0:00:00.283,0:00:01.862 Hebu tufanye maswali ya 0:00:01.862,0:00:03.650 kukokotoa milinganyo. 0:00:03.650,0:00:08.421 Tuchukulie tuna mlinganyo huu, 1/3 jumlisha A 0:00:08.421,0:00:10.905 ni sawa na 5/3. 0:00:10.905,0:00:13.924 Je, thamani ya A ni ngapi kwenye mlinganyo? 0:00:13.924,0:00:17.604 Kama nina 1/3 jumlisha A, je A inatakiwa kuwa ngapi 0:00:17.604,0:00:22.604 ili tukiijumlisha kwa 1/3 iwe sawa na 5/3? 0:00:23.873,0:00:27.135 Kuna njia nyingi za kufanya hii, 0:00:27.135,0:00:29.735 na hiki ni kitu cha kufurahisha kuhusu mlinganyo 0:00:29.735,0:00:32.835 na hakuna njia moja ya kukokotoa. 0:00:32.835,0:00:34.831 Hivyo ngoja nifikirie, 0:00:34.831,0:00:36.004 njia nyepesi ya kutumia. 0:00:36.004,0:00:38.105 Na kabla sijafanya chochote, unaweza 0:00:38.105,0:00:40.891 kusubirisha video, na ufanye mwenyewe. 0:00:40.891,0:00:45.891 Hivyo nachotakiwa ni kuwa na A 0:00:46.313,0:00:47.892 upande mmoja wa mlinganyo. 0:00:47.892,0:00:49.536 Kwa kuwa A ipo tayari upande wa kushoto, 0:00:49.536,0:00:51.440 tuone kama nitaweza kuendelea kuiweka upande wa kushoto, 0:00:51.440,0:00:53.831 hivyo naiondoa 1/3. 0:00:53.831,0:00:55.930 Vizuri, njia rahisi ya kuiondoa 0:00:55.930,0:00:59.314 hii 1/3 ni kutoa 1/3 kutoka upande wa 0:00:59.314,0:01:00.757 kushoto wa mlinganyo. 0:01:00.757,0:01:02.661 Siwezi kutoa 0:01:02.661,0:01:04.298 upande wa kushoto wa mlinganyo peke yake. 0:01:04.298,0:01:06.759 Kama 1/3 jumlisha A ni sawa na 5/3, 0:01:06.759,0:01:09.719 na kama nikitoa 1/3 kutoka upande wa kushoto tu, 0:01:09.719,0:01:11.715 hivyo haiwezi kuwa sawa. 0:01:11.715,0:01:13.699 Hivyo upande huu utakuwa pungufu ya 1/3, 0:01:13.699,0:01:15.059 endapo upande huu hautobadilika. 0:01:15.059,0:01:16.800 Hivyo basi upande wa kushoto utakuwa 0:01:16.800,0:01:18.321 pungufu ya 5/3. 0:01:18.321,0:01:20.862 Kwa hiyo ili kupata usawa, nitakachokifanya 0:01:20.862,0:01:23.986 upande wa kushoto nitakifanya upande wa kulia pia. 0:01:23.986,0:01:26.819 Hivyo nitatoa 1/3 pande zote. 0:01:26.819,0:01:30.313 Na kama nikifanya hivyo, upande wa kushoto, 0:01:30.313,0:01:32.391 1/3 toa 1/3, ndiyo maana 0:01:32.391,0:01:35.190 nimetoa 1/3 ili kuondoa 1/3, 0:01:35.190,0:01:40.190 na nimebakiwa na A ni sawa na 5/3 toa 1/3, 0:01:41.829,0:01:46.055 5/3 toa 1/3, 0:01:46.055,0:01:49.762 toa 1/3 , tutapata ngapi? 0:01:49.762,0:01:53.268 Nina tano ya kitu hapa, kwenye hili swali nina 5/3, 0:01:53.268,0:01:55.893 ninatoa kwa 1/3. 0:01:55.893,0:01:58.902 Hivyo nitabakiwa na 4/3. 0:01:58.902,0:02:03.902 Hivyo nitaandika A ni sawa na 4/3. 0:02:05.856,0:02:07.482 Unaweza kuhakikisha kama ni sahihi. 0:02:07.482,0:02:12.482 1/3 jumlisha 4/3 ni sawa na 5/3. 0:02:12.972,0:02:14.853 Hebu tufanye mfano mwingine. 0:02:14.853,0:02:19.853 Tuchukulie tuna mlinganyo huu, K toa nane 0:02:21.240,0:02:24.920 ni sawa na 11.8. 0:02:24.920,0:02:27.522 Kwa mara nyingine, natafuta thamani ya K. 0:02:27.522,0:02:29.437 Nina K upande wa kushoto. 0:02:29.437,0:02:33.477 Sihitaji kuwa na hii, toa nane hapa. 0:02:33.477,0:02:36.011 Hivyo ili kuondoa hii nane, hivyo tuongeze nane 0:02:36.011,0:02:36.795 upande wa kushoto. 0:02:36.795,0:02:38.095 Hivyo, kama nafanya hivi upande wa kushoto, 0:02:38.095,0:02:40.278 nitafanya hivyohivyo upande wa kulia. 0:02:40.278,0:02:42.775 Hivyo tunaongeza nane pande zote. 0:02:42.775,0:02:45.524 Upande wa kushoto, unatoa nane 0:02:45.524,0:02:46.441 na pia unajumlisha nane. 0:02:46.441,0:02:47.615 Hii inaisha, 0:02:47.615,0:02:49.761 na unabakiwa na K. 0:02:49.761,0:02:53.175 Na upande wa kulia, 11.8 jumlisha nane. 0:02:53.175,0:02:58.175 Vizuri, 11 jumlisha nane ni 19, itakuwa 19.8. 0:02:58.758,0:03:01.115 Na tumemaliza, 0:03:01.115,0:03:03.413 Unaweza kuhakikisha kama umepata jibu sahihi. 0:03:03.413,0:03:07.803 19.8 toa nane ni 11.8. 0:03:07.803,0:03:10.542 Hebu tufanye nyingine, hii inavutia. 0:03:10.542,0:03:15.542 Sawa, tuchukulie nina 5/13 ni sawa na 0:03:16.462,0:03:20.259 T toa 6/13. 0:03:20.259,0:03:22.362 Vizuri, hii inavutia kwa sababu sasa nina mtajo 0:03:22.362,0:03:23.878 upande wa kulia. 0:03:23.878,0:03:24.841 Hivyo naiacha hapa. 0:03:24.841,0:03:27.545 Tuone kama tunaweza kutafuta thamani ya T kwa kuondoa 0:03:27.545,0:03:29.263 namba yoyote upande wa kulia. 0:03:29.263,0:03:33.663 Na kama tulivyofanya awali, kama natoa 6/13, 0:03:33.663,0:03:35.602 kwa nini nisiijumlishe? 0:03:35.602,0:03:37.424 Kwa nini nisijumlishe 6/13? 0:03:37.424,0:03:38.776 Siwezi kufanya hivyo upande wa kushoto. 0:03:38.776,0:03:41.110 Hizi pande mbili hazitakuwa sawa, 0:03:41.110,0:03:43.106 nitafanya hivyo upande wa kulia kama ninataka 0:03:43.106,0:03:45.289 kupata usawa. 0:03:45.289,0:03:47.007 Hivyo nini kitatokea? 0:03:47.007,0:03:47.832 Nini kitatokea? 0:03:47.832,0:03:50.466 Upande wa kushoto nina 0:03:50.466,0:03:52.126 ngoja niache nafasi kidogo, 0:03:52.126,0:03:56.615 nina 5/13 jumlisha 6/13, 0:03:57.548,0:04:01.880 jumlisha 6/13 ni sawa na , 0:04:01.880,0:04:03.702 ni sawa na 0:04:03.702,0:04:06.745 Nilitoa 6/13, sasa najumlisha 6/13. 0:04:06.745,0:04:09.135 Hizi zitatupatia sifuri. 0:04:09.135,0:04:12.943 6/13 toa 6/13 inabaki sifuri, hivyo umebakiwa na T. 0:04:12.943,0:04:14.278 Hivyo T ni sawa na hii. 0:04:14.278,0:04:17.401 Kama nina 5/13 na najumlisha na hii 6/13, 0:04:17.401,0:04:19.304 Nitapata 11/13. 0:04:19.304,0:04:24.018 Hivyo hii itakuwa 11/13 ni sawa na T, 0:04:24.018,0:04:25.319 au naweza kuiandika kwa njia nyingine. 0:04:25.319,0:04:30.319 Naandika T ni sawa na 11/13.