1 00:00:00,283 --> 00:00:01,862 Hebu tufanye maswali ya 2 00:00:01,862 --> 00:00:03,650 kukokotoa milinganyo. 3 00:00:03,650 --> 00:00:08,421 Tuchukulie tuna mlinganyo huu, 1/3 jumlisha A 4 00:00:08,421 --> 00:00:10,905 ni sawa na 5/3. 5 00:00:10,905 --> 00:00:13,924 Je, thamani ya A ni ngapi kwenye mlinganyo? 6 00:00:13,924 --> 00:00:17,604 Kama nina 1/3 jumlisha A, je A inatakiwa kuwa ngapi 7 00:00:17,604 --> 00:00:22,604 ili tukiijumlisha kwa 1/3 iwe sawa na 5/3? 8 00:00:23,873 --> 00:00:27,135 Kuna njia nyingi za kufanya hii, 9 00:00:27,135 --> 00:00:29,735 na hiki ni kitu cha kufurahisha kuhusu mlinganyo 10 00:00:29,735 --> 00:00:32,835 na hakuna njia moja ya kukokotoa. 11 00:00:32,835 --> 00:00:34,831 Hivyo ngoja nifikirie, 12 00:00:34,831 --> 00:00:36,004 njia nyepesi ya kutumia. 13 00:00:36,004 --> 00:00:38,105 Na kabla sijafanya chochote, unaweza 14 00:00:38,105 --> 00:00:40,891 kusubirisha video, na ufanye mwenyewe. 15 00:00:40,891 --> 00:00:45,891 Hivyo nachotakiwa ni kuwa na A 16 00:00:46,313 --> 00:00:47,892 upande mmoja wa mlinganyo. 17 00:00:47,892 --> 00:00:49,536 Kwa kuwa A ipo tayari upande wa kushoto, 18 00:00:49,536 --> 00:00:51,440 tuone kama nitaweza kuendelea kuiweka upande wa kushoto, 19 00:00:51,440 --> 00:00:53,831 hivyo naiondoa 1/3. 20 00:00:53,831 --> 00:00:55,930 Vizuri, njia rahisi ya kuiondoa 21 00:00:55,930 --> 00:00:59,314 hii 1/3 ni kutoa 1/3 kutoka upande wa 22 00:00:59,314 --> 00:01:00,757 kushoto wa mlinganyo. 23 00:01:00,757 --> 00:01:02,661 Siwezi kutoa 24 00:01:02,661 --> 00:01:04,298 upande wa kushoto wa mlinganyo peke yake. 25 00:01:04,298 --> 00:01:06,759 Kama 1/3 jumlisha A ni sawa na 5/3, 26 00:01:06,759 --> 00:01:09,719 na kama nikitoa 1/3 kutoka upande wa kushoto tu, 27 00:01:09,719 --> 00:01:11,715 hivyo haiwezi kuwa sawa. 28 00:01:11,715 --> 00:01:13,699 Hivyo upande huu utakuwa pungufu ya 1/3, 29 00:01:13,699 --> 00:01:15,059 endapo upande huu hautobadilika. 30 00:01:15,059 --> 00:01:16,800 Hivyo basi upande wa kushoto utakuwa 31 00:01:16,800 --> 00:01:18,321 pungufu ya 5/3. 32 00:01:18,321 --> 00:01:20,862 Kwa hiyo ili kupata usawa, nitakachokifanya 33 00:01:20,862 --> 00:01:23,986 upande wa kushoto nitakifanya upande wa kulia pia. 34 00:01:23,986 --> 00:01:26,819 Hivyo nitatoa 1/3 pande zote. 35 00:01:26,819 --> 00:01:30,313 Na kama nikifanya hivyo, upande wa kushoto, 36 00:01:30,313 --> 00:01:32,391 1/3 toa 1/3, ndiyo maana 37 00:01:32,391 --> 00:01:35,190 nimetoa 1/3 ili kuondoa 1/3, 38 00:01:35,190 --> 00:01:40,190 na nimebakiwa na A ni sawa na 5/3 toa 1/3, 39 00:01:41,829 --> 00:01:46,055 5/3 toa 1/3, 40 00:01:46,055 --> 00:01:49,762 toa 1/3 , tutapata ngapi? 41 00:01:49,762 --> 00:01:53,268 Nina tano ya kitu hapa, kwenye hili swali nina 5/3, 42 00:01:53,268 --> 00:01:55,893 ninatoa kwa 1/3. 43 00:01:55,893 --> 00:01:58,902 Hivyo nitabakiwa na 4/3. 44 00:01:58,902 --> 00:02:03,902 Hivyo nitaandika A ni sawa na 4/3. 45 00:02:05,856 --> 00:02:07,482 Unaweza kuhakikisha kama ni sahihi. 46 00:02:07,482 --> 00:02:12,482 1/3 jumlisha 4/3 ni sawa na 5/3. 47 00:02:12,972 --> 00:02:14,853 Hebu tufanye mfano mwingine. 48 00:02:14,853 --> 00:02:19,853 Tuchukulie tuna mlinganyo huu, K toa nane 49 00:02:21,240 --> 00:02:24,920 ni sawa na 11.8. 50 00:02:24,920 --> 00:02:27,522 Kwa mara nyingine, natafuta thamani ya K. 51 00:02:27,522 --> 00:02:29,437 Nina K upande wa kushoto. 52 00:02:29,437 --> 00:02:33,477 Sihitaji kuwa na hii, toa nane hapa. 53 00:02:33,477 --> 00:02:36,011 Hivyo ili kuondoa hii nane, hivyo tuongeze nane 54 00:02:36,011 --> 00:02:36,795 upande wa kushoto. 55 00:02:36,795 --> 00:02:38,095 Hivyo, kama nafanya hivi upande wa kushoto, 56 00:02:38,095 --> 00:02:40,278 nitafanya hivyohivyo upande wa kulia. 57 00:02:40,278 --> 00:02:42,775 Hivyo tunaongeza nane pande zote. 58 00:02:42,775 --> 00:02:45,524 Upande wa kushoto, unatoa nane 59 00:02:45,524 --> 00:02:46,441 na pia unajumlisha nane. 60 00:02:46,441 --> 00:02:47,615 Hii inaisha, 61 00:02:47,615 --> 00:02:49,761 na unabakiwa na K. 62 00:02:49,761 --> 00:02:53,175 Na upande wa kulia, 11.8 jumlisha nane. 63 00:02:53,175 --> 00:02:58,175 Vizuri, 11 jumlisha nane ni 19, itakuwa 19.8. 64 00:02:58,758 --> 00:03:01,115 Na tumemaliza, 65 00:03:01,115 --> 00:03:03,413 Unaweza kuhakikisha kama umepata jibu sahihi. 66 00:03:03,413 --> 00:03:07,803 19.8 toa nane ni 11.8. 67 00:03:07,803 --> 00:03:10,542 Hebu tufanye nyingine, hii inavutia. 68 00:03:10,542 --> 00:03:15,542 Sawa, tuchukulie nina 5/13 ni sawa na 69 00:03:16,462 --> 00:03:20,259 T toa 6/13. 70 00:03:20,259 --> 00:03:22,362 Vizuri, hii inavutia kwa sababu sasa nina mtajo 71 00:03:22,362 --> 00:03:23,878 upande wa kulia. 72 00:03:23,878 --> 00:03:24,841 Hivyo naiacha hapa. 73 00:03:24,841 --> 00:03:27,545 Tuone kama tunaweza kutafuta thamani ya T kwa kuondoa 74 00:03:27,545 --> 00:03:29,263 namba yoyote upande wa kulia. 75 00:03:29,263 --> 00:03:33,663 Na kama tulivyofanya awali, kama natoa 6/13, 76 00:03:33,663 --> 00:03:35,602 kwa nini nisiijumlishe? 77 00:03:35,602 --> 00:03:37,424 Kwa nini nisijumlishe 6/13? 78 00:03:37,424 --> 00:03:38,776 Siwezi kufanya hivyo upande wa kushoto. 79 00:03:38,776 --> 00:03:41,110 Hizi pande mbili hazitakuwa sawa, 80 00:03:41,110 --> 00:03:43,106 nitafanya hivyo upande wa kulia kama ninataka 81 00:03:43,106 --> 00:03:45,289 kupata usawa. 82 00:03:45,289 --> 00:03:47,007 Hivyo nini kitatokea? 83 00:03:47,007 --> 00:03:47,832 Nini kitatokea? 84 00:03:47,832 --> 00:03:50,466 Upande wa kushoto nina 85 00:03:50,466 --> 00:03:52,126 ngoja niache nafasi kidogo, 86 00:03:52,126 --> 00:03:56,615 nina 5/13 jumlisha 6/13, 87 00:03:57,548 --> 00:04:01,880 jumlisha 6/13 ni sawa na , 88 00:04:01,880 --> 00:04:03,702 ni sawa na 89 00:04:03,702 --> 00:04:06,745 Nilitoa 6/13, sasa najumlisha 6/13. 90 00:04:06,745 --> 00:04:09,135 Hizi zitatupatia sifuri. 91 00:04:09,135 --> 00:04:12,943 6/13 toa 6/13 inabaki sifuri, hivyo umebakiwa na T. 92 00:04:12,943 --> 00:04:14,278 Hivyo T ni sawa na hii. 93 00:04:14,278 --> 00:04:17,401 Kama nina 5/13 na najumlisha na hii 6/13, 94 00:04:17,401 --> 00:04:19,304 Nitapata 11/13. 95 00:04:19,304 --> 00:04:24,018 Hivyo hii itakuwa 11/13 ni sawa na T, 96 00:04:24,018 --> 00:04:25,319 au naweza kuiandika kwa njia nyingine. 97 00:04:25,319 --> 00:04:30,319 Naandika T ni sawa na 11/13.