04:09.14,Default,,0000,0000,0000,,Njia pekee tutakayoweza tabiri sawasawa na kujiandaa vizuri Dialogue: 0,0:04:09.14,0:04:13.83,Default,,0000,0000,0000,,Ni Kwa kuendelea kusoma mikondo na nguvu zote zinazosababisha mikondo kuwepo.